LIST YA MASTAA WA BONGO WALIOHAMIA MAREKANI NA ULAYA,,MPWA WA DIAMOND PLATNUMZ yuko UK 🇬🇧 🇺🇸

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 154

  • @THETHIRDTV_
    @THETHIRDTV_  3 місяці тому +5

    LIST NYINGINE ZA MASTAA WALIOHAMIA MAREKANI NA ULAYA ZIKO HAPA!!
    ua-cam.com/play/PLCnaRiyf2kgjRsprbJiB3lVsmN8DE132X.html&si=r2UqAfx1hX4LDyZO

    • @diddyexpert
      @diddyexpert 2 місяці тому

      Mbona mm ujanizungumzia

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому +22

    Jmn mzee magari nirimiss sana nirikuwa najiuriza yupo wap hai au amekufa jmn mungu ampe maisha malefu toka kanumba afe watu wote wamesepa na kuacha kuigiza

  • @NANGATV123
    @NANGATV123 3 місяці тому +6

    Mzee magari jilani yangu nimtu safina niko nae tupo lagoz

  • @ellenkabeta7561
    @ellenkabeta7561 4 місяці тому +12

    Me naona sometimes wanataka kuishi normal life coz ustar unakuwa na mambo mengi sasa akitaka kuishi hapa normal life wabongo wataanza kusema amefulia na maneno mengine but wakienda nje wanakuwa huru coz wanakuwa hawajulikan

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 3 місяці тому +6

    I love frenk ❤❤❤japo nimkubwa kimri nipeni connection watanzania

  • @elizabethverael1709
    @elizabethverael1709 3 місяці тому +2

    Daaah Frank nilikua namuelewa, na mzee Magari much love ❤

  • @CyprianBCTanzania
    @CyprianBCTanzania 3 місяці тому +1

    Nabii kwao Haeshimiki,
    Safi sana ifikie mahali tuache mazoea, Hii Dunia yote ni yetu na tumeandaliwa kuishi bila shaka japo mazoea na kutowaza nje ya box, Safi sana tena ikiwezekana na wengine wachape mwendo tuwe wengi zaidi pia hata ndugu zetu wawe wanapata experience tofauti na safari za nje bila shaka maana ndugu zao tunakuwepo ughaibuni

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 2 місяці тому +3

    Kuishi bongo ni kukosa muelekeo tu lakini kikawaida bongo bahati mbaya 😊

  • @user-fb5fs8ye5y
    @user-fb5fs8ye5y 3 місяці тому +9

    Frank jamni hazéeki jamni 🥰🥰🥰

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 3 місяці тому +2

    Frank baybe❤❤❤miss you so,so much Mohamed Mwikongi😢

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому +2

    Frenk jaman ludi tunakumis sana❤❤❤

  • @Editha-og5ei
    @Editha-og5ei 3 місяці тому +3

    Nimekumiss frank jaman enzi hizo ukiigiza nilikuwa naenjoy mno love you

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 місяці тому +11

    Mm binafsi nipo uingereza ni kweli mastaa wanakimbia nyumbani na kukimbilia huku ughaibuni kwasababu huku kuna fursa nyingi sana na mpunga wa kutosha lakini uko hatufocus sana na maendeleo ni kutakiana mabaya tu kila kukicha

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 3 місяці тому

      Saw ebu tutafutie bas n sis tukujee

    • @user-mu7fl1gs8v
      @user-mu7fl1gs8v 3 місяці тому

      Ni fursa gani ziko huko niunganishe please 🙏 🙏 🙏 🙏

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 3 місяці тому

      Fulsaa basi muwafulishe na vijana wengne wakujeee

    • @jumahilali2309
      @jumahilali2309 3 місяці тому

      Nipe connection mzee

    • @jumahilali2309
      @jumahilali2309 3 місяці тому

      Nipe connection mzee

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 місяці тому +3

    Europe/ US is and will never be a better place to live for a Blackman.
    Time will tell.
    I love Tz

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому +1

      Better for making money and investing back home

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 3 місяці тому

      Europeans and the Us made more money from Africa ,Asia and middle East than from their own countries.
      Political science and history tells us so!

