MIRAJI | SISI MASHABIKI NDIO TUMEUMIA ZADI |HAUKUWA USHAMBA WALIKUWA WANAJITETEA USALAMA WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 54

  • @abdulmalikkarasa8693
    @abdulmalikkarasa8693 4 години тому +2

    Chagamba upo vizur sana kwenye mahojiano yako mungu akuongoze kk na akupe upeo zaid kwenye kaz yako.

  • @GodblessMushi-e6y
    @GodblessMushi-e6y 37 хвилин тому

    Miraji anajua sana mpira sio kama hao wachambuzi wa mchongo, chagamba ongea sana na Miraji

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 години тому +1

    Gamba gamba gamba ❤❤❤

  • @MasoudAbdala
    @MasoudAbdala Годину тому

    Hawa jama wanaungwana sana na mungu atawalipa wamesubir tumemstri ndugu yetu na tumeshirikiana nao ndo wamekja kufnya kipindi chao

  • @EmmanuelDaka-d2p
    @EmmanuelDaka-d2p 56 хвилин тому

    Huyu jamaa ana akili ,miraji big up

  • @fadhiligasper4067
    @fadhiligasper4067 3 години тому +2

    Niliumia sana siku hiyo nawagombeza na kuwazuia mashabiki wenzangu wa SIMBA kuwa wasianzishe vurugu lkn waliniambia eti mm mshamba na niondoke watanijumuisha , ikabidi niondoke ndio wakaanza kung'oa viti na kuvirusha kule chini,
    Leo kwa ushamba ule inatucost na sisi wengine

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 25 хвилин тому

      Siwezi kuwalaumu sana ila tujifunze kuwa na ukomavu wa khali km hii ikitokea hata mmi nimeumia sana...god bless simba ...

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 години тому

    Ubaya ubwela kama wote tmekubali ❤❤❤

  • @GodblessMushi-e6y
    @GodblessMushi-e6y 36 хвилин тому

    Msema kweli mwingine ni mzee Said

  • @WilliamHerman-e4r
    @WilliamHerman-e4r 32 хвилини тому

    Mi naona ubaya ubwege tuu!!!😂😂😂

  • @GodblessMushi-e6y
    @GodblessMushi-e6y 31 хвилина тому

    Mwambie Dosa amuige Dr wa michezo Miraji

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 години тому +1

    Dawa kuwapeleka CCM kirumba wang'oe cement 😂.

  • @RaphaelYohana-vi7em
    @RaphaelYohana-vi7em Годину тому

    Chagamba ww mwamba sana nakukubali sana

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 Годину тому

    Kwa wenzetu wapenda soccer wananunua tickets tu hata kama hawaingii uwanjani ili kuchangia mapato ya Club.

  • @YussfAbdullramnsefu
    @YussfAbdullramnsefu 5 годин тому

    Miraji nakukubali baba🎉

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 години тому +3

    Huo bado ulikuwa ni ushamba pia, kwani watu wakifanya fujo ni lazima kuharibu miundo mbinu? Hii itawafanya Simba washabiki kujifunza zaidi kuvumilia. Sasa kama huwa hakuna tabia hiyo kwa nini mlibadiilika na kuleta fujo? Basi kuna historia ya fujo SImba!

    • @NeymaTarimo-uk1zw
      @NeymaTarimo-uk1zw 4 години тому +2

      We inakuuma nini?

    • @soudsadique2049
      @soudsadique2049 3 години тому

      Unayeuliza inamuuma nini weye pia ni Simba bwege na mshamba. Ina maana comment zote hujafahamu kinachoongelewa kuharibu miundo mbinu? Acha ubwege

    • @Seddsaid157
      @Seddsaid157 2 години тому

      Tofauti na viti ni miundo mbinu gani mingine tumeharibu,acha ubwege na kufata mkumbo

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 години тому

    Hiyo ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA 🤣🤣🤣🤣

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 5 годин тому +1

    Ubaya. Ubwela. 🎉 13:13

    • @charlesmtamala4912
      @charlesmtamala4912 4 години тому

      sasa huo ni ubaya ubwela au ubaya ubwege😂😂😂😂😂

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 3 години тому

    Tatizo mashabiki wa simba mna ushamba wa kiboya ujanja uliopitiliza

  • @halixoncameroon5665
    @halixoncameroon5665 Годину тому

    Uchizi tuu .hivi Ninyi mnajielew kwl yaan uwe mwenyeji then uingia eet ulichokozwa

