Rais, Samia Suluhu hassan, Watu wanatekwa na kuuwawa. NGORONGORO wanalia LOLIONDO wanalia WATANGANYIKA wanalia WATANZANIA wanalia. Samia Suluhu hassan. Jua tunaumia, tunapitia mateso mengi na Maumivu Mengi. Mioyo yetu imejeruika vya kutosha ndani ya Taifa ya ARDHI Yetu WENYEWE, Tukiwa Nyumbani Kwetu.
Mm cjui Kuna vitu tunapata bila maandalizi ndio labda tukumbuke ule wimbo chama chetu chajenga nchi kumbe kipindi hivho ilikuwa kweli Leo nimejua ilikuwa inajenga kweli sio uongo
Rais akijiuzuru,ujue ni uchaguzi. Mchakato wake sasa ?. Hakuna sheria inayomtaka ajiuzuru mengine ni ushirikina tu,hakuna sheria ya kujiuzuru labda aliyemteua ndiye atengue uteuzi wake.
Sema baba
Rais, Samia Suluhu hassan,
Watu wanatekwa na kuuwawa.
NGORONGORO wanalia
LOLIONDO wanalia
WATANGANYIKA wanalia
WATANZANIA wanalia.
Samia Suluhu hassan. Jua tunaumia, tunapitia mateso mengi na Maumivu Mengi.
Mioyo yetu imejeruika vya kutosha ndani ya Taifa ya ARDHI Yetu WENYEWE, Tukiwa Nyumbani Kwetu.
Mm cjui Kuna vitu tunapata bila maandalizi ndio labda tukumbuke ule wimbo chama chetu chajenga nchi kumbe kipindi hivho ilikuwa kweli Leo nimejua ilikuwa inajenga kweli sio uongo
Mzee mwenzangu Maadili maxuri yakiwepo kila kit kitaenda sw.Ila sasa hivi maadili wameweka peemben ndio shida yayote haya yanayotokea.
Rais akijiuzuru,ujue ni uchaguzi. Mchakato wake sasa ?. Hakuna sheria inayomtaka ajiuzuru mengine ni ushirikina tu,hakuna sheria ya kujiuzuru labda aliyemteua ndiye atengue uteuzi wake.
Vichwa vya baba wa taifa vilivyobaki ni adimu madini wenye madini Yao speech ya wtz