THANKS FOR WATCHING ODI WA MURANG'A... LET ME KNOW WHO WE SHOULD BRING NEXT ON CELEB RIDE ... KINDLY WATCH THEIR NEW COLLABO BOONDOCKS WITH ETHICS ua-cam.com/video/Faxm3-tk0P4/v-deo.html
who else ran to comment section after he mentioned 5m 😃.Anyway show is about them talking about their cars, taking pride in their cars.Lets see their personalities as they do that,, great show.❤
A conversation with a car owner speaking of his car right next to him,you can easily tell whether he owns it ama tumesaidiwa nayo....Sijasema kitu.Ukitaka kudanganya kuna watu wanavaa leso kule Loitoktok
@@humphreymutwiri809 kuharibu kabisa naskia waki negotiate hapo na manager wake ati hio gari ni ya 1500cc,Wololo...nilistuka sana,"(mwenye gari)"pia alikua anasitasita kusema cc ni ngapi
the best thing about weed is that it's everywhere and is slowly turning into a basic need ....the government should really look into this matter of Legalizing cannabis#LEGALIZE🍁🍁🍁
NO ALCOHOL NO WEED NO GIRLS eating healthy ...this has made me think clearly get a job of my dreams ..conducting projects ...living healthy is a choice.... its so valuable...
Sio muziki. What he invested in after getting ya muziki ndio inamlipa. That's why he mentioned fish na makaa zaidi. Kuna wale wanakunywa maziwa kumliko but lack discipline.
UONgOO UONGOOO UONGOOO hapa nayo tumenyolewa vibaya sana hio old model 5M never plas hapo kwa wajakoya amechomaa then ile tx ya black kwa show ya mungai eve hio nayo haikuwa yake ya kwanza tenaa
Prado 95 has both 4cylinder and 6cylinder depending on yr of manufacter...the 3rz engine has 4cylinders bt diesel option comes in v6..3000cc while 3rz which is petrol is 4 cylinder 2700cc...price hardly goes above 1.5 depending on maintenance
2mbili ukikutana na celebrate ambeye ako madinga.._______ Husisahau kuliza fuel am mafuta kama inakunyua juu wengine wetu...,......,................ We learning through you
@@brianmusembi7775 I have owned the SE car for 5yrs and the diesel 3000cc is computer limited at around 160-165kph can't go beyond that unless you Dyno tune to unlock the limit. But if you consider the instability of the car it's pointless.
THANKS FOR WATCHING ODI WA MURANG'A... LET ME KNOW WHO WE SHOULD BRING NEXT ON CELEB RIDE ... KINDLY WATCH THEIR NEW COLLABO BOONDOCKS WITH ETHICS ua-cam.com/video/Faxm3-tk0P4/v-deo.html
Tafuta mwashumbe ama jeff koinange na ile left handed yake G wagon,,
Tafuta Dj Fatxo na Kamoko
Bring ndovu ni kuuu bro
Sutuletee mtoto wa mama na izi gari za loan akii😂😂
Leta Terrence
who else ran to comment section after he mentioned 5m 😃.Anyway show is about them talking about their cars, taking pride in their cars.Lets see their personalities as they do that,, great show.❤
I did exactly that.
Gari ya 900,000KSH tho ni pesa but 5m uwongo
Tuko wengi
Tuko kadhaa.... Even a little kid will not believe the price given the observable conditions of the particular car
Nimepatwa na butwaa!!
Sasa tutafutie ᴅᴇsᴀɢᴜ. The prince of ᴍᴡɪʜᴏᴋᴏ.
Hii gari inakaa old sana.. ukilinganisha na ile TX ya Pluto ya 4.5M hazifanani.. uongo mtupu bana
odi kwa ngoma ako sawa lakini leo ameangusha celeb ride 2mbili kazi poa continue pushing bro we will keep supporting u
3:34 Smooth move by my champ here akijaribu kutoa gilbeys quarter's kwa site🤣🤣🤣
😂😂Venye inafaa
Big up 2mbili, kila time hutuweka na rada, big up Odi na managerr wa kwake, biashara wanapiga ni moja clean. Content huwanga premium🔥
wah..mtu akiwa high 247 walai unajipataga umenunua ovacado punch
😂😂😂😂
😂😂😂
😊😊it's celeb ride,all about having fun,,mambo ya pesa mkatete na huko cbk
A conversation with a car owner speaking of his car right next to him,you can easily tell whether he owns it ama tumesaidiwa nayo....Sijasema kitu.Ukitaka kudanganya kuna watu wanavaa leso kule Loitoktok
Ukweli manze,ata speed akiulizwa anadinda kusema😂ataki kumess
@@humphreymutwiri809 kuharibu kabisa naskia waki negotiate hapo na manager wake ati hio gari ni ya 1500cc,Wololo...nilistuka sana,"(mwenye gari)"pia alikua anasitasita kusema cc ni ngapi
Manze kutupima
Ata cc hajui ni ngapi...😂😂😂😂
@@Billions_Trainer 😄
Honestly hii gari inafaa kuwa 850k
Currently nasave ninunue fj cruiser and it comes at 4-5M ,so when he says 5m for an old model tx , I highly doubt ii, alichapwa
Hadi mimi
Wanted to comment but real car people put the whole truth out here. This car a beater.
