Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Nimefanya miaka mitatu Dubai kwa malengo na nimevumilia ili nipunguzw malengo yangu nashukuru Mungu ila kazi za utumwa ukiziendekeza unarudi na maradhi maana so poa kila siku mwili wa uchungu ukijipanga tu maisha yanaenda ❤❤❤
Global napenda niweambie msipende kusikiliza umbea wao wasichana wanao toka Omani kama uyo alo sema kuwa wafanyakazi wa Omani wanalala na mbuzi nimuongo sana pia ni mshenzi kama waomani ni wabaya muulizeni mbona Ali funga ndoa na muomani
Yani ww amina umesema ukweli omani tupo tunaishi kama tuko yumbani lakini lazima siku moja moja changa moto zina kuwepo waallaah hata mm sijawahi kupata chaga moto
OMAN HAKUNA NENO WENGI WAFANYAKAZI TUNAKUWA WAKOROFI WAKIFIKA HUKU WANATAKA KUDANGA UKU MAMBOAYO HAKUNA NAMSHUKURU MUNGU ALHAMDULILLAJ NIMEJENGA NYUMBA TATU
Lkn Mbona wapo huku Omani wamekuja kutembea na mm nipo sijaona hizo passport kuacha Airport tn ndugu zng mm wp huku na wengine wanakuja kutembea cjaona hvyo
Maamuzi ni kubakia makwenu kuharibu nchi ya watu tu, kisha mushatapakaza ubaya halafu munajipeleka huko huko kwenye uonevu, waongo wakubwa, sijui munarogana ili musiweze kutumika ? Tumechoka kuskia Oman - Oman.
Jmn hata ungeishi tz changa moto nisehem zamaisha hata hao wa omani wanachangamoto zao kikubwa kuvumiliana hata me nina mwaka 7 watoto wangu wanasoma pia najenga hivyo msiache tufungiwe sisi wengine ni wajane tuta tegemea hizi pesa za huku tuwasomeshe watoto wetu
Sio munawahiji wafanyakazi tu na maajent pia ni wabaya mno ndio chanzo kikubwa awawatetei wafanyakazi ata upige simu ili mladi wakipokea pesa na wanaweza kukublock jaribuni nawo kuwatafuta mujue ukweli
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Zamani watu hawanunui vijora kila harusi na tulikua tunakula mara tatu
naitwa zakia salim nipo oman iinakuja mala yannne nakaa vizuli sina neno namshukuru mungu Alhamdulillah
Mimi np oman nShukr naishi vzr sina shida alhamdulilah
Nimefanya miaka mitatu Dubai kwa malengo na nimevumilia ili nipunguzw malengo yangu nashukuru Mungu ila kazi za utumwa ukiziendekeza unarudi na maradhi maana so poa kila siku mwili wa uchungu ukijipanga tu maisha yanaenda ❤❤❤
Kabisa mamy
Miniko omn na nashukuru mungu naishi vizuri na boss wangu
Kwani mmelazimishwa kwenda msiende basi
Wanachezea pesa na wakati wa watu pesa sio kidogo wanazolipiwa ati wanalazwa na mbuzi, sio kweli kabisa
Nyie mnaokata Katherine lakini mm nimeshuhudia kabisa iyo kesi mbuzi 😢😢😢😢 kisa mbuzi kafa 😢😢😢nyie
Wengine waongo niwao hawatulii tuu.
Global napenda niweambie msipende kusikiliza umbea wao wasichana wanao toka Omani kama uyo alo sema kuwa wafanyakazi wa Omani wanalala na mbuzi nimuongo sana pia ni mshenzi kama waomani ni wabaya muulizeni mbona Ali funga ndoa na muomani
Usitetee vitu vya kijinga kila nchi inawatu wabaya na wazuri Kwa hiyo umeona Oman wote maraika?
😂😂😂😂
Wa afrika wengi wanapenda kudanga so kazi.
Kuna watu wanataka wakifika ktk nchi za watu waishi km wapo peponi mbona kila nchi maisha mabay na mazur yapo
Yani ww amina umesema ukweli omani tupo tunaishi kama tuko yumbani lakini lazima siku moja moja changa moto zina kuwepo waallaah hata mm sijawahi kupata chaga moto
Haya mambo mm huwa sipend kabisa kuyasikiliza , nikisikia tu habar za oman natoka kabisaa fasta maana najua habar za uongo mwing .
