RAIS SAMIA ABISHANA na WAMAREKANI TANZANIA SIYO MASKINI - "KWAO KUNA UMASKINI wa KUTOSHA"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 днів тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 8 днів тому +1

    Tanzania siyo masikini hayo ni mawazo ya Marekani na washirika wao

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 7 днів тому +1

    Bado asali mama hujawaambia,jamaa wale juice yao ni asali

  • @Proudsimba8
    @Proudsimba8 6 днів тому

    Mimi naishi Marekani, hapa masikini wameja kibao na wako nyuma ya masikini wa Africa. Alivyosema Samia ni ukweli.

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 8 днів тому

    Mama leo umenifurahisha sana nahisi uwoga umekutoka nawao ndio waliokutoa woga pale walipokushambulia na kukusakama na matukio ya utekaji watu, ulikuwa kimya hawakukujuwa kuwa wewe ni mswahili unao uwezo wa kuwatukana kihekima bila wao kugunduwa kuwa wametumanwa, BEGA KWA BEGA TUPO NYUMA YAKO MAMA TZ MBELE AFRICA MBELE.

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 6 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂mama kawa-yombo kisawasawa

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 8 днів тому +1

    Hivi ninyi unfiki mtaacha lini !! Hivi tanz ina umuhimu gani ,zaidi ya mataifa yote ya africa ? Mtaliwa sana!!😂😂😂😂

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 7 днів тому

    Mama mbona hujaiheshimu adhahan nimesikia adhana Hapo au masiko yangu?? Otherwise umejieleza vizuri Sana

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 8 днів тому +2

    Kweli Mh Rais umasikini ni tafsiri tu umefanya kz nzr sn kwnd Brazil kuna mambo sisi tunayapinga kwa kutokujua mwendelezo wake pambana Mama yetu

  • @suleimankira9195
    @suleimankira9195 8 днів тому +2

    Mashaallah mashaallah mma kwala ya kwanza ninakupongeza umenge mama umeongea mashaallah

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 8 днів тому

    Hapo si kweli jaman mbona watanzania wana njaa hata mlo Moja kwa siku ni shida ,hao watanzania ni wale waajiriwa TU au na wakulima wetu hoi ?

    • @songamberetv2219
      @songamberetv2219 8 днів тому

      Uyo mulo mja ni waafrika wanajaza masahani mpaka juu wazungu wanakura bugger mjo uyo ndo mulo wao so chakura mwafrika anakura kwa siku mzungu anakura kwa siku tatu 😂😂

    • @izamahmasaki4795
      @izamahmasaki4795 8 днів тому

      @songamberetv2219 Ni sawa ila huyo mwafrika unae mongelea wewe na huyo mzungu ni wa daraja lpi ? Hebu angalia walio wengi wa daraja la kati na chini kimaisha au unaongelea wezi,wapigaji na hao machawa!!! Ulishatembelea kata na vijiji au unaongelea town TU ,hata huko town ndyo kabisa maana ndy wanatafuta mlo TU dayly. Je Kuna mzungu anatafut mlo wa siku !!?

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 8 днів тому

    Hapo kwenye utawara Bora hongera sana Mwenyezi MUNGU azidi kukuongoza Rais wetu

    • @ZainbAbubakary
      @ZainbAbubakary 7 днів тому

      @robertphilip385 acha makasiriko

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 днів тому

      @@ZainbAbubakary kwani uongo?

    • @ZainbAbubakary
      @ZainbAbubakary 7 днів тому

      @robertphilip385 unajua wengine Muda wa kubishana ndio tumeukosa kwahiyo unavyoona kwako nivyaukweli sawa

  • @JumaRichard-k3b
    @JumaRichard-k3b 8 днів тому

    Nice

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 7 днів тому

    Kadanganye wajinga tanzania ni maskini sana na umaskini umeletwa na viongozi wa ccm

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 8 днів тому +1

    Si ndoano tuu kualikwa ili mmone fahari na kukataa matakwa zao mtaona aibu baada la hisani lao kuwaita grupu hilo ,ni wazi tuu....

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 8 днів тому +1

    😂😂😂❤❤❤kabisa mama

  • @tonnyjazz6103
    @tonnyjazz6103 8 днів тому +1

    mama uza ageja ya HPP ya infer dam mto Congo . sehemu kubwa kama sio yote itapata umeme msafi Afrika mzima.......mataifa makubwa wasaidie Afrika ktk hili......pia walete Amani ya kudumu Congo

    • @tonnyjazz6103
      @tonnyjazz6103 8 днів тому

      Inga Dam project Congo DRC

    • @romastasenterprises4447
      @romastasenterprises4447 5 днів тому

      Mh Raisi hongera sana. Umejibu vyema maswali na hii inaonyesha unajua unachokifanya. Naomba Serikali muangalie nini kifanyike umeme uwe na bei ambayo watu watamudu kupikia kama miaka ya nyuma ilivyokua. Tutatamani kuona bei kushuka kufuatia ahadi ya Serikali wakati mnaanza kujenga bawa la Nyerere

    • @sulimankarusi8345
      @sulimankarusi8345 2 дні тому

      Jee vipi umeme ya Uganda utasayidia nini Africa.