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 3 години тому

    Utaitwa miraji magoma 😂😂😂😂

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 2 години тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @MariamMohammed-nh1hi
    @MariamMohammed-nh1hi 5 годин тому

    Umeongea vzr sana malamoja

  • @jomsafirikajinaki8820
    @jomsafirikajinaki8820 5 годин тому

    Directamente em Moçambique - maputo

  • @fadhiligasper4067
    @fadhiligasper4067 3 години тому

    Acha kutetea ujinga ww miraji ni ushamba tu mtu yupo chini kule aliwezaje kurushaa viti juu

  • @AliceLeftedmsyani
    @AliceLeftedmsyani 3 години тому

    Miraji Acha uwongo ni ushamba

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 3 години тому

    Miraji weye kuwa muwazi tu Simba mara zote mnaghdhabu zisizo na maana hata mitaani ukiongea na mtu wa Simba nyie mcharuko mara zote. Siyo wote na siyo baadhi ila wengi wenu ni washamba

  • @jumaibrahim476
    @jumaibrahim476 2 хвилини тому

    Dosa mshamba tu ila Miraji ndiyo mwamba

  • @rashidbashok9456
    @rashidbashok9456 4 години тому

    Umeongea point miraji

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 3 години тому

    Acha tulipe tu ila waarabu watatuheshimu sasa wakija kwetu...hawataleta zarau zao za kishamba

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 3 години тому

    Aliyekula nyama ya mtu haishii Moja kung,oa viti ni jadi yenu na Bado mtaendelea kuving,oa. Miraji ulianzisha jua na Abduli naye atafanya hivyo.

  • @nolbetykasim3329
    @nolbetykasim3329 3 години тому +1

    Mlivokuwa mnang,oa viti mlichangamka leo miraji mpole mimi napenda sana mkipoa hivi hata izidi kabisa siwapendi ninyi😅😅😅😅😅😅

    • @EksamHassan
      @EksamHassan 3 години тому

      Kimekuleta nn au shobo ovyooo

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 2 години тому

      Hakika hii ndiyo raha ya mpila😂😂

    • @nolbetykasim3329
      @nolbetykasim3329 Годину тому

      @@EksamHassan wewe kausha hawana adabu hawa na wazee wao waling,oa makusudi miraji anawatetea tu fatilia kikao cha wazee wa simba walisema watang,oa viti

    • @nolbetykasim3329
      @nolbetykasim3329 59 хвилин тому

      @@Carolina-sm5zt wakipoa wanafurahisha sana

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 години тому

    Waje mechi ya yanga wa support 😂.

  • @GodblessMushi-e6y
    @GodblessMushi-e6y 35 хвилин тому

    Chagamba tuko pamoja

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 3 години тому

    SIMBA TULIPE VIINGILIO.HATA KAMA HATUINGII UWANJANI

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 години тому

    Mara moja Ubaya ubwela

  • @mathiasbenjamin-k9d
    @mathiasbenjamin-k9d 4 години тому

    Acha kutetea ujinga wew

    • @beatusharald56
      @beatusharald56 3 години тому

      Hakuna ujinga Kuna muda lazima haya lazima yatokee

  • @GodblessMushi-e6y
    @GodblessMushi-e6y 33 хвилини тому

    Ila Dosa simuelewi, he is hater brother

  • @HalimaBango
    @HalimaBango 4 години тому

    Tumelipiza

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 5 годин тому

    SIMBA will beat CONSTANTINE with or without fans, UBAYA UBWELA, and they might meet in the FINAL, This is just a rehearsal.

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 2 години тому

    Barua iliyoandikwa iliichongea Simba SC CAF na kwa namna moja ama nyingine, imechangia adhabu hii kutolewa! Ht hivyo ktk hili lipo jambo la kujifunza! Ubaya ubwela Jpili uko pale pale! Mungu ibariki Simba SC, Mungu ibariki Tanzania!

  • @kiwakhalid4981
    @kiwakhalid4981 5 годин тому

    Simba ni wahuni, mtolewe tuu,

    • @christinaKufakulala
      @christinaKufakulala 4 години тому

      Unateseka ukiwa wp🤣 Simba TAIFA kubwa wewe

    • @Tee-King
      @Tee-King 4 години тому

      Wewe ni mgeni mbona sisi yanga pia tuling'oa viti. Au ukujua ilo.