Zijue Aina Nne za Kibri Upate Kusalimika | Sheikh Muhammad Bahero
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Ndugu muislamu, tujiepushe na kibri kwani hatari yake ni kubwa mno. Usijifananishe na kaum zilizoanagmia, au kujiona bora kwa ibada zako. Allah ameikemea kibri kwani ndio hata iliyomtoa shaitan kwa rahma ya Mola wake.
Tafadhali subscribe kwa UA-cam channel yetu:
---Sheikh Muhammad Bahero
Na FOLLOW Instagram page yetu:
---Mohamed Bahero
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh
Shukraan sanaaaa
Allah azid kukuhifadh na shari na kila wenye shar akufurahish hap dunian na kesho akhera atuhifadh na atuwek mbal na kibri na aturuzik mwish mwema amiin yaa rabby
Sheikh maashaallah nmeipenda hii kuna watu wana taqwa mita yaan hupima Iman za wenzao,shukraan yaa sheikh Allah atulinde na sifa hizi
Mashaallah Allah akuhifadh shekh wetu ukoo vizuri sana
Shukran Yaarabi tupe mwisho mwema
Asante Muhammad bahero
Jazzakallah khayra
Masha Allah
Kweli kabixa sheikh
Shukran bahero
Jaazakallahkhery
Maashaallah
Inshaallah sheikh wangu
Sheikh naomba kupata mawasiliano yako kama inaruhusiwa maana nataka kujua hali ya dada yetu yule mgonjwa
Naam karibu sana
+25405414144
Shekh naomba nitumie namba zako nataka tuonge vizuri nije kusoma kwako