NZI CHUMA HUPUNGUZA HADI 80% YA GHARAMA YA CHAKULA CHA MIFUGO ,ANABADILI UCHAFU KUWA KIPATO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 5

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 3 місяці тому

    Hongereni.
    Nimejaribu kuwafuga bsf, likini mara nyingi pupa ninaokusanya hawageuki inzi. Na ninapopata inzi, wanakuwa hawatagi. Naomba ushauri.

    • @shambaujuzi7979
      @shambaujuzi7979  3 місяці тому

      wasiliana na mtaalam huyu boss wangu atakueleza kwa kina namna ya kuweza kuwafuga na ukapata matokeo chanya 0717 008380

  • @abihumwambete6466
    @abihumwambete6466 5 місяців тому +1

    Nimepata madini na nimeipenda huyu BSF

  • @hamzabakari6016
    @hamzabakari6016 2 місяці тому

    habari hao fuza soko lake liko wap na ni bei gani

  • @shambaujuzi7979
    @shambaujuzi7979  7 місяців тому +1

    ua-cam.com/video/h5ULiNDC-1w/v-deo.html Kama wewe ni mkulima ama mfugaji na ungependa tukutemblee kwa ajili ya kujifunza comment namba yako na timu nzima ya shamba ujuzi itawasiliana nawe.