Kiba nakukubali kataa kabisa kua na mabodi Hadi ni upuuzi bodigadi ni mwenyezi mungu tu wewe kaa na mabodigadi wako hata Mia Ila mungu akitaka lake litakufika tu
Ila kumbuk niajira kwa wengn na unabarikiw in short unatoa ajira kwa vijan na niusalam kam we ni maarufu bas, ila kama ww sio maaruf uwez jua umuimu wak
King kiba long life
King is only one(kiba)
King kibaa is fireee
Asante kiba
Kiba nakukubLi bro Allah pekee ndo atakae kulinda cse uyo bodigady analindwa na God ilove you king kiba
Ndiyo maana Unaitwa King Kiba Salute
Mfalme kiba❤❤❤❤❤❤
Hongera kwa imani kijana
Lini utatamani kwenda Makkah
@@hadijamansoor3722 ushaenda lini dada
Na mimi na lindwa na munguuu nouma sana alikiba
Dr. Dray is one of the biggest ever who done it❤
Kiba umeshaimba Sana kaka
HAKIKA
Nice kiba
Kiba nakukubali kataa kabisa kua na mabodi Hadi ni upuuzi bodigadi ni mwenyezi mungu tu wewe kaa na mabodigadi wako hata Mia Ila mungu akitaka lake litakufika tu
Ila kumbuk niajira kwa wengn na unabarikiw in short unatoa ajira kwa vijan na niusalam kam we ni maarufu bas, ila kama ww sio maaruf uwez jua umuimu wak
Maamuz ya mungu atuwez yaping, ila tukiw hai bas tuwe wat wakusaidia wengn kam kuwap ajira yah sijakupinga rashidy sem tuwap ajir wat wengn
@@Casanovatz kwahiyo ikiwa maarufu unaamini kua unaweza lindwa na mwanadamu mwezio na usipate Jambo baya lolote ?
Bodgurd ni sifa tu
898
Hizo flana vipi king
Swali la kuhusu kifo kweli
Boas guard ni picha la jetriiiii nalipenda
Mwandishi mshwal gani???doctar dre is big star in world hana walinziiii
AKA kapigwa risasi mbele ya mabodi gadi zake halafu eti unasema nalindwa unalindwa nini wewe mjinga wa fikra
Huyu mwandishi kakrupuka
Kuna kitu nyuma ya pazia kilimo mkwanja sio.bure huu msemo
🎉😢😮😮😅😅😅to
Jifunzeni kupost kitu na lugha mmayoitumia
Unauliziaaa kifooo swali la kijingaaaa
Kabisa ,umeona ee swali la ajabu kabisa