Kwa kweli naipenda sana hii thamthilia imepangika vizurii sana hongera sana wahusika🎉🎉🎉❤❤Iła Anna Clarah ananiboesha pale anakataa kushika simu y baba ake
Yaan mwatum na veny alikuwaga anamsema anna vibay hivi sasa leo kayakanyaga 😅😅 patam hapo na da zuu akisikia utapia vichambo na ufukuzwe sijui utaelekea wap kihereher chotye kwishaa
Anna Clara Unashindwa kupokea cm ya Baba Yako una hangaika na Wanaume tuu kujua Maisha ya mwnaamme wako wakt Mama yako ana Teseka na ww Ndio ⁷bu ya yote pokea basi simu Ujue 😢😢😢 Shida yao unafutia yasio kuhusu half una acha yanayo kuhus umekaa kama jambaz tuu na hayo unayo fnya wameshaa kuoa wezi au majambazi wenzio watakuwahi tuu
Kwa kweli naipenda sana hii thamthilia imepangika vizurii sana hongera sana wahusika🎉🎉🎉❤❤Iła Anna Clarah ananiboesha pale anakataa kushika simu y baba ake
Mm leo wapll naomba like zangu bs wanayanga wezangu plless
Haya wa kwanza leo wale wa team ududu umende mende weka like hapa 😂
Mimi Leo nmekua wa kwanza kuview, wa kwanza kulike , wakwanza kucoment na WA kwanza kuwatch naombeni like hata moja jamani
Na mimi like zang jamn❤
Namimi
Anna clar mjinga sana wewe endelea na ujinga wako kutokupokea simu wakati mama ako nimgonjwa
Nawapend bule mmewaisha kazi nzur ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi tamu
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
Yaan mwatum na veny alikuwaga anamsema anna vibay hivi sasa leo kayakanyaga 😅😅 patam hapo na da zuu akisikia utapia vichambo na ufukuzwe sijui utaelekea wap kihereher chotye kwishaa
Nmependa leo hamjachelewesha sana
Jaman leo nimewahibnaomba likes zenu😊😊
🎉🎉kwa doctor Hunce❤
Ww Annah unashida gn xx ukikutwa na mumeo
Sawa tu Kama mliamua kutupea dose kidogo kidogo ndio tusinyongwe 😂😂
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
❤❤❤❤ very well 👏 👌 😊
Leo newahi kidogo 🥰
Mashallah ❤❤❤❤
jmn siku tarajia 🙏
clara pisi ila anauhuni ndani yake mzuri balaa🎉🎉🎉🎉
problème hana chepu 😂
@rebeccazagabe 🤣🤣🤣
@@AliceSidi-d3n uongo basi Mungu kampa uso tu mashala 😂 ila simbaya mtu hawezi eneza viote 😂😂
Nzuri ila nifupi ongezeni dakika
Nawapenda sana hamcheleweshi aki mauwa yenu nawapa🎉🎉🎉🎉 na like nawapa Kila mnapo post ❤❤❤❤ move yenu ni nzuri sana naipenda ❤❤❤❤❤
Good luck ❤❤❤❤
Anna Clara Unashindwa kupokea cm ya Baba Yako una hangaika na Wanaume tuu kujua Maisha ya mwnaamme wako wakt Mama yako ana Teseka na ww Ndio ⁷bu ya yote pokea basi simu Ujue 😢😢😢 Shida yao unafutia yasio kuhusu half una acha yanayo kuhus umekaa kama jambaz tuu na hayo unayo fnya wameshaa kuoa wezi au majambazi wenzio watakuwahi tuu
Sio hivyo mwaya nywajitahidi kumaliza huu mzozo ulioanza toka mwanzo,wala hkujua kua ataingizwa kwa huo mchzo
Mie wa Tano nataka like zangu
hata mm😅😅
Next plzz ya 25
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😮😮😮😢😢😢😢
🎉🎉🎉
Asnt ni