Mchome,Ni kweli Simba Hawana kufua Cha kutunza Siri ya Usajili wa Wachezaji wao Wanaowasajili, Hawana Weledi, Wanawataja Wachezaji hao kwa Sifa ili waonekane Wanachama Wao, Tena KABLA ya Muda wa Usajili kufika wao na Azam. Nao Wameshaelekea wazi KABLA ya Muda. Hii ndiyo Nini. Sifa zinawaponza.
Mchome una jua sana ivii media hazi kuoni kukuajili
Tutamuombeya kazi crown 👑
Hongera sana mchome unafaa sana ansomba Simba mmchukue kama mnataka Simba mtoboe msimu huu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mchome nimekubali unajua washauri Sana wachezaji wa kigeni wanaleta chachu Sana na kuwaamsha wazawa
Kaka uko vizuri
Mchome mapovuuuuuu 🎉🎉🎉🎉🎉
Mchome alosema yote yamejiri.... msimu wa mwaka
Asante. Sana. Said. Mchome. Ukweli. Unaongea. Utakuweka. Huru. Daima. Mchome. Ulitakiwa. Kuwa. Mchambuzi. Ukweli. Usemwe. Makocha. Wazawa. Kinachowaponza. Njaa. Kali.
Hongera
Feisal hana adabu tu, angekua anamaadili mema na heshima asingefanya mambo ya kipuuzi, kitoto upuuzi. Ukosefu wa adabu tu
wew sio mamluki kama kina mzaramo
Mchome tumekuchoka
Nilikwambia ondoka huko tilipu hii watakula 7 tilipu ya pili 5
Hyo mike yenu 😢😢
Unapambana sana mchome
kisugu hana D mbili😂😂😂😂😂😂😂😂
Swadakitaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaar machomeeeeeee3e
Stashahada sio degree mchome ni diploma😂😂
Ukileta masuala ya wachezaji wa kigeni uo ni ubinafsi
Nikweli huna akili kibovu kiache
Mchome Stashahada ni diploma
Mchome,Ni kweli Simba Hawana kufua Cha kutunza Siri ya Usajili wa Wachezaji wao Wanaowasajili, Hawana Weledi, Wanawataja Wachezaji hao kwa Sifa ili waonekane Wanachama Wao, Tena KABLA ya Muda wa Usajili kufika wao na Azam. Nao Wameshaelekea wazi KABLA ya Muda. Hii ndiyo Nini. Sifa zinawaponza.
MCHOME MAPOOOVUUU KUBWA LA MAADUI WAAMBIE HAO MADUNDUKA WENZAKO