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому +4

    Nampenda sana frenk jmn toka mdgo wanaegizaga me namuona japo nirikuwa wa makamo

  • @nyandwiniyera5535
    @nyandwiniyera5535 3 місяці тому +23

    Mzeemagari ni jirani yangu hapa Marekani nijirani mwema tu jamani 🥰

  • @hamadramadhan8422
    @hamadramadhan8422 3 місяці тому +6

    Ata mim ni soon tu nitakuwa ugaibuni maana bongo mambo ayajawa mazuri ngoja tujaribu nje😂😂😂

    • @issahhussein1922
      @issahhussein1922 3 місяці тому

      Karibu hakikisha unajiandaa kisaikolojia zaidi kuliko kifedha

  • @josephkahindi1713
    @josephkahindi1713 3 місяці тому +3

    Joseph kahìndi nae tuko nae japan

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 3 місяці тому +1

    Nice

  • @user-ji6cp1ng8g
    @user-ji6cp1ng8g 4 місяці тому +32

    Frenk enzi ya kaole kitambo sana ila hazeek kipindi iko bila kumuona yy hauckii rah anajua mpk anajua tena nakumbuka ule mchezo mke wake kipofu yule mdada nimemsahau jina ila alikuwa anafanana na tea

    • @steveanthon5523
      @steveanthon5523 3 місяці тому +2

      Huyo mdada anaitwa Kemy, saiv yupo juwa kali anaigiza kama bibi dorothy na frank huko kijijini

    • @baeyanka5264
      @baeyanka5264 3 місяці тому +1

      Nampenda sana Frank saut yake

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 3 місяці тому +1

    Frenk❤

  • @KudrackAbubakar
    @KudrackAbubakar 3 місяці тому +3

    Mimi mwenyewe sio star ila bongo napakimbia muda sio mrefu

  • @chire4574
    @chire4574 4 місяці тому +7

    Acha story nyingi nenda kwenye point

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 2 місяці тому +1

    Ngoja nikomae na kilimo yote Mipango ya sir God

  • @maryamalhajri722
    @maryamalhajri722 3 місяці тому +6

    sonia yupo france

  • @CHIEFJAY-il3fs
    @CHIEFJAY-il3fs 2 місяці тому

    hongera zao

  • @user-li8lm7it9j
    @user-li8lm7it9j 3 місяці тому

    Clouds

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 місяці тому

    Frank Kanenepa Sanaa

  • @masimakarume9715
    @masimakarume9715 2 місяці тому +2

    Nachotamani kujua ni wanafanya kaz gn huko nje ya hz za kiburudani ambazo tulikuwa tunazijua huku

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 3 місяці тому

    Bongo juwa kali bhana

  • @jescambilinyi
    @jescambilinyi 4 місяці тому +3

    Lucy komba pia

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 3 місяці тому

    Snoop Lee yupe Germany.

  • @user-rc6ww6rx7n
    @user-rc6ww6rx7n 3 місяці тому +2

    Bongo co nchi ya kuishi hy kilakitu ujanja ujanja tu vt havinyooki nsy maana waelewa tunasepa

  • @EmJesho
    @EmJesho 3 місяці тому +2

    Jamani frenk namkumbuka sn

  • @ZakaZakazi-rd7wo
    @ZakaZakazi-rd7wo 3 місяці тому +3

    Mm mwenyewe na mpango wa kwenda zangu Ng,ambo bongo michosho

  • @ikramuabdul2905
    @ikramuabdul2905 3 місяці тому +1

    Wanaenda Luisa nje Coz wenzetu wapo na free mind kinoma kuliko hata unavofikiria nawala sio nyumbani

  • @user-sk3nh5uq2l
    @user-sk3nh5uq2l 3 місяці тому +2

    Miki j naepia sema yeye yuko canada

  • @jescambilinyi
    @jescambilinyi 4 місяці тому +2

    Diana kimaro pia

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 місяці тому

    Izobisness

  • @user-sg9kz1fc6s
    @user-sg9kz1fc6s 3 місяці тому

    Rey C 🎉

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      ua-cam.com/play/PLCnaRiyf2kgjRsprbJiB3lVsmN8DE132X.html&si=r2UqAfx1hX4LDyZO