Lit ODI love the composture na mnyama ikoo fitiii nice ride 👌 👍 😋 😎 😄 tuleteee dj Hilas Hillary ako na mnyama fitiii pia
Lakini huyo dem angetoka mpige story bila kuogopa. Wacha kupigwa vipindi😂😂Otherwise kazi ni safi 🔥
Bana...amefanya show iboeke🤦
EEEEEEEHHHHHH NAAA BADOOOOO WAJACKOYAH THE FIFTH HIYOOOO YENYE AMEKUONYESHAA NDIOOO HIYO TUTAPANDA NA KUCHOMAA🍁🍁🔥🇰🇪💪🏿
😅😅.. honestly,this old school model TX can't go beyond 1.5M.
Watu na wivu🤣🤣
Odi said point five at first, which is 1.5m,tumbili ndio akuradaa.....
5:12
Point 5 is 0.5 not 1.5
@@marutitv2106 language is understood in context....to understand what someone means......
Glad to see my Gees balling 🏀
the best thing about weed is that it's everywhere and is slowly turning into a basic need ....the government should really look into this matter of Legalizing cannabis#LEGALIZE🍁🍁🍁
NO ALCOHOL
NO WEED
NO GIRLS
eating healthy ...this has made me think clearly get a job of my dreams ..conducting projects ...living healthy is a choice.... its so valuable...
👍
😂😂😂unless you’re gay hakuna venye utasema no girls GOD had reasons kutuletea girls
Hii imekuwa business advert sponsored by a celeb ride😄😄Nice one
Prado am used to see Odi nayo si hii..kuna ingine Kali ama alipiga bei
A clear indication that music pays,, parents should see this and inspire their kids,,lakini tumepangwa😅😅
Sio muziki. What he invested in after getting ya muziki ndio inamlipa. That's why he mentioned fish na makaa zaidi. Kuna wale wanakunywa maziwa kumliko but lack discipline.
Nduguu yangu Mzee mzima 🔥🔥 kazi safii G
That Prado 95 can NEVER be 5M ata 1.5M NEVER!!!
Ww tosheka na hiyo Black mamba yako ya 5k kasee
His right 95 can never b 5m bro 5m uko na prado j150 kc my friend .
So nikaa tunapimwa ama??
Alisema 5m ➗ by 3
The maximum it can fetch ni 1.2m, and that's for a very clean one. 5m hapana.
AMAIZING. 2 MBILI
Noma Sana chimuni chimuni 🍀🍀🌋🌋🌋🌋in the house 🏘️😂😂😂😂 amazing 🔥
Gari ni Kali sana,huyo kijana ametry sana kujimaintain. But hio bei haifai kupita 1.4m
Bro keep it up odi you will do more achana na hii kamati ya roho chafu wanaona wivu juu hawana bike😋
Hakuna roho chafu. Gari si yake almost kila kitu anasema about the car ni uwongo. Gari si yake
Best show in 254❤️❤️❤️🇶🇦🇰🇪
UONgOO UONGOOO UONGOOO hapa nayo tumenyolewa vibaya sana hio old model 5M never plas hapo kwa wajakoya amechomaa then ile tx ya black kwa show ya mungai eve hio nayo haikuwa yake ya kwanza tenaa
Odi sasa inafaa aache bangi inamdhuru kiafya
Sure
🔥Video ingekua more lively bila huyo maneja hapo
Bana🤦
Bn odi wamoranga your my guy ulienda wp bn
Thats a four cylinder engine same as found in the 5L Toyota shark.
Same engine ya matatu box na full tank hukuwa 5k full tank
@@dennismbaabu7 kinasema V8 ame make up vitu
@@Trends99_R anakuja kutupima hapa gari ya 5m ni tx mpya mombasa
Prado 95 has both 4cylinder and 6cylinder depending on yr of manufacter...the 3rz engine has 4cylinders bt diesel option comes in v6..3000cc while 3rz which is petrol is 4 cylinder 2700cc...price hardly goes above 1.5 depending on maintenance
@@willieone8779 hii ni 4 cylinder
@TheFlyWings1 keep Going Mkuu
Bro unaendaga radio Africa .....bring maina kageni ile BMW X7 yake
We jamaa😂😂😂😂
Tunataka yako Sasa😁😁😁
Go 2mbili go💥💥💥💥
😂😂😌
🤣
baaaas hapo sasa ...big up 2mbili bro
ungeambia the Pluto akuonyeshe chuom za TX ya 4.5M....hii pia iko fiti but walikugonga bei
Odi wa murang'a to the world 🌎🌍
2mbili izi maswali zako random ni moto moto 😂😂
Keep up. 🔥🔥🔥
Shukran zaidiest broo
💪💪 Celeb ride on another level ..@Odi wa Muranga
subscribe
5m na rangi imechapa bt big step in that age bro
Well maintained Prado and a good ride congratulations Odi wa Murang'a
Though this ride can't be worth 5m....been Prado95 it's at best a 1.2m
Ni kama alikuwa ashanyanya akadhania anaulizwa dream car ako nayo in mind ni ya kama how much.
