Huyu kaka nilikuwa napenda nyimbo zake nilikuwa chekechea ya 2003 yani hivi nikika mimi na yeye mzazi wangu yuko atasoma kweli huyu yani na utoto wote nyimbo zake nlikuwa nazibaruza mwanzo mwisho na akina mandojo na domo kay hapakaliki hapo 😂😂😂 nipo napua nayo 2024❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Goodmusic never fades...nashangaaa mbona hukuwai piga collabo na Alikiba 😢 ingekua bonge la hit ila bado kuna mda na hawa wamearibu ladha ya mziki...2024 niko apa gonga like 👍
Mb Dogg uko wapi ndugu yangu nyimbo zako bado nina zipenda ulikuwa unaimba nyimbo za mapenzi hazina hata chembe la fumbo la matusi yaani huwezi simu yangu ina nymbo zako kwasababu nyimbo za siku hizi hazina ujumbe kabisa zaidi ya fumbo za matusi
nilikua daraasa la 3 iyo 2008 kuna dogo mkali sana alikua anaitwa zerah sasa nilikuaga namuona kwa nadra sana maana alikua anasoma shule za kishua ,sasa hii song ilikua nikiiskia nilikua naifeel sana😂
2024 kama bado unachek like hapa❤
Am still vibing ❤
❤
class mate mambo
❤❤❤
Nipo hapa😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Amefanana na kakayangu alipotea siku chache baada ya huu wimbo kutoka, am crying every time nikiuskia huu wimbo, now 2024,
Kaka yako anaitwa nani? Nakuomba niwe kaka yako
Namjuaa
Take heart❤❤❤
Pole Sana
Huyu kaka nilikuwa napenda nyimbo zake nilikuwa chekechea ya 2003 yani hivi nikika mimi na yeye mzazi wangu yuko atasoma kweli huyu yani na utoto wote nyimbo zake nlikuwa nazibaruza mwanzo mwisho na akina mandojo na domo kay hapakaliki hapo 😂😂😂 nipo napua nayo 2024❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Honest I wish mama yangu angekuwepo nakumbuka 2007 duuuu
October 24 still listening,,bonge la ngoma
Nimeitafuta kwa miaka mingi sana hii ngoma. Naipenda sàna sana. Nashkuru leo kuipata
Nakumbuka mbali sana wanetu...
Goodmusic never fades...nashangaaa mbona hukuwai piga collabo na Alikiba 😢 ingekua bonge la hit ila bado kuna mda na hawa wamearibu ladha ya mziki...2024 niko apa gonga like 👍
❤❤❤inaingia moyoni duuh
Nakumbaka mengi jamani 2009 kipindi hicho miji mingi ikiwa bado bado siku zimeenda eeeh
Hadi Leo kazi zake ❤❤❤❤❤❤❤
2022 bado naskiliza bonge la hit inaoana na kisa kilinitokea ndio mana siezi sahau hii ngoma much love Mb doggy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakumbuka tukiwA tunacheza mpiko mpiko
Unanikumbusha mengi wimbo huu, niliusikia kitambo mwaka 2008.
Halafu huyo Binti❤ ...daah! nashangaa maujuzi ya Mungu! 🇰🇪
MB DOG anajua zaidi ya kujua wapo watu niliwaambia kuwa mb dog ni zaidi ya kiba kipindi wanachotoka huyu jamaa alikua ni moto tena zaidi ya moto
Zaidi ya kiba
Mb Dogg uko wapi ndugu yangu nyimbo zako bado nina zipenda ulikuwa unaimba nyimbo za mapenzi hazina hata chembe la fumbo la matusi yaani huwezi simu yangu ina nymbo zako kwasababu nyimbo za siku hizi hazina ujumbe kabisa zaidi ya fumbo za matusi
Kaka yuzzo umejitahidi sana stori yako ni nzuri ila umenikera kumuacha mke WA pili bila sababu
Enzi hizo, nostalgie totale 😢😢
2023 July, still here bro.bonge la hit.
November 2024... Nikamtafuta, sikumwona tena...
Bonge la collable 🔥🔥🔥🔥 may u back again,
Kunavitu tunamis sana nando maana tunalia urudi
1:17 nakubuka kipindi nasoma ug na Airun bukoba ilikua fire
Nakukubar bro wngu🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
kabisa anajuaaa❤
Enzi zetu tuko old skull!! Nakubali sana kaka
I wish hii nyimbo uifaanye video tena 🎉
Nice song
Emb dog mapenz nikitugan
Mb dog rudi kwenye game...unishirikishe
mb dog master
Madee anakwambia afu mwisho Hamsin na Tatu...Namba ya Beka hyo😂😂🔥
nimemsikia😂.
Madeee anabalaa
nilikua daraasa la 3 iyo 2008 kuna dogo mkali sana alikua anaitwa zerah sasa nilikuaga namuona kwa nadra sana maana alikua anasoma shule za kishua ,sasa hii song ilikua nikiiskia nilikua naifeel sana😂
😂😂😂😂 ushamuona ma umeona maisha yalivyo
Hakika sijawahi muona tena toka 2008😢😢
Mi ndo ninae sasa 😀😀😀
Never heard this before, kali sana!
Mbali mbali sana wee
Bado naskiliza❤❤ 2023
Still bengaaaaas
Walikua hawabatishi hawa jamaa
Yes big up mb dog
Mbidog uko wap bro
A song for all generation
❤❤❤
2023 on fire 🔥
Goat
Madee hii michano umeipeleka wapi mwamba
Wewe kiba achawe
What language is he using at the start of the song...? this guy was very talented....whatever happened to him.....
❤2025
Old is gold
2023 feb
Inanikumbusha kipindi msichana
Niko apa niende wapi tena
Dady Master please sio "Fady" Master typing error nafikiri
2023
2024❤❤
😍😍😍😍😍❤❤❤❤❤
Sagaplashe
Just a name