Nipo kwenye ndoa haipungui miaka 5 sijapata mtoto napitia changamoto nyingi * kuna muda najikuta xn tena thamn yakuishi kwa changamoto ninazo pitia * naomba mwenye dawa anitafute * naumia xn
Doctor naingia period siku5 nikafanye mapenz siku ya kumi tano naweza kushika mimba na niliingia period asubuhi saa2, hiyo siku ya kumi na tano niliyokutana na mwanaume nilikuwa saa8 usiku naomba nisaidie majibu
Je nikishirikiki siku yakuminamoja nakuminambili nakuminatatu nakumi nanne nakumitanano arafu siku ya kuminasita nakuminasaba nisishiriki naweza pata ujauzito
Proud of hijab mashallah
Nimekuwa nikitumia depo ya 3 months sasa nimemeza pills za 28days mwenzi wa saba sijapata period inawezekano nimepata mimba Asante
Mm naingia period tr 29 au 30 sasa siku ya hatar ni lini apo
Asante sana doctor kwakutuelimisha mungu azidi kukutunza
Masha’ALLAH
Nimekuelewa dokta Mungu akubari
Asante sn Dada
Nipo kwenye ndoa haipungui miaka 5 sijapata mtoto napitia changamoto nyingi * kuna muda najikuta xn tena thamn yakuishi kwa changamoto ninazo pitia * naomba mwenye dawa anitafute * naumia xn
Naomba munambia ck yakubeb ujauzit wamtot wakiume
Namb vp
Jaman sisi wengine tukishamaliza damu ya uzazi basi huwa aitoki Tena mpaka ukistuka tayari ime ingia mimba hii nayo nivip
Je kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 45😢
Mtu au nguruwe? 😇
Mwisho 35 hakuna 45
Shukran Dr kisiwa❤
Nimekuelewa sana ❤❤❤❤asante
Naomba namba yako
Je km mzunguko ni siku 25 cku za hatari ni lini
🥰🥰🥰
Doctor me naenda hedhi siku 5 je naweza shika mimba siku ya ngapi nikianza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya hedh
Na ukitumia painkiller yeyote na uende upatane na mwanaume kimapenzi unaeza pata mimba kweli
Nimekuelewa
Oh my god spat mimba nmeacha kijiti mwez w nne shda t na mume
Mwanamke akitoa njiti humchukua mda gani kupata mimba
Doctor naingia period siku5 nikafanye mapenz siku ya kumi tano naweza kushika mimba na niliingia period asubuhi saa2, hiyo siku ya kumi na tano niliyokutana na mwanaume nilikuwa saa8 usiku naomba nisaidie majibu
Kama una musunguko wa siku 31...ni zipi siku sisizo za hatari naomba mnisaidie
Mbona madaktari wengine wanasema ukimaliza period sikuya9 mpaka sikuya19 unaweza kumpata ujauzito apo inakuaje
Napenda kujua nimept mzngko tarh 19 nikatok je sik y Hart n ipi wag nachngny nielekeze
Mashallah ❤
Ee dokta tusaidie kuhesabu siku hatri za kubeba mimba pind pale msichan au mwanamke anapotoka period ,imean that kwenye aiku zake please help us🙏🙏🙏🙏
Naomba kuuliza unapo kua kwenye tendo la ndoa ukawa unahisi maumivu shida kubwa nn
😊samahani Dr Kuna mzunguko wa siku 29?.
Mm kuna dem nimefanya nae mapenz je tangia ametoka Ana sk tatu ndo nikakutANA nae anaweza pata mimba????
Hiyo app inaitwaje
Mtu mweny mzunguko 30 inakuaj
Doctor habari naomba namba zako please 🙏
MashaAllah Tabaraka Allah
Upon hospital gani?
Doct nisaidie namba zako
Mimi naomba nilipata matumizi was 7tareh 2nikaenda siku ya hatari lakini bado sijapata Tena Hadi leo nimepima Sina mimba ii imekaaje?wiki 1imepita
Nimekaa siku 8 piliodi je nitazijuaje siku za hatali naomba unisaidie
Thanks
😊ka mwamuke anaonaka mwanzo wa mwezi n'a paka siku 21 ajaona kukoni?
Mm siku zinabadilika nlikuwa na mzunguko wa siku 28 sa hv mara 25 mara 26
Swali langu ni kwamba Kuna uwezekano WA kushika mimba baada ya mzunguko siku tatu mbele?
As aleykum mm naomba namba nahitaji kuongea nina changamoto
Doctor samahani sasa mi mzunguko wangu ni siku 32
Je kama siku zinachanganya unafanyeje
Doctor samahn ukiingia period tare 20 kuna uwezekn wa kubeb mimba
Doctor unaweza ukawa umeshika mimba alafu ukaona Ute wa yai
Samahani naomba namba yako dada
Naomba kuulizia naumwa Sana chango pia natamani mtoto je nikituma siku za hatar nitapata mimba
Tumia patakuva au mzugwa change linapoa kwa uwezo wa mungu na utapata mtoto kwa uwezo wa Mungu
Patakuva ama mzungwa change ni dawa za asilia ama
Na hata mimi naumwa sana chango na sina mtoto
Mi nilianza kubulidi tarehe 23 nimemaliza 27 hapoo nahesabu vipi nipate mimba
Dada hata mimi ni hivyo ukipata majibu unamimbe na mimi nimeingine tare 23 nikamaliza 27😢
Mm nataka kujua nimemaliza piliod zangu nakuomba nielekeze namna ya kupata mtoto wa kiume doctor
Me nimeingia tarh2 mpk leo trh25 je naweza kua nna mimba
Naomb phone number ili niweze kukuuliz maswali tafadhali
Je nikishirikiki siku yakuminamoja nakuminambili nakuminatatu nakumi nanne nakumitanano arafu siku ya kuminasita nakuminasaba nisishiriki naweza pata ujauzito
Naomba kuuliza ukimaliza period unaweza kupata mimba 😅
Eee
Doctar samahan mi nna swari nilitoa kijiti wakati nipo kwenye siku zangu af nikafanya malenzi siku za atar je naweza nikawa nilishika ujauzito
Doctor Mimi nilifanya mapenzi siku ya kumi na sita tokea nimalize hedhi je naweza kupata mimba naomba unijibu madam
Ndio boss
Jaman mm ndo sielewi kabisaa kila mwezi naingia tarehe 20 au 21 hazizidi hapo lakin sijui kehesabu yan sielewi chochote nisaidie jaman
Mim naombwa kusaidiwa nashiriki tendo la ndoa lakin sijaweza kupat ujauzito shida itakuwa nini
Je kama siku zinachanganya unafanyeje