VITU 6: VITAKAVYO IFELISHA YANGA KIMATAIFA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • #YangaKimataifa #ReturnofChampion #SoccerData

КОМЕНТАРІ • 74

  • @kaisarimbisso5011
    @kaisarimbisso5011 2 роки тому +3

    Upo sahihi kwa mwamnyeto. Jamaa inabidi abadilike. Bila Bangla na job, mwamnyeto ni mlinzi wa vilabu vya Kati. YANGA inahitaji beki mwingine wa kati. YANGA itakuwa Bora zaidi next season.

  • @alexdjmoviestv3712
    @alexdjmoviestv3712 2 роки тому +1

    Acha upuuzi wewe uku sio kuchambua ni kufedhehesha hakuna sehemu uliozungumza ukweli hata kama imekosa kazi kalaleeee

  • @fundimsati4026
    @fundimsati4026 2 роки тому +1

    Umeshindwa kutuambia kocha anaitaji mdagani kuyatimiza hayo uliyo yasema nimapungufu kwake? Au ndyo naww umeumia na matokeo ya yanga msimu huu na unatamani kuiona yanga ikitimua timua benchi lake la ufundi ili mkikutana mikiani huko mjisifie? Hayo uliyo yasema je simba hayakuwepo mpk wakafika robo ?

  • @muhyoisah4433
    @muhyoisah4433 2 роки тому +1

    Msimchukie kwa Ukweli wake. Angesema Yanga imetimia kila idara naamini mngemsifia , sasa amesema akionacho mnamkasirikia. Acheni mautopolo Utopolo yenu.

  • @mundhirsuleiman7830
    @mundhirsuleiman7830 2 роки тому

    We ni mnafki sana kk kwsbb simba unawapa point zote ila yanga unahitaj kuirudisha nyuma kwa huo unafki na ufisadi wako

  • @jrmsilimu3982
    @jrmsilimu3982 2 роки тому +3

    Ujawahi kufeli bro👊👐

  • @habibahmuhammed3534
    @habibahmuhammed3534 2 роки тому

    Hizi video msije mkazifuta mambo yakija kua tofauti maana hua hamchelewi

  • @rajabedward1238
    @rajabedward1238 2 роки тому

    Mbonà yanga inakasi kubwa na ndio maana tunapata ushindi kila mechi

  • @johnkandege9812
    @johnkandege9812 2 роки тому +1

    Mmm mchambuzi uchara kaanzishe timu yako tuone mnajifanya wajuaji sana ninyi wakati hamna lolote

  • @shabbazeltv7491
    @shabbazeltv7491 2 роки тому +1

    itafika hata final.YAAAN BOSS 🙏🙏

  • @mudywambash6684
    @mudywambash6684 2 роки тому

    Heee makolo mmekuwa waganga wakienyejie

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 2 роки тому

    Hallow Mchambuzi, nimekupenda Sana kwa uzuri wa vipengete vyako vya Utafiti wako ulioufanya. Kongole Sana. Je, unaweza kufanya Utafiti kama huu Kwa TFF? Au Hilo tuliache tuu wasije wakufungia. Wasilisha taarifa hii Kwa uongozi wa Yanga ili waifanyie KAZI. Ahhhh!!! Hongera sana Mtafiti wetu.

  • @HildegadaMtayomba-os4up
    @HildegadaMtayomba-os4up Рік тому

    Leo nimeamin ww jamaa unajua

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 роки тому

    Una kipaji cha upumbavu

  • @ommymsangi9182
    @ommymsangi9182 2 роки тому

    Wachambuzi mandazi wanavyo hangaika kuitoa YANGA katika morali kwa kuelezea tafiti ambazo hazina kichwa wala miguu.WATUPISHE na YANGA yetu waongolee timu yao ya "mlete mdhungu,mdhungu huyooo"

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 2 роки тому

    WEWE MCHAMBUZI WA MCHONGO, SUBILI UONE KIMATAIFA ITAKAVYOFANYA VIZURI, TUACHIENI YANGA YETU.