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 3 місяці тому

    Mzee magari nilijiuliza sana kwanini hachezi mvi

  • @diddyexpert
    @diddyexpert 2 місяці тому +1

    Ata mm sipo bongo tena

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 3 місяці тому +1

    Bongo uwezi kutoboa kimaisha kwasababu ushikina mwingi sana

  • @user-yp1lm5fb1v
    @user-yp1lm5fb1v 3 місяці тому

    Solofing hujamutaja

  • @Vanelsing_
    @Vanelsing_ 2 місяці тому +1

    We dada hiki kimabeste kimsanii cha juzi utuambie kwamba watoto wa 2000 hatumjui dish lako limeyumba

  • @doriceathumani8270
    @doriceathumani8270 Місяць тому

    Dah tunammiss sana Frank arudi jamani 😢

  • @user-es5me9jm3s
    @user-es5me9jm3s 4 місяці тому +2

    Njaaa 😂😂😂😂😂

  • @limymasele21
    @limymasele21 Місяць тому

    Ameniuma sana mzee magari sikutegemea kama yupo huko ila poa haina noma kikubwa uhai

  • @allysaid4679
    @allysaid4679 3 місяці тому

    Jamani Raha P yupo wapi kitambo sana

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 місяці тому

    Vijana wanakimbia life gumu bongo

  • @Mutubure
    @Mutubure 2 місяці тому +1

    Njaaa ni nyingii bongo

  • @AllyYunus
    @AllyYunus 3 місяці тому +2

    Sio mastaar tuu wanaokimbia watanzania wengi tunakimbia uko nyumbani hali mbaya mi mwenyewe naandika apa sipo tz

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 3 місяці тому

    Hata me nikipata chance ya kuishi Unyamwezini sikai hapa Tz

  • @user-zr1iy1ss5y
    @user-zr1iy1ss5y 3 місяці тому +1

    Frank alitaka kufanana na mwijaku kdg

  • @FurahaSebastian
    @FurahaSebastian 3 місяці тому

    Huko nikuzuri tatizo hapa umbeyà mwingi sana

  • @AbdulGermany210
    @AbdulGermany210 3 місяці тому +1

    Frank yupo Ulaya sio Marekani,either Norway au sweden kati ya hiyo

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 3 місяці тому +6

    Angel Benard naye yupo marekani texas

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Asante kwa ukumbusho ..list lazima iendelee....

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 місяці тому +1

    Bongo nyoso, nan anataka kuishi hapa

  • @yusuphkintu562
    @yusuphkintu562 3 місяці тому

    Solo thang,mr paul ,wote hao barozi dorosa wapi uyo

  • @user-kn8mg2su7i
    @user-kn8mg2su7i 3 місяці тому +1

    Ushirikina mwingi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 3 місяці тому

    Sonia mwenzako paula anataka kuzaa

  • @bennie7239
    @bennie7239 3 місяці тому

    Lah P pia yuko State kitambo tu....ile vocal ya mdada kwenye ngoma ya MIKASI ya late Mangwair...

  • @ibrahbird9727
    @ibrahbird9727 3 місяці тому +1

    Wapo Weng sana tena wasanii wa kitambo ndio usiseme
    Chiv hanson
    balozi
    jd yusuf
    solothang
    chindo man
    rah p
    machozi
    yani wengi sana sana tutaowajua na tusio wajua

  • @zahranassor7809
    @zahranassor7809 3 місяці тому +1

    Sihamii bongo mpaka mwisho wa dunia maana nyumbani ni nyumbani tu na bongo ni raha sana na tupo huru sana maisha ya ughaibuni asiwadanganye mtu ni ya kawaida tu na hawana uhuru kabisa kama huku kwetu yaani ni masharti kwa kwenda mbele hata kucheka kwa kibali maalum 🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 місяці тому

    Nikitoboa lazima nihame Bongo

  • @mohamedimkonde9532
    @mohamedimkonde9532 3 місяці тому

    Kuna balozi dola soul ,

  • @user-jq8wx7zz6j
    @user-jq8wx7zz6j Місяць тому

    Wapi sofia kanumba na jamila?

