Mganga baisa na kobelo kiukweli wanajuwa saana mimi na familia yangu tunaipenda saana mgeni wa kijiji kWa sababu zaidi ya kobelo, kiukweli kobelo atatuuwa na cheko❤ kobelo ni non stress😅😅😅
@boncena ungeweka channel moja ya kupost kaz zako ili kupta viewers wote pamoja, mfano director wko angekua anapost vionjo tu sio kipande kizima tena anapost mapema kabla yako ina maana mnagawana viewers
Kkkkk gobero utani uwa 😂😂 wakwanza toka Congo Georges apa nipeni like zangu boni
❤❤❤❤ nawapend sana Toka kenye kazi safi🎉🎉🎉🎉
mimi npo machakos mgeni wakijiji ni actor mzuri mnipe zangu like pia mm
😂😂😂naona mgeni wakijiji umeamua kuwapa mambo,, wapewe tiba mkuu na team yake, much love❤❤❤❤
Hongereni kazi nzuri mungu awasimamie awaondolee mabalaa yote yasababishwayo na wanadamu
...Kobero ana vunja mbavu move hiiii nzima adi sasa kobero namkubari sana
Sijachewa sana kidog tuu❤❤
Love from Zambia
Oi
Hengera boncena mganga baisa na mama mwenye kiti watakuogopa mgeni wa Kijiji kuwa huwezekani,wapenda sana kutoka team gulf 🇸🇦 to 🇰🇪
Kazi nzuri sana boncena mkali sana🎉🎉
Much love from Kenya 🇰🇪❤
Hongera boncena na kobelo...u carry my day...Kenya hapa
Kobero 😂😂😂wee kibiko aisei keep it up you guys ❤❤❤
Na mim toka Zambia 🎉🎉 naomba like zenu
Nimewahi 🎉🎉🎉
Mgenii wa kijiji good work nakupnda n rafkiii mdomomdomo ivii
Kobero 😂😂 chawa hasa uyo manundu moga basi
kama umeona show ya kobelo gonga like apo tujuane
Mzigo huo ndio anaoutaka mgeni wa kijiji
Movie nziza 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂bobero jamn unanipa raha sanaaaa
Kobelo ni chawa kama mwijaku😂😂
Kazi safi aiseeh ❤
Boncena your doing good job boncena keep on going insha'Allah Ep 14 Tomorrow am from Nairobi Kenya.
Léo nimewah kbs duuuh 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤❤❤❤ nipeni like za kodelo. Jamani
Good job❤❤
Mganga baisa na kobelo kiukweli wanajuwa saana mimi na familia yangu tunaipenda saana mgeni wa kijiji kWa sababu zaidi ya kobelo, kiukweli kobelo atatuuwa na cheko❤ kobelo ni non stress😅😅😅
❤❤❤
😂😂😂kitakukwita sana mpaka Uta muogopa boncena mimi nko pale 👉👉Kenya 🇰🇪
Mm mwenyewe nimempenda mwamba bonsina nipo naitazama Kawa sasa
❤❤😊uyo kobelo jmn😂
Kazi nzuli sana
Mambo nimoto 🔥🔥❤
Leo nmekua waine jamani
WA3 kuitazama nikiwa Lusaka zambia
Wasalimie sana lusaka nimepamis
Naomba mnipee likes zangu nikiwa Nairobi kenya pls
Nmewahi
Kobero ananogesha😅😅😅😅😅
Sana muko vizuli
Kazi safi boncena❤
Kobelo anafanana na dvoice wa WCB 😂
Vizuri sana
Good
Mmbea wakijiji pro max kobelo😅😅😅😅
Jaman boncena wanifurahisha
@boncena ungeweka channel moja ya kupost kaz zako ili kupta viewers wote pamoja, mfano director wko angekua anapost vionjo tu sio kipande kizima tena anapost mapema kabla yako ina maana mnagawana viewers
Ombi episode 14 twaitaji wepesi
Much love 🇧🇮🇧🇮
Tupitiane wakubwa😂😂 kibelo kwisha
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🔥🔥🔥
Baisa bhana etiii mgeni wa Kijiji umepigaje hapo😂😂😂
Kobelo kiukweli wewe ni so hien ! ! !😅😅
Kazi safii boncena
Kobelo anashangaa et ndo umepewa usafiri huo panda😀😀😀
Mkuuu twende wapi??????😂😂😂😂
Baisa captain 😂😂😂😂🎉
Nakubi kaka
Kobero 😂😂😂 wanichekesh
🎉🎉🎉
Bonsena una weza bro
Mgeni wa kijiji umepigaje hapo🤣🤣🤣
Ila kobello eti midako😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤
Mganga wa kijiji kimekuramba😂😂😂😂😂
naelewa unyama kama wote ila kobelo noma🤣🤣🤣
Imwana kana imidako palacha palacha
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
UMEKWAMIA WAPI BONCENA HATUONI Ep14 siku saba sasa? Kenya tunakufatilia sana
❤❤❤❤🎉🎉
Ekudu naomba nisaidie nifanikiwe kwenye utafutaji wangu
❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮🔥🔥
Ongezeni
Kobero eti hii midakoo jaman waukae
🤣🤣🤣Cobelo
Mbona zinatoka kwenye account mbili tofauti
Huyu mama Fatma ndio chawa wa Baisa? khee sio kwakumpigia debe huko😅