  • @anisiamalyagili9723
    @anisiamalyagili9723 2 роки тому +3

    Tunajipanga yanga ndo itakuwa ya kwanza kuleta kombe la kimataifa hapa tanzania

  • @MestonKapembati-ty7jq
    @MestonKapembati-ty7jq Рік тому

    Tuta jitaidi

  • @shabbazeltv7491
    @shabbazeltv7491 2 роки тому +1

    soccer dataa soccer data 🙏🙏🙏

  • @jumannenuru8084
    @jumannenuru8084 2 роки тому

    A zizik

  • @petersubeth9727
    @petersubeth9727 2 роки тому +1

    Umesema ukweli ilakwasisi mashabiki tunakuona hufai

  • @travisgay5338
    @travisgay5338 2 роки тому +1

    Na Kama hutobadilika utaendelea kulalamika unaviews wachache,,,,, umekaa kisimbwasbwa hunatofaut na mpenja

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  2 роки тому +1

      Views ndio Nini mzee😂🤣

    • @travisgay5338
      @travisgay5338 2 роки тому +1

      @@SoccerData. kuna wachezaji pale yanga hawakuwa bora kabisa lakin baada ya ujio wa nabi wamebadilika mfano, mwamnyeto, Fei ,faridi Mauya na baazi yao kwaiyo nabi ni wa kimataifa,,, ungezungumzia baazi ya wachezaji kutoimprove zaid viwango vyao Kuwa vya kimataifa ningekukubali,, acha unafiki nab ni zaid ya makocha wote waliopita tz iv karbun

    • @travisgay5338
      @travisgay5338 2 роки тому +1

      @@SoccerData. sisi pia tunajua soka ila tunapokusikiliza tunaongeza madini fran achakuwa Kama akina manara na Ahmed ally wanaopotosha mashabiki,,, NB :ukitaka kupata views wengi ondoa ushabiki

  • @ahbakumhusseinabubakar1532
    @ahbakumhusseinabubakar1532 2 роки тому +3

    Huaga mtu akiongea ukweli anapigwa, sema kweli uwokoe Taifa😂😂😂😂

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 2 роки тому +2

    Mala nyingi nimekuwa wakuangalia tu video zako nakufutiliia baadhi ya comment na ku like ila leo umenishawishi niandike japo kwa uchache kwanza kongole kwa kazi nzuri,pili nichangie japo kidogo inshu ya kocha Nasreedin Mohammed Nabi kwenye uwezo wa kuwabadilisha wachezaji kwa kuwaangalia wachezaji wanne hadi sita kabla na baada ya ujio wa Kocha NABI Tuanze na Mwamnyeto ukweli nikuwa Bakari amebadilika sana nadhani ulimfutilia Mwamnyeto wa COASTAL UNION na wa msimu wa kwanza pale YANGA kabla ya NABI na huyu ukweli nikuwa ameimprove sana sisemi hana mapungufu lkn ameonesha kiitu tofauti baada ya ujio wa NABI.Itaendelea.....

    • @chrysanthushakaunga6560
      @chrysanthushakaunga6560 2 роки тому

      Huyu jamaa ni mchambuzi feki kama mapungu yote hayo ingekuwa kweli performance inapatikanaje?

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 роки тому +2

    Wengi sana wanawaza namna yanga itakavyo feli, lkn Mungu ana mpango wa kuifanya yangu kuwa Bingwa kimataifa. ✊✊💛🖤💛🖤🖤

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa utopolo hii ichukue ubingwa Afrika?🐸

  • @aminaally3116
    @aminaally3116 2 роки тому

    Yaani kila coach ana mbinu sake sasa wewe ukizungumzia kasi sio kweli mchezaji anatakiwa awe na akili na mbinu

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 роки тому

    we jamaa bhan! chambua mpira acha ujanjaujanja

  • @josephmselle2071
    @josephmselle2071 2 роки тому +3

    Yanga umesema hawana kasi, mwalimu hana minutes pia habadilishi wachezaji kiuchezaji.
    Je ni nani aliye sababisha Fei Toto kucheza namba 10 kwa mafanikio badala ya namba 6, nani amemfanya Kibwana acheze namba tatu tena kwa mafanikio, pia nani alijua uwezo wa Faridi Mussa kicheza beki namba 3, Kiungo wa mshambuliaji, mm ningekuelewa kwanza ungemppngeza Nabi kwa kazi aliyofanya hadi wakati huu. Halafu ukamshauri nn cha kufanya ili afanikiwe huko mbeleleni.
    Hao abao hujawaelezea hapa kama wana vitu vyote hivi na vyombo vya mazoezi ulivyovitaja mbona wamefeli kotekote?

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  2 роки тому

      Ambacho umeshindwa kutofautisha ni mabadiliko ya kocha kinafasi kwa wachezaji na mabadiliko ya wachezaji kisifa... Yaani individual game characters...

    • @rehemaabdullah7606
      @rehemaabdullah7606 2 роки тому

      Wache waseme Mungu Atajalia tuu

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 2 роки тому

    Huna lolote kwenda kule

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 2 роки тому

    Hahahaaa! Munyamabuana,,,,,,!

