UKWELI Wanafunzi 468 Waliofeli Chuo cha sheria, Waziri Atangaza kamati watu 7 Kuja na majibu sababu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому

    tatizo vijana wametawaliwa na starehe nyng, wanafunzi wanakuja chukuliwa na Magari makubwa kwenda vilambu na makumbi za starehe hizo ndizo sababu kubwa za kufeli watoto wanapenda sana Mapenz

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 2 роки тому +1

    Pia bila kusahau baadhi ya wahitimu ni watoto wa viongozi ambao wanaingia vyuoni kwa upendeleo hata baada ya kubainika uwezo wao ni mdogo lkn bado watapokelewa vyuoni kwa migongo ya wazazi wao na matokeo yake ni kupata wahitimu vilaza. Na Hilo ni karibu vitengo vyote nchi nzima. Hilo ni janga kubwa sana nchini

  • @2010Tadeo
    @2010Tadeo 2 роки тому

    Uchunguzi uanzie walikosoma. Vyuoni na jinsi walivyochaguliwa kuingia ngazi ya chuo kikuu. Wachunguze wanafunzi wote waliofeli 100%. Graduates wengi sana hawajui hata kuandika barua nzuri ya kuomba kazi. Ni mapema mno kuwalaumu Law School. Jikumbusheni yule mkalimani aliyetafsiri hotuba ya raisi wa Afrika Kusini wakati wa kumuaga JPM. Hili suala likichunguzwa vizuri litaibua mengi sana kwenye elimu yetu. Mnakumbukua kipindi kile Ndalichako alivyoondoka baraza la mitihani. Law School wawe wa mwisho kulaumiwa kwa sababu wao wapo mwishoni kabisa. Wakiletewa mchele mbovu lazima wachambue sana.

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 2 роки тому

    Tatizo kubwa hapo halijaguswa, ambalo ni mfumo wenyewe wa elimu ktk nchi yetu.
    Huu utaratibu wa Law School (practical) ungelikuwa unaanzia vyuo vikuu hata kabla ya kufika Law school.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Ongeza walimu hata miambili wa kudumu nchi nzima walimu wa kudumu 14 je vyuo binafisi itakuaje?

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому

    Wanauza matokeo,kuna aliefeli,akatoa milioni13 mpakaleo ni wakili

  • @mbonimanakisenya4178
    @mbonimanakisenya4178 2 роки тому

    Sikweli watunga mitihani na malekcher waangaliwe wanaweza wakawa hawana ubora hiii nchi naijua

  • @amourmattar773
    @amourmattar773 2 роки тому

    Mwanzo wake sheriia ngumu na baadae utekelezaji wake ni mgumu

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Hata lugha ya kisheliya hawajuwi kabisa wakipata mihuli tu ni utajili jaji mkuu awe makini na muhuli wake

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Nani vishoka wengi

  • @jamaliahmadi1383
    @jamaliahmadi1383 2 роки тому

    Walimu wanaofundisha vyuo vikuu hawana taaluma ya uwalimu ,wanajiita wahadhili ,Badilisheni mfumo wa kuajili watu kwa kigezo cha GPA ,anaetaka kufundisha chuo kikuu awe na taaluma ya uwalimu ,

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 роки тому

    Yani kupata Wana Sheria Kama tundu lisu nchi hii kwasasa ningumu sana

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 2 роки тому

    Hapo walimu chenga

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 2 роки тому

    Uwezo mdogo wa lugha Ni tatizo

  • @jaymore6785
    @jaymore6785 2 роки тому

    Hao ndio wanafunzi hewa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 2 роки тому

    Walimu wachunguzwe nao wafukuzwe yapo mengi vyuoni ya kunyanyasa wanafunI hasa wa kike

  • @rajaburajabu615
    @rajaburajabu615 2 роки тому

    Find money bro

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 2 роки тому

    Upuuzi mtupu walifanyaje huko nyuma hadi wanatoka mwaka wa kwanza , wapili . watatu ndo unakuja kutwambia umekamata robo tatu ya dalasa . maelezo yako nawewe umefeli .

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 2 роки тому

    Hapo waliofel ni walimu. Maana yake ni nyepesi tu, theory yake ni ndogo wakiferi wanafunzi maana yake hawakuelewa.
    Mwanafunzi anapokuwa chuo kikuu siyo muda wa kumfanyia majaribio. Kwa nini msirecruit wachache mkahakikisha wanaelewa kifaulu.
    Watu wanatumia muda wao na gharama halafu mnaleta just hoja nyepesi!!! Ni vyema kuwa na tija.