Nguvu ya Mwanzo wa Mwezi - Pastor John Sembatwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #subscribe #PastorJohnSembatwa #mapambazuko
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii kama Facebook, Instagram, Tiktok na Yotube jina la Pastor John Sembatwa.
    Huduma Zetu:
    Alfajili Kila siku (Saa 09:30 Usiku) - Mapambazuko | UA-cam Live
    Jumatatu (Saa 09:30 Alfajili) - Baraka za Wiki | UA-cam Live
    Jumanne (Saa 03:30 Usiku) - Unlimited Blessings | Zoom Meeting
    Jumatano (Saa 07:00 Mchana) - UA-cam Live
    Alhamisi (Saa 03:30 Usiku) - Unlimited Blessings | Zoom Meeting
    NB: KUANZIA JUMATATU - JUMAPILI NI IBADA YA MAPAMBAZUKO (LIVE)
    Unaguswa kwa namna yoyote kwa ajiri ya kuwezesha Ibada hizi ziweze kuwafikia watu wengi, Namba ya Sadaka ni +255 757 073 926 Jina: John Sembatwa.

КОМЕНТАРІ • 4