Kwel Kuna mkaka anaitwa daud mbwana ndo alikuwa kinyoz wetu watt wa kota' woteee week Kama hii tumejazana kwenye mti wa mwembe kwao anatunyoa buree kabisa Kaka wa watu Mwenyez Mungu amuweke Mana hd Leo hii anasalon yake kubwa sana
Musijali haipingwi mtanga comedy iko juu yaani mambo na mtanga muko vizuri sano napenda sana comedy zenu zaniganyo sino mbavu muko vizuri keep it up gays
Masai munatufurahisha sanaaa hakika tunaridhika jamani Mungu awainue zaidi nyote mukiongozwa na Mtanga Mtamgalile Kanjibai mwenyewe
Mtanga mukija Momabasa In Shaa Allah nitampa magunia ha nywele Bambo
Kwel Kuna mkaka anaitwa daud mbwana ndo alikuwa kinyoz wetu watt wa kota' woteee week Kama hii tumejazana kwenye mti wa mwembe kwao anatunyoa buree kabisa Kaka wa watu Mwenyez Mungu amuweke Mana hd Leo hii anasalon yake kubwa sana
Hawa jamaa wameshibana sana asee
Mmetisha wazee
Mungu awabariki wazee
Hahahahaa safi sana Wazee wangu
Musijali haipingwi mtanga comedy iko juu yaani mambo na mtanga muko vizuri sano napenda sana comedy zenu zaniganyo sino mbavu muko vizuri keep it up gays
hiyo kali bro. eti nyoka bandia unamuweka mfukoni kusudi ili ukimbie na pesa za anayekunyoa..hhhhhhhh.
Hahahaha Kamtanga ina maana unadaiwa na vivyozi wengi wa muembeni wewe
skuizi hamutoagi kila mara sasa tunarudia hizi hizi za zamani from oman
Movie nzuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sina mbavu leo
Daah twawapa ugali sio cki2
Wakunyumba unatuwakilisha vzr pambwani chenjelai
Mna vituko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sikitu v masai😂😂😂
Ipo pw,pamoja sana
Amenikumbusha nyumba za chupingi sikuizi hazipo aisee
Masai mfungie mtanga hzo nywele
Bambo mganga wa kienyeji😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🙏🤣🤣 kumekucha
Love it❤️
Fun fun hi fun 😁😁😁😁
Mtanga comedy idumu milele😂😂😂😂
Hongelen wote
Naomba namb zenu 8:19
Tunawependa San wasanii wetu
Mmmmh uyo ni muongo
Bei gan matagazoyanu
Huyu kwani Nani,!!!
🔥🔥🔥
🔥 🔥 🔥
Send-off
Mumesaau
Shukran kwa burdan
Mimi said onilane tv nimechekikaziyako mtaga nitumie yako
😍😍😍😍
Mtanga mtangalile
Hahahahaaa
😀
😀😀😀👏👏
😂😂😂😂😂😂😂💯
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😄😁
😂😂😂😂
Kiboko
mbona hazidondoki
ua-cam.com/video/EoUNzHZowFY/v-deo.html
Kamti pombe 🍷🍷 noma
😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