Dawa yao ndogo sana sana.kwanza kuwafirisi na jezi kuchomwa moto.mkechelewa watautoa tu mana wanaohusika ni watu watimu izo izo.awatoki mbali kwaiyo hapo akuna kesi Wala nini kiini macho tu
Bora wakamatwe kwa sababu mwekezaji anachkua makataba wa hela nyingi .Sasa wakiruusu hiizi feki kuingiaa ata Hawa wawekezaji wanakata tamaaa.. Sheria ichukue mkondo wake hakuna kuoneana urumaa
Kama selikali inge kua na maamuz magum ya kusimamia shera tukaachana na kusifia kila kitu hata kama baaz ya vitu havipo sawa hawa watu wange heshim taasisi za watu na haya mambo kila kitu tunafanya uchunguz yanatuchelewesha na kutengeneza mangira rushwa nk yote haya nisabab viongoz wenyewe hawaajibik wanalindana , madili makubwa kama haya niyawenye pesa na ukalib na viongoz selikalin Pia wazoef kwa kuhujum uchumi, nk.
Vunja bei hausiki kweli apo..bora za yanga ndy nyingi maana washamba kibao unakuta mtu katoa efu 40 yake kumbe fake wadada wanapigwa sanaaa eti nyie mmegundua leo ..kwa Taifa stars huo ni uhujumu uchumi. Wezi ni haohao mlio wapa thamana ya uuzaji.
Una elimu Ndogo Ndugu Sijui hata kiswahili hujui!! Wamesema kwa mtu wa kawaida ni Vigumu kutambua jezi Feki Siyo Rahisi sasa utampgaje fain mtu ambaye hajui
Wachina wabaya Sana kazi hiyo wanatuibia Sana tim zetu
Dawa yao ndogo sana sana.kwanza kuwafirisi na jezi kuchomwa moto.mkechelewa watautoa tu mana wanaohusika ni watu watimu izo izo.awatoki mbali kwaiyo hapo akuna kesi Wala nini kiini macho tu
Hv hii kesi iliishaje 😂😂😂😂.
Wapendwa,irudisheni nchi kwenye reli.Kila mahali hovyo hovyo.Hiyo ni Jinai,mbona hatuoni vyombo vya dola.(Polisi nk)
Yani najiuliza tu. Zinapitaje bandarini
Punguzen bei ya Jez muone Kama fek zitapata soka wabongo hawapend fek ila punguzen bei bana
Tosh kaka uyo 😂😂😂
Mapambano ya kibiashara😂😂😂Toshi logistics mpooooo!!!
Majizi wameshamiri sana awamu hii ya sita.
Waliruhusiwa kwamba kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.....
Kwanini Jeshi la Polisi halipo hapo kwenye eneo la tukio!?
Wameingiaje warehouse ambayo sio yao bila polisi? Na wanajuaje makontena husika bila wahusika?
Mbona hata police amna hapo
Tena wafuzwe nchini
Mmmmh Ni hatari Sana Hawa ndio warudisha maendeleo kwnye nchi yetu ya Tanzania!😢
Hawa ndo wanarudisha maendeleo nyuma.Wachukuliwe hatari kali sana hata kifungo cha maisha.
Duuuh jamaaa wahuni hawa
Yanga tunaumizwa. Kariakoo feki za Yanga nyingi sana angalau za watani ni chache.
Bila task force ya sandaland.. GSM walikuwa hawajui chochote..
Hatari sana
Je imepitaje bandarini hawakagui mzigo??? 😬
Hizo ndio zinazouzwa kigoma mwisho wa reli
Achen n wenye wpate bn
Bora wakamatwe kwa sababu mwekezaji anachkua makataba wa hela nyingi .Sasa wakiruusu hiizi feki kuingiaa ata Hawa wawekezaji wanakata tamaaa.. Sheria ichukue mkondo wake hakuna kuoneana urumaa
Huu Mzigo bandarin imepit yan dah…
VITA YA BIASHARA HIII KATI YA GSM
Hawa wachukuliwe hatua KALI, wanarudisha nyuma mafanikio ya timu zetu.