@@lordvixx9682 wiiiii😂. Uskii anaulizwa kama n 0.5 ama, ati kwani alikuwa anachukwa doo ya boondocks yote😂😂😂 just for entertainment though 😂😂😂
😆😂😂..2mbili design unapigwa vipindi na unanyamaza inanishangaza sana.
That's the whole idea of the show this is not an expert car review channels it's a comic relief channel by Mzee mzima @2mbili TV😂😂😂😂
Na request octopizo kwa show pliz,
5m.....weeeeeeeee mavi, nini..Kitu ni ya Soo saba ikienda sana
🔥🔥🔥content safi 2mbili
Wacheni kuchocha, this jalopy is 750k ikiwa imepimpiwa😁. Anywei we give it 5 points
amazing broo
#2mbili Tv hii gari haifiki 1m..
Hii afadhali mwenye ako na fits DE..... hii ziii
ni kwa hio namba bado😂...#2mbili💪
Katello aletwe kwa show
5m ziiii hio apana jooh...hapa nayo ..ata sikumalizia celeb ride
Alafu cc hajui
Wajahkoyah wa tano❤❤
huyu anapika tu mariba,, storyteller extraordinare
Kijana unatuenjoy ile serious,, i sell cars but prafo 95 series haijawahi fika hiyo bei ata kama magari zimepanda hiyo ni uwongo 😭😭😭
2mbili ukikutana na celebrate ambeye ako madinga.._______ Husisahau kuliza fuel am mafuta kama inakunyua juu wengine wetu...,......,................ We learning through you
Big up bro tubili
Amazing 2mbili. Ever laughing 😁
2mbili umeanza vipindi bana
Ati first boy 😂😂😂kidogo kidogo soja boy
3:34 anatry kusafisha rada 🤣🤣
Nambanane next👍💯
😂😂tuseme tu alivuta bangi before this show,5mill for this,,
Sonia sinet what you talk is what you should do #wajackoyahband
1995/2002 TX 5M?
Ati 2500cc
Alafu full tank kwenda na kurudi from Mombasa?
Na amekaa nayo 2yrs
😂😂😂
Thats a hired car
Good work 2 mbili, lakini hiyo gari si 5m😂😂
😂😂😂😂
Huyuyy jamaa alikua high😂😂
Episode moja moto 💯
Cool.
Keep up with the good work manzee😇
😄ugebuy maziwa before muanze interview
Her reaction when u said ametulia nikama Hana future 👀
Wah ,,kube ulikuwa unashoot odi ,,,next time nikikumeet lazma nitakam through for foto G
Ni wapi fedhw exactly hyo barber ako wapi atunyoe
@@omagwahesbon3873 uku kasarani,, hunters, place inaitwa mawenga building
Eeh manze manze
5 million ni uongo buana ...mmeanza kutupima tenaa
Yaani jamaa ananyolewa akiwa na shades?😂😂😂
Umesema 5m? That Prado 170 kph can never happen... Hii celeb ride itatuonyesha mambo yaani 😂 😂😂😂😂
170km ni possible but kuiangusha hiyo gari ni mbio sana juu ya size
Hii na fortuner one of the most unstable cars
@@brianmusembi7775 I have owned the SE car for 5yrs and the diesel 3000cc is computer limited at around 160-165kph can't go beyond that unless you Dyno tune to unlock the limit. But if you consider the instability of the car it's pointless.
😂😂😂😂😂😂 mita tano nayo umetupima
Ati 2500 cc....kumbafu.
Ati full tank to and from Mombasa.??
Mikoraa
if he bought it in 1989 wakati io model ilitoka then it is possible alibuy @ that price
he mentioned .5 then he felt like it came out wrong and said 5m
Buy this tx for 750k, change suspension and add a lift kit, big tyres, off-road tyres, wrap it in nyc colors.
I like odi wa murang'a
alaaaa hii gari si 5M
Tx ya 1500cc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣i damn love it here
It's either V6 2700 or 3000cc
Wewe kwenda ati 5 million...hiyo ikienda sana ni 800k
Washamba najua hamtambui hio ngoma ni gani kwa playlist yake
Ni "Neck of The Woods" by Birdman/Weezy
Hiphop heads wenzangu wapi makofi ya ODI
Very nice car
hehe huyo dame ako kando anakaa ameboeka sana juu anajua huyu jamaa ni kipindi tu
Odi wa muranga anakuanga na Subaru hii ingine sioni ka ni yake😂😂😂
River kibirigwi will put out the fire #wajackoyahband .
Hiyo si gari ya 5M roho safi.
Huyo demu ameharibu
Mnasalimiana mara thao!!
Uongoooo hii ni uongo bwana 😆
great 👌 vibe manzee 💯 2mbili ,,, with odi mwenyewe