DUDU BAYA ANAVUNJA UKIMYA MAZITO ALIYOFANYIZIWA |'INATISHA'| AWATAJA WOTE | SNR S02EP03

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kwenye Story And Rhymes episode ya tatu, tunakukutanisha na msanii nguli wa muziki wa Hip hop nchini, Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya ambaye amefichua siri zote za chanzo cha kupotea kwake kwa muda mrefu na mengi unayopaswa kuyajua kuhusu maisha yake kutoka mwanzo wa sanaa yake mpaka sasa.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #DuduBaya #HarounTambwe

КОМЕНТАРІ • 36

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 7 місяців тому +4

    Konki masta respect Sana brother

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 7 місяців тому +3

    Bonge la mtangazaji dudu baya umeongea vzr sana basata muangalieni huyu mtu mchukueni awasaidieni kwenye majukumu yenu ya kazi

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 7 місяців тому +4

    Wekeni AC studioooo

  • @user-el7vo4up8n
    @user-el7vo4up8n 6 місяців тому +1

    Serikali mchukueni Dudu Baya ..Huyu jamaa ana madini makubwa ya kuisaidia hii nchi

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 7 місяців тому +1

    Kaka uko vizuri tatzo tz ukiwa masikin huna hoja mungu akujalie mapambano yatakayo fanya SERIKALI ikusikie!!¡

  • @abdulrahimowino1235
    @abdulrahimowino1235 7 місяців тому

    'Nakupenda mpenzi usiyependa chapa,nakupenda mpenzi usiyependa doo'...Big up my G Dudu Baya..Nuff respect from Kenya. 🇰🇪

  • @Byme6434
    @Byme6434 8 місяців тому +3

    Sauti inafanana na ya Milardayo Upo Vzr bro Na Dudu namkubali Asilimia 100

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 7 місяців тому +7

    Bro you should have gone independent,the industry is run by the devil..Go Independent,you won't get frustrated.

    • @dastonamichaels1854
      @dastonamichaels1854 7 місяців тому +2

      Atleast you're here this guy needs a tap from like minded artist like you

  • @user-sq4ui6ff7y
    @user-sq4ui6ff7y 8 місяців тому +3

    BONGE MMOJA LA PRESENTER TAMBWE 🎉🎉 SIKUA NAJUA KAMA KUNA PRESENTER MKALII KAMA WEWE
    PLEASE BRO WEKA NO YAKO HAPA 🙏🙏

  • @luganojohn2673
    @luganojohn2673 8 місяців тому +2

    Akili kubwa mamba bonge la interview 👏👏

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 7 місяців тому +2

    Mamba siku zote hakuwai kufanya interview mbovu.

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 7 місяців тому +1

    pole sana brother. Kifo kingine cha kustukizia ni cha Kusaga.

  • @saidimgawe6548
    @saidimgawe6548 2 місяці тому

    ❤🎉

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 місяців тому

    Genius

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q 8 місяців тому

    Genius sana jamaa❤❤

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 8 місяців тому

    Respect

  • @user-pt7lc4xu3d
    @user-pt7lc4xu3d 8 місяців тому

    Akili sana konk

  • @pidpower9920
    @pidpower9920 7 місяців тому

    MAMBAZI KONK BABA NAKUKUBALI MBAYA MBOVU WEWE NI GAME CHANGER NAKUPENDA MPENZI USIYE PENDA CHAPAA

  • @user-wy6tv5uq5c
    @user-wy6tv5uq5c 7 місяців тому

    Show za bongo zote ni mipango ya kusaga amekufa ila mawazo yake yananaishi majani nae ashukuriwe

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 7 місяців тому

    dudu baya aka mapafu ya mbwaa msema mkweli

  • @inocentmbowe4160
    @inocentmbowe4160 7 місяців тому

    Dudu baya 🙌

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 8 місяців тому +1

    Wakat mwingine mention PART

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 7 місяців тому

    Music industry ni ya devils illuminat

  • @strong8534
    @strong8534 7 місяців тому

    Ulaya😮😮

  • @getrudamatoto5277
    @getrudamatoto5277 7 місяців тому

    Konki sawa.. ila hapo uliposema bado unapiga sana show ulaya umetupiga😂😂😂😂

  • @africafunnyanimals
    @africafunnyanimals 8 місяців тому +1

    BASATA hayo hawayaoni kabisaaa?

  • @user-zj7ml3ep3c
    @user-zj7ml3ep3c 7 місяців тому

    Dudu timamu sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 8 місяців тому +1

    Dudu anasema bado anapiga show za ulaya sio?

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 7 місяців тому

    Clouds mpaka mtu afe ndio utaona wanaku'post..

  • @hezekiamchuma893
    @hezekiamchuma893 7 місяців тому

    Umeongea vzr lkn hapo ulipo sema unapiga show ulaya mpk saiv hapo ndo umetudanganya

  • @selemanimchana3598
    @selemanimchana3598 7 місяців тому

    Kwenye Mandela hapo walifananishiwa mamba sio yeye yule

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 8 місяців тому

    Basata mtumieni huyu atawasaidia

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 7 місяців тому

    Video Dakika36 Na Sekunde53 Cha Ajabu Ikipley Dakika1 Inazunguruka Kama Saa Mbovu Video Itaisha Saangapi King'amuzzi Cha Weifa Kipo Karibu Sana Tatizo UA-cam Au Weifa Kwanini Africa Tunaletewa Uduma Feki Ulaya Kwetu Fulaha Hi Sio Sawa Wakati Simu Nyingi Zinauzwa Africa

    • @pidpower9920
      @pidpower9920 7 місяців тому

      Tafuta mtandao acha kuchafua watu