  • @lizashagilliard2336
    @lizashagilliard2336 2 роки тому

    Mtazamo wako

  • @kategiletv9154
    @kategiletv9154 2 роки тому

    Ngoja tuone

  • @mathiaschoma4423
    @mathiaschoma4423 2 роки тому

    Omba kazi

  • @emmanuelcalist954
    @emmanuelcalist954 2 роки тому +2

    We ni kocha wa timu gani kwanza mbn kama mjuaji sana kuliko guardiola...tuonyeshe kazi yako sio kukosoa tu ilhal za kwako hatuzioni au unachambua tu kama si mashabiki wengine tu.

    • @simonraphaeli1426
      @simonraphaeli1426 2 роки тому

      Wewe kweri maembe hivimnaakiri kweri hapomchambuzi anakosa Gani arichoongea niukwerimtupu achenikufanya arichoongea muone kama hamjaishia hatua zamwanzo kwanza hatakwenye maisha unatakiwa ukosorewe ndio upatemaendereo

    • @emmanuelcalist954
      @emmanuelcalist954 2 роки тому

      @@simonraphaeli1426 sawa we si bogaa...ungekua na akili ungeelewa nilichocomment sio kukurupuka na kujibu kishabiki kolo mkubwa ww...kwanza jifunze kutofautisha kwanza hizo r na l ...bado zinakupa tabu apo unaandika kama mtu wa ndaani uko ..cjui kabila gani kwanza ww..unajifanya unaandika ukweli...ukweli gani umu..kaa kwa kutulia uko...una mbeya city usiku huu kakamilishe ratiba uko.

    • @adamfundikira742
      @adamfundikira742 2 роки тому

      @@simonraphaeli1426 hawatafika mbali mbwa Koko hawo yanga ukimuondoa mayele Nani mwingine ubishi wa uzwazwa

  • @saudajuma3129
    @saudajuma3129 2 роки тому

    Dongeeeeeeeeèeee

  • @victorlijaji6090
    @victorlijaji6090 2 роки тому

    Waandishi, wachambuzi... Acheni usimba wenu...yaani mmekuwa manyonyo ! Kazi yenu kuufikiria udhaifu wa Yanga. Mbona nguvu zao hamzitaji?

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 2 роки тому +1

    Yess yanga hata hatua ya makundi hawatofika anatolewa hatua za awali kabisa naomba socerdata hii coment yangu muihifadhi 🙏🙏

    • @rehemaabdullah7606
      @rehemaabdullah7606 2 роки тому

      Kabla hujamuombea adui yako mabaya kumbuka naww kujiombea Dua tafakar napia kila baya unaloliomba litakurud mwenyewee

  • @benmcdream2268
    @benmcdream2268 2 роки тому

    Denis nkane miak 18 na siyo 22

  • @muhammedabdurahman7953
    @muhammedabdurahman7953 2 роки тому

    Acha maneno yakishoga

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 2 роки тому

    Hunalolote pundugu weeeee

  • @decomarcos7458
    @decomarcos7458 2 роки тому

    We fala tu

  • @petersubeth9727
    @petersubeth9727 2 роки тому

    Acheni uzuzu nyie tumezoea mtuasifie kitu hatakama kibovu akisema ukwel mnaona hafai unajua skatai kua yanga ikosawa kwaligyetu haina mpinzan ilawanasema kazi imala inapimwa kwamoto nandiohicho alichozungmzia mchambuz

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 роки тому

    Mtafeli nyinyi lakini siyo nyinyi nyinyi ndiyo wadhaifu jifanyieni utafiti nyinyi

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 2 роки тому

    Wewe mtoa post hao makolo wana nini jipya mchawi wewe tuache mwongo unampotosha nani wew kenge

    • @jumamagimu9223
      @jumamagimu9223 2 роки тому

      Nikweli kabisa kukosi cha YANGA michangamoto

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 2 роки тому

    Soka la Afrika haliko hivyo Simba ya mwaka huu ilikosa vitu vingi Sana lakini Bado wamefanya vizuri kimataifa. Liko soka la Afrika lililomshinda Pablo na liko soka la wenzetu Kila bara linanamna yake ya kucheza soka ukiifikilia Liverpool usifikilie na mazembe hata kidogo. Na kwa acceleration Kuna timu mbili tu ambazo ni Simba na yanga zikivuka nusu ya uwanja huwa na kasi na hatari zaidi. Nilikua nawaza huyu jamaa kuongea Mambo mengi ambayo timu inatakiwa kuwa nayo ila anatakwimu ya kile anachokisema. Nikweli wachezaji wako slow kitakwimu wamanyanganya Mara ngapi na wamepoteza mipara Mara ngapi acceleration ya Kila mchezaji kwenye mechi ilikuaje? Accuracy pasi ni ngapi,

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  2 роки тому

      😎😎 Ni Kazi ngumu pia kuandaa hizo chambuzi; ukizingatia Tanzania hatujaendelea Sana..

