Kifo cha Gen. Francis Ogolla: Wapelelezi wa DCI na jeshi waanza uchunguzi
Вставка
- Опубліковано 18 кві 2024
- Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Swali tu, uchunguzi ni wa nini? Hata Saitoti hamkupata chochote, sembuse hii...
Mungu tuu ndie mpelelezi wa haki. Shaidi asie hongwa, na hakimu asie tete upande wowote.
Mambo ni matatu kuhama Kenya ama njela au mbinguni
Chifu anapeana history
Bwana chief wakati mwingine ukiuulizwa swali tafadhali konga ndipo😅
Chifu amejibu ipasavyo
😅😂😂😮
Tangu lini serikali isitaki serikali
Hakuna kitu watapata na hata wakipata hakuna kitu kitatokea kubalini ashakufa mwenyewe ashawacha wasia 72hours zisipite awe ashazikwa sunday kisha tuone nini mtaleta au ni mihemko tu mlioko nayo R.I.P
Waache hypocrisy,serikali ya mambo matatu,wengine wanapozikwa wanabaki na amani gani,hukumu ya Mungu yaja
Upumbavu mtupui.Unatafiti nini na wewe ndio uliuwa?