Sio Omani tuu Galf yote wakiwachiwa passport wanatoroka wengi wao wanatoroka kujiuza
OMAN HAKUNA NENO WENGI WAFANYAKAZI TUNAKUWA WAKOROFI WAKIFIKA HUKU WANATAKA KUDANGA UKU MAMBOAYO HAKUNA NAMSHUKURU MUNGU ALHAMDULILLAJ NIMEJENGA NYUMBA TATU
Nilikumsi mwenye kilemba cheusî
Wee dada mm naishi vizuri sana sijawahi kupata changa moto niko hata mm tuu nimefaidika sana tuu
Hiyo ni roho chafu na uchoyo wenu😮😮
Siyo Omani tuu ni kote….Gulf na kuna sheria siyo kama Tanzania 🇹🇿
Dada hawanawi bakuli mmoja maji hayo hayo kulikuwa na birika special linatiwa maji anapitishiwa mmoja mmoja wakati wa kunawa…
Wengi wanakimbia ndio sababu lakini wapo wenye bahati zao wanakuwa na paspotiy zao lakini sababu kubwa ndio hiyo
Mmeanza kupoteza mwelekeo wa vipindi ndege za Oman zimejaa mashaghala kila ziku zinawapeleka
Jamani kwa nini nyiye mnajita Waswahili? na nyiye siyo Waswahili. Wanokaa kwenye Coast tuu ndio wanaitwa Waswahili 😊. Watu wa Coast.
Tatizo la wadada wa kiswahili hawataki kazi wavivu sana.mbona wafanyakazi wa kiphilini Oman wako vizuri.kwakuwa wanajua waliloendea huko
Sheria za Oman,si mfanyakazi tu.hata mtu kawaida akienda,kwa mfano kaenda kutembea.lazma passport zinabaki Airport .unabaki na viza
Lkn Mbona wapo huku Omani wamekuja kutembea na mm nipo sijaona hizo passport kuacha Airport tn ndugu zng mm wp huku na wengine wanakuja kutembea cjaona hvyo
Mmi nipo omani miyaka 16 nasikabilisha nyumba
Maamuzi ni kubakia makwenu kuharibu nchi ya watu tu, kisha mushatapakaza ubaya halafu munajipeleka huko huko kwenye uonevu, waongo wakubwa, sijui munarogana ili musiweze kutumika ? Tumechoka kuskia Oman - Oman.
Jmn hata ungeishi tz changa moto nisehem zamaisha hata hao wa omani wanachangamoto zao kikubwa kuvumiliana hata me nina mwaka 7 watoto wangu wanasoma pia najenga hivyo msiache tufungiwe sisi wengine ni wajane tuta tegemea hizi pesa za huku tuwasomeshe watoto wetu
Siyajui
dada yangu wengine hawapendi kazi wanapenda kundanga na sio wote wanateswa jamani wengine tunafundisha watoto pia tunatizama familia
Akae nayo ila mshara wangu napata
Kazi nying sana jamani ukwel useme tu wapo wanao furah lkn kuna kazi nying sana lkn tunavumilia ndo shida tu
Sio nchi zote ni asia tu
Mm Niko omani Ila hayo mateso wanayo sema mm nakataa ww ukiwa bize na kazi na ukimpuuza mwarabu mbona yako yanaenda
Mbona wengi tuu wa Tz hawataki kazi mpaka wanafikia kuwaua watotoza maboss zao kama wale madocto walomiua mtoto wao hao dada zakazi
Sio munawahiji wafanyakazi tu na maajent pia ni wabaya mno ndio chanzo kikubwa awawatetei wafanyakazi ata upige simu ili mladi wakipokea pesa na wanaweza kukublock jaribuni nawo kuwatafuta mujue ukweli
Gabi ww mbona wamkazia uyo mama anauchungu umjuwi tu moyo wake
dawati wanakuwa hawasikilizi ndio maana kafikinya kusema hivyo dungu wamashindwa
Sasa ungekuwa wewe umechanwa kwa vijembe na Boss wako wa Tanzania wenzako wangesema nini?
Tupo tupo oman kaz kazin
Kazi nyingi ulitumwa uende??kaa kwenu uchome mkaa.kazi nyingi na pesa ni kubwa unayolipwa