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 2 роки тому

      @@SoccerData. Sasa hivyo ndivyo humufanya mtu aweze kusema akiwa na hakika ya kile anachosema. Baki wamefanya tackling kadhaa na kadhaa wemeshidwa, penetration pasi zifanywa ngapi zilizofika sahihi ngapi zimeshindikana, cross ngapi Bora ngapi za ovyo, kikosi Cha Kwanza kinawatu wangapi wenye uzoefu na michuano ya kimataifa bila kujali umri maana akina moloko na wengine ukimtoa nkane tu na mshery ambao ndio kikosi Cha Kwanza hao wengine akina Bryson na athuman hata benchi mechi ngumu hawakai sikumbuki hata lini athuman kacheza mechi msimu huu. Kibwana,job mwamunyeto, fei. N.k wemecheza mechi nyingi Sana za kimataifa hasa za timu ya taifa wakicheza nawechezaji wenye majina na experience bila kusahau skills kubwa Sana na wamecheza vizuri tu. Kwenye benchi sijui Kama umefuatilia cv ya nabi na kaze vizuri ninahakika hakuna club yoyote ile ambayo benchi lake la ufundi linamakocha wenye CV kubwa kwa ukanda huu wa Africa mashariki hapa namaanisha nchi kongo, tz, kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na s. Sudan.

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 2 роки тому

      Ninachokubaliana na wewe yanga wanaitaji maboresho hasa kwa dhana ya kikosi kipana beki wa kushoto, kati na hata mshambuliaji wenye kutoa option kubwa kwenye kikosi eneo la kati halina tabu Sana. Na utimamu wa miili ya baadhi ya wachezaji Kama djuma mwili bado hauko sawa. Mbio nyingi haziwezi. Lakini Kuna baadhi hasa ya vifaa na benchi zito Sana Ni club chache afrika zenye uwezo huo na nichache Sana club za ukanda wetu na kati bado Sana. Na hivyo ni ugojwa wa bara Zima.

  • @chobatz8620
    @chobatz8620 2 роки тому

    Katika watu niliokua nawakubali ulikua niwewe lakini hapo umepuyanga labd nikukumbushe ulisema kunawachezaj 9 wanaofaa kuchez kimataifa sasa leo umewageuka🤣🤣🤣🤣🤣 umekosa chakuongelea

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  2 роки тому +1

      Ukumbuke HAPA; nazungumzia Kukamilika... Ndio maana nikasema Aucho Ni Mzuri lakin ana Udhaifu fulani, the same kwa Nondo na Wengine... Kufaa Kimataifa Sio ndio kwamba Hakuna Udhaifu...Messi Mwenyewe ana unarhaifu au hujui

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 2 роки тому

      @@SoccerData. utajichafua bro

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 2 роки тому

      Mikia tu huyu

    • @chobatz8620
      @chobatz8620 2 роки тому

      @@SoccerData. basi ukijua hata messi anamadhaifu frana sio uamue kuwaaminisha mashabiki kwamba wachezaji wasipobadilika utaiona ikistrag sikuzote hakuna mchezaji aliokamilika sawa ila madhaif tumeumbiwa ili tutimize agiz la mungu so mimi nishabiki yako nakufuatilia sana lakini ukiwa unapost hivo unakua unaua vibe simaanishi kwamba usikosoe wewe kosoa ila mpira haupo kama unavyofafanua wakati ule msim ulioisha hakuna mtu asiejua kaiza chif ilikua inafanya vibaya kweny lig yao ila alitoboa final

  • @godriankomba7816
    @godriankomba7816 2 роки тому

    Mchambuzi wa mchongo
    Yanga ya SS unaweza kuilinginisha na yanga ya misimu miwili iliyo pita
    Nabi anamisim mingapi ya yanga
    Usituchanganye ww ni wamchongo tu

    • @fanspeople6774
      @fanspeople6774 2 роки тому

      Kweli kabisa fanyeni mpango dirisha dogo maana aliumia mateke,bangala inaisha hiyo kifupi hilo ndo fundisho