Biashara za wakubwa hizo
Wachina umbwa sana, yanga wamepoteza mabilioni ya pesa hapo.
Hii iwe operation endelevu nnchi nzima isiishie hapo. Hayo ndo wanarudisha nyuma maendeleo ya timu zetu
Niviongoz wamezurumiana wala cyo mtu mwingine na vunja bei alilalamika kuhusu Hilo nihukumu uchumi hao
Zaeni nao wote waliohusika!
Duh wachina hao
ndoman zinawai kupuka bn
Hiyo ni vita ya biashara Silent ocean vs Tosh cargo 🥴
Yaa, vinginevyo wange'deal na jezi tu. Wasingeonesha nembo ya tosh
Wafungwe kifungo Cha maisha jela
Dawa ni kutia moto kabla hawajaingiza mtaani
Hiyo ndiyo Tanzania bhana! Hungoja waanziwe tu.
Hawa watakuwa ni wachina ndio kazi zao hizo
Hizo jezi zisichomwe moto hizo ziuzwe na pesa ikajenge madawati na madawa hospitarini
Akili ipo sawa kweli
Kama selikali inge kua na maamuz magum ya kusimamia shera tukaachana na kusifia kila kitu hata kama baaz ya vitu havipo sawa hawa watu wange heshim taasisi za watu na haya mambo kila kitu tunafanya uchunguz yanatuchelewesha na kutengeneza mangira rushwa nk yote haya nisabab viongoz wenyewe hawaajibik wanalindana , madili makubwa kama haya niyawenye pesa na ukalib na viongoz selikalin Pia wazoef kwa kuhujum uchumi, nk.
Inatakiwa kiwanda kifungiwe kabisa, uhuu ufala kabisa wananufaika watu wasiostaili" wachina mafala kweli.
Unaendaje kukamata Mali feki bila chombo cha dola na n ucku? Isijekuwa kiin macho.
Vunja bei hausiki kweli apo..bora za yanga ndy nyingi maana washamba kibao unakuta mtu katoa efu 40 yake kumbe fake wadada wanapigwa sanaaa eti nyie mmegundua leo ..kwa Taifa stars huo ni uhujumu uchumi. Wezi ni haohao mlio wapa thamana ya uuzaji.
Ila za yanga ziko kibao kriakoo chini zimemwagwa…za simba chin hakuna krkoo
Kudhibiti hili ni kila anaepatikana kavaa jezi feki faini 50,000/=.nakuonesha alipo uziwa namuuzaji kutozwa fain ya tsh 500,000/=itakomesha au vipi
Una elimu Ndogo Ndugu Sijui hata kiswahili hujui!! Wamesema kwa mtu wa kawaida ni Vigumu kutambua jezi Feki Siyo Rahisi sasa utampgaje fain mtu ambaye hajui
Peleka mswahada bungeni itungwe sheria ili fain iwe iwe halali
Alipe fidia na kifungo hii ni hatari
Daah wanamtia hasara GSM anaendesha crabu kwa ghalam kubwa mno embu shelia ifate mkondo wake
Crabu,shelia ndiyo nini
Hebu andikeni kwa ufasaha
😂nikajua nakerwa peke yangu, bora mtu akosee kuongea jamani sio kuandika
😅
KWANI hii GODAUNI NI la Nani??
Tosh cargo
Figisu za wafanya biashara ashaharibiwa mtu maisha teyari jmani 😭😭
Tena wafuzwe nchini
Daah wanamtia hasara GSM anaendesha crabu kwa ghalam kubwa mno embu shelia ifate mkondo wake
Kwahyo umeona GSM peke yake ndo anaingia hasara
@@upendo1020soma kwanza comment yke vzr alafu itajua ni rwaru ata tusimlaumu😂😂😂😂