MOVICH YANGA APAGAWA NA UWEZO WA DUKE ABUYA "AUCHO HATA ASIPOCHEZA TENA" | AGUSIA ISHU YA DIARRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 3

  • @hyasintalyimo9450
    @hyasintalyimo9450 5 годин тому

    Saaafiii hata mimi mwamnyeto the best

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 2 години тому

    Hatuwezi kuisifu time yetu ikiwa yanga itashinda ugenini ndio sasa tuanze kuingalia hali itakavyo kuwa kama tutashinda mechi nyingine ya pili ya ligi kuu basa hapo timu itakuwa sasa gari letu limewaka moto na nilazima hawa makolo watafute mchawi wakati huo haiwezekani tena tuiombee tim yetu iweze kufanya vizuri zaidi mungu ibariki yanga mungu ibariki tanzania kila la heri yanga kwa mchezo ujao tuweze kuishinda ugenini zidi time ya huko Algeria

  • @SameerMngazija
    @SameerMngazija 5 годин тому

    Yule duke babu nibonge lafundi dah zilepasi utasema segio busket