UCHAMBUZI AMBOKILE | KWA SABABU HIZI |YANGA LAZIMA WAENDE ROBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 26

  • @JamesPaul-o2h
    @JamesPaul-o2h 4 години тому +1

    Mwamba katika watu wanaofeli katika uchambuzi basi ni wachambuzi wengi Tz sijui kama Wana sayansi ya mpira wanachoongea ni kuukosea mchezo wa mpira

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 4 години тому

    MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki yanga Africa aminaaaaaaaaa

  • @JamesPaul-o2h
    @JamesPaul-o2h 4 години тому

    Unapaswa kuomba Mungu akupe kibali ufanye kazi uliyosomea au uliyonaujuzi nayo mbali na mpira mpira mwachie Kazumali ,Kiemba na baadhi wenye fani hizo acha njaa enyi wachambuzi uchwara

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 6 годин тому

    Haya maneno Yako yana ukweli kabisa tukiachia mbali ushabiki. Na neno zito uloliongea ni kuhusu maombi ya kumwomba Mungu atusaidie kama anavyotusaidia na daima asituache peke yetu. Tuna timu nzuri na bora lakini uzuri na ubora wetu hautufanyi tumsahau Mungu wetu aliyetujalia hayo yote. Tunamwomba , tunaumshukuru, tunamtukuza na tunamkabidhi timu yetu tukitumaini kupata furaha. YEYE ni ushindi na furaha yetu. Amina.

  • @SuleimanSaleh-js5wh
    @SuleimanSaleh-js5wh 7 годин тому +1

    Mungu ajalie yanga afungwe

  • @hafia.056
    @hafia.056 5 годин тому

    Aaa anatusomeshaaa tusiwe. Tuweeee wasikivuu sisi wanaYanga ama wananchi wooote wooote wooote. Nahapoo ndio uungwaana watu waHeshiimu watu wenyee imaani yaani sisi wanaYanga 😅

  • @hafia.056
    @hafia.056 5 годин тому

    Vipi vipi again vipi apo lakini wananchi wooote jibu lake it's looking in good condition and sugar sugar sugar muwaa cream maziwa chai cream n.k. please please please together again together we will be stronger stronger I meaning all do we understand yesss. Haya tukapeperushee mabendera please Tukapeperushe mabendera. Thank you very much all God bless our country Team Ameeen 🙏 😅😅😅😅😅

  • @saynomore7906
    @saynomore7906 3 години тому

    Hii game ni tuff....
    Kutakuwa na time wasting, yellows or red cards, all football dark arts..kujiangusha chini ili kupoteza muda
    Yanga inabidi wawe making sana

  • @YasrihassanijafaryYasrihassani
    @YasrihassanijafaryYasrihassani 9 годин тому +1

    Kesho ni gusa achia twende kwao ⚽️⚽️

  • @HashimmakameHassan
    @HashimmakameHassan 8 годин тому +1

    wew acha ujinga mwanzo elekua nakukubali sana unaongea ukweli katka mpira lakin saiv unaongea pumba mpumbavu

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 6 годин тому

    Vijanawetu watashida vizulituu

  • @hafia.056
    @hafia.056 5 годин тому

    Kaka we are talking about sports sports sports. Not Not Not in politics Not in politics. Sisi wanaYanga tuko na heshima kilasiku eeeee popote days and night. Mungu ijaalie team ya wanaYanga ama wananchi WaTanzanian 😅😅😅😅😅

  • @murtadhwangereza4208
    @murtadhwangereza4208 9 годин тому +1

    Pambano la utangulizi wamekosea TU ilitakiwa Simba waanze juma mosi na yanga juma 2
    Hapo ndo kauli ingekaa vyema zaidi/ imejipanga.

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 9 годин тому +1

    Umekunywa ambokile mechi ya utangulize ujui

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 8 годин тому +1

    Huyo mwandishi aliyeshikilia vipaza sauti viwili ni msenge sana anauliza mwaswali ya kijinga sana inaonekana ni shabiki wa Makolo.

  • @JamesPaul-o2h
    @JamesPaul-o2h 4 години тому

    Unatafuta umaarifu tu

  • @SmilingCamping-ef3kg
    @SmilingCamping-ef3kg 9 годин тому +1

    Asa kama Kuna pamnano la utanguzi kat ya simba na yanga Nan anaanza pambano la utanguriz, Simba jpl yanga jmos nan anacheza pambano la utanguriz hapo,

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 9 годин тому +2

      Shirikisho ndo utangulizi unajitoa ufahamu mfungwa fc,mng'oa viti fc dunduka kaa kwa kitulia

    • @RebeccaAndrew-dd4kj
      @RebeccaAndrew-dd4kj 9 годин тому

      😂😂😂😂😂 makolo bwana​@@matrida.lunyilija5196

    • @mirajisaid3591
      @mirajisaid3591 8 годин тому

      Utanguliz ni shirikish hat ingechez leo

    • @eustacefordranger1174
      @eustacefordranger1174 3 години тому

      😂😂😂​@@matrida.lunyilija5196

    • @bernardmlenda9800
      @bernardmlenda9800 Годину тому

      We mfungwa fc unajisahaurisha kuwa upo kwenye league mlio shirikishwa 😂