Wewe dada uko vizuri, kosa kubwa amefanya kocha kupanga kikosi hovyo akawaacha waliompa Matokeo, Chama na Pacome akamwanzisha Musonda ambaye hakuwa na msaada
Sijaona kosa lolote kwa match ya leo, kosa tulifanya match za mwanzo tu lakini jana hakukuwa na kosa. Tupunguze maneno huu ndiyo mpira ulivyo. Match ilikuwa na pressure sana kuanzia ss wanayanga, viongozi na wachezaji wenyewe. Hilo limeisha hakuna haja ya kubezana tujipange upya, anayetukana nadhani siyo uungwana, tujifunze kupenda timu zetu hasa zinaposhiriki michuano ya kimataifa. Simba tunawatakia kila lakheri liwakilishe Taifa letu hadi finali kama yanga alivyofanya mwaka juzi.
Ww Dada unajuwa sana kuzungumzia mpira na pia unasauti nzuri sana yani hufanani kuwa yanga watu kama ww ufanania kuwa shabiki wa simba sport club ila ww pia unafaa sana mm nikuoe
Acheni ushamba dada anaongea ukweli hata ninyi makolo msitegemee kufika mbali kocha amefeli musonda wa nini wakati pacome na chama wapo hii siyo mechi ya majaribio mechi tungeimaliza kipindi cha kwanza
Dada timu huijui huwezi kumpanga Aziz Ki na Chama. Chama hana kasi umri umeenda tungepigwa mapema. Kiufupi MC Alger waliisoma Yanga vizuri. Pia Msonda ni mzuri akitokea pembeni na ndivyo alivyopanga. Acha UKUMA wewe.
Dada hongera unakipaji cha uchambuzi
Na soka unalijua haswaa
Huyu