Rose Shaboka “Sababu zipi upelekea Mwanamke kuachwa kwenye Mahusiano”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Basi unaambiwa kulia na kuumizwa mwisho leo, na yale mahusiano ambayo hayafikii ndoto ya Ndoa pia leo ni mwisho. Tunajua umejiuliza sana wewe Mwanamke au Binti kwa nini umekuwa ukiachika sana kwenye kila mahusiano yako.
    Ndani ya NIPE TIP tupo na Pastor @pastor_roseshaboka Yeye anatupa Tips ni jinsi gani Mwanamke au Binti unaweza kuwepo kwenye mahusiano bila kuachika au kuachwa

КОМЕНТАРІ • 23

  • @SylvestaLukonde
    @SylvestaLukonde Місяць тому

    Asante pasta

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 Місяць тому

    Mbona unawahubiri wanawake tu,usemei na upande wawanaume,

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 7 місяців тому

    Saruti kwako unaakili sana wewe mwanamke

  • @iriskasuvu6351
    @iriskasuvu6351 3 місяці тому

    may God bless you you always touch my heart ❤️❤️

  • @cimpayejacques-xf2cs
    @cimpayejacques-xf2cs 8 місяців тому

    Mungu akubariki sana na kukutumia zaidi

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 6 місяців тому

    Be blessed

  • @user-uc8le4je3o
    @user-uc8le4je3o 8 місяців тому

    ni kwel madamu Asante kwa kutufuza

  • @user-ue4tj6zn2r
    @user-ue4tj6zn2r Рік тому

    Mama mungu akubariki akuinuwe akuweke kiwango Cha juu

  • @revinaedward6616
    @revinaedward6616 Рік тому +1

    Mm nakuhitaji mama nakupataje jaman nataka unifundishe vitu nimeshakutafta sana jaman

  • @RonnieMchatta-pr5bd
    @RonnieMchatta-pr5bd 9 місяців тому

    Very good

  • @jemanyamle5945
    @jemanyamle5945 2 роки тому

    Asante mama nimepata kitu

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 2 роки тому

    Ukweli mtupu brkw sana mama

  • @doreenkihampa7204
    @doreenkihampa7204 2 роки тому +1

    🙏

  • @dionizntorock5078
    @dionizntorock5078 9 місяців тому

    Ukweli kabisa

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 9 місяців тому

    Asante ila uwe unajibu comment,mme wangu nimezaa nae watoto wawili nikimwambia tuzae mwingine anakataa na anasema nikibeba mimbavatanifukuza, na uwa anakaa na vipimo vya kupima ukimwi nikimuuliza inaleta ugomvi nini maana yake?

  • @rehemamligo6155
    @rehemamligo6155 8 місяців тому +3

    Kuna wanaume hawashauriki jamani jamani

    • @makoyekelvin
      @makoyekelvin 8 місяців тому

      Jibu lako hili linaonesha una kiburi Dada yangu. Kiwango cha heshima yako ndicho kitafanya mwanamume asikilize ushauri wako au asisikilize.

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 5 місяців тому

      ​​@@makoyekelvinwanaume wanalazimisha kuheshimiwa, haitakiwi kulazimisha kuheshimiwa na mwanamke. Tabia zako, kauli zako, matendo yako ndo mambo yatasababisha uheshimiwe na mwanamke. Lazima ujiheshimu wewe mwenyewe kwanza, onesha nidhamu ya kiume, hapo LAZIMA UHESHIMIWE. Sio mwanaume unafoka, unatukana, unapiga, n.k hapo huwezi kuheshimiwa, unaonekana chizi. Fanya majukumu kama mwanaume utaheshimika saaanaaa kwa mwanamke yeyote utakayekuwa naye.

  • @user-vf7hm7yu3t
    @user-vf7hm7yu3t 8 місяців тому

    Asañte mamaangu

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 3 місяці тому

    Da aliye kuoa wewe amepata mke,jaman,

  • @dastanKelvin162-dr6kk
    @dastanKelvin162-dr6kk 11 місяців тому

    naomben namba za huyu dada jaman wapendwa