  • @user-yq2zp2lc9c
    @user-yq2zp2lc9c 3 місяці тому

    Maskini frenk tunakumiss

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 3 місяці тому +1

    Mimi ata unipe hela nje ya nchi siendi upuuzi mtupu maisha kote magumu

    • @AbdulGermany210
      @AbdulGermany210 3 місяці тому

      Ujafika ukifika utaelewa maana ya mbele na Bongo,Ulaya unaumia wewe mzazi tu kufanya kazi ila huumii kuhusu watoto shule ni bure hakuna matabaka kama bongo ,kuna shule za kayumba na shule za wenye pesa huku hakuna hiyo,hakuna ada wala kuvaa uniform

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 3 місяці тому

    Kumbe ma beste hayupo bongo

  • @KelvinKasalama-rd3qp
    @KelvinKasalama-rd3qp 2 місяці тому

    Ukweli maisha ni popote dunia ni yetu sote kikubwa uzima

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 3 місяці тому +1

    Usenge tu😂watoto WA elfu mbili wamefanyaje

  • @SuzyJonh
    @SuzyJonh Місяць тому

    Frank wetu jaman ndy maana simuon

  • @mwajumaroya7404
    @mwajumaroya7404 3 місяці тому

    Frenk l miss you my brother 😢😍🥰

  • @user-ke6ec9bi4e
    @user-ke6ec9bi4e 3 місяці тому

    Sawa lakini je wanafanya kazi gani uko au kula kulala

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 3 місяці тому

    Sollo thang

  • @masoudmohamed767
    @masoudmohamed767 3 місяці тому +5

    Umemsahau Shija Mzee wa kwenda ulaya kila movie yupo Canada

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Shukrani

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 3 місяці тому

      H😂😂😂😂😂😂😂😂wallah ndto yake ilitimiaa mm ktka ndto yangu nataman kufka ital ama dubai ama canada nisikufe before cjakanyaga uko

    • @tunutamba3595
      @tunutamba3595 27 днів тому

      @@masoudmohamed767 😀😀

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 місяці тому

    Nchi yenyewe inaitwa Bongo, akili Sana, nguvu Sana, kipato kiduchu au hakuna kabisa

  • @jaxmkada6797
    @jaxmkada6797 3 місяці тому +1

    Ipo siku na mm nitakuwa ulaya jamaniiii

    • @user-kd5yi9jo1g
      @user-kd5yi9jo1g Місяць тому

      Mimi mwenyewe baada ya miaka mitano uingereza mwananchi🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿👨‍👩‍👧

  • @omarymsumi1865
    @omarymsumi1865 3 місяці тому

    Ww mabeste kavutwa na lakaaake yupo kule nasio mwanamke

    • @maulidjuma9203
      @maulidjuma9203 3 місяці тому

      Hakuna star hapo star awezi kwenda ulaya USA kutafuta kz yani akaanze zero mastar bongo tunawajuwa awezi kuafanya kz kwa 3000dola

  • @solangeramadhani4038
    @solangeramadhani4038 3 місяці тому

    Frank na mzee magari wapo ILLINOIS

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 3 місяці тому

    Wabongo wapo busy kujua kazi za ulaya 😂😂 eti utasikia kwani huko ma-star wetu wanafanya kazi gani..

  • @CatherineAlly-lx3fp
    @CatherineAlly-lx3fp 3 місяці тому +1

    Huseni machozi

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Yupo kwenye previous video

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th 3 місяці тому

    Aiseee kama hamjuagi ni kwamba Roma kavunjwa uume hawezi kufanya tendo la ndoa ndomaana hajamchukua mkewe kama uamini ipo ivo.

    • @racheljob6601
      @racheljob6601 3 місяці тому

      😂😂😂 daaah ila wabongo una ushahidi

    • @kazimoto-eq2th
      @kazimoto-eq2th 2 місяці тому +1

      @@racheljob6601 kama hamuamini angalia roma hadi anakufa haji kukaa na mke na huko marekani hana demu na akiwa nae skendo tu ila ukweli.utakuja kuamini fatilia

  • @OmariNkalami-nh6fl
    @OmariNkalami-nh6fl 3 місяці тому

    Mchongo mkumbwa😅

  • @memoryeliass9558
    @memoryeliass9558 3 місяці тому

    stori zimezidi sana ndio maana unasahau watu. punguza mastori hayo.

  • @vicentcornely4890
    @vicentcornely4890 2 місяці тому

    Hawafanyi kazi hizo kwasababu siyo wasanii ni waganga njaa tu.
    Huko msanii anaanzia shule za awali kabisa tofauti na sisi huku tunawapotezea muda kuanzia shule za awali hawajui wanasoma nini mpaka anafikia uzeeni huko ndio anaenda chuo cha sanaa mara moja tu .
    Inatakiwa turekebishe hili ni tatizo kubwa sana , tutengeneze shule za sanaa watu wasome kuanzia awali (utotoni) mpaka chuo kikuu awe amesomea sanaa tu popote atakapoenda anakuwa msanii n.k
    Tuondoe huu mfumo wa elimu wa kupoteza muda wa watoto wetu , mtoto unamsomesha masomo 20 alafu ukubwani ndio anakuja kusoma sanaa ,mwisho wake anakuwa haieleweki yeye ni nani na afanye nini

  • @EstherGodwin-ig6mt
    @EstherGodwin-ig6mt 3 місяці тому

    Slaves hameni wote mniache mm huku

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 3 місяці тому

    Mzee magari tukonaye hapa Illinois US, tunafanyanaye kazi pamoja.

  • @faridaltamimi7454
    @faridaltamimi7454 3 місяці тому

    HUKU KUNAITWA MAMTONI HUWEZI KWENDA KUTAMBA NCHI ZA WATU

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 4 місяці тому +2

    Gonja murusi atoe mamuzi mangumu wanze kuomba msanda

  • @boubabizo246
    @boubabizo246 3 місяці тому

    Eti wanakimbia nini apa bongo? Kweli hilo swali? Wewe nikubebe dubai tu, utasepa bongo

  • @Official83640
    @Official83640 3 місяці тому +2

    Kwahy Sonia na Tahiya washakuwa mastar eeh hd wanawekwa km wanaishi nje jaman wakati wanasoma tu basi muwekeni na Mtoto wa Manara na mie mniweke maana np nje mwaka wa 6 huu😂😂😂
    Solo Thang umemsahau au

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Si unawajua lakini!!! They are famous"

    • @Just_a_gal.
      @Just_a_gal. 3 місяці тому

      Ushaambiwa list ni ya Marekani na Ulaya tu,,sasa huyo mtoto wa Manara huko Asia anaingiaje humu

    • @Official83640
      @Official83640 3 місяці тому

      @@Just_a_gal.
      Sasa Sonia yupo Marekani umeambiwa 🤣🤣

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 3 місяці тому +1

    Reyc yuko wapi?

  • @uriotv9989
    @uriotv9989 3 місяці тому

    Roma mkatoliki

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Yupo kwenye previous video

  • @publicrelations4600
    @publicrelations4600 3 місяці тому

    Yaani unamuacha Hussein machozi unamuweka sonia sasa huyo demu usanii kaanza lini?

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_  3 місяці тому

      Husein yupo kwenye previous video

  • @user-yq2zp2lc9c
    @user-yq2zp2lc9c 3 місяці тому

    Tunamiss filam zako wewe namze magali

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 3 місяці тому +1

    Izzo business na Abella

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo 3 місяці тому +1

    King GK. yuko wapi.

  • @user-sd8jz7zj2l
    @user-sd8jz7zj2l 3 місяці тому

    Mbn tunasikia Mzee magar kafa