Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera kwako baba Abate pambo kwa kuongoza nyumba iyo ya wa Benedictn na kwa unyenyekevu wako hakika una stahir kua askofu wa Jimbo
Amina Mungu atukuzwe hakika ni mkuu
Utume mwema katika Bwana wetu yesu christu amina
Makuuu ya Mungu yazidi kuonekana ,Mbarikiwe nyote .
Hongera xn mdg wangu umechagua fungu jema
Mungu awazidishie kiu ya kuendelea kuchunga kondoo wake,na awaongee imani
Br. Aloyse Gozanga Gonza Nakuona. You are really called and set up apart by God
Wow. Amen
ameeen
Tunawakia utume mwema n.a. Mungu awabariki sana
Hongera zao sana, na sisi tunawatakia utume mwema... na tunawashukuru kwa kuendelea kulistawisha Kanisa Katoliki Tanzania kwa kuitikia wito huo..
Nakupongeza sana ndugu yangu na mchungaji wangu Mheshimiwa Abate Pambo kwa hatua na uteuzi huo mkubwa uliopata.
Tumsifu Yesu Kristo......Naomba nieleweshe ndg, hivi Pambo ni moja ya majina yake?
🙏🙏 Mbarikiwe
Milele na milele amina
Heko Kwa kuitika wito.Mungu awaneemeshe na awape nguvu.
Hongera my school met
Mungu atukuzwe katika yote
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu zab 60:12)Mungu awafikishie kiu yao
Great
Ora et labora

Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu zab 60:12)
Mungu awafikishie kiu yao
Great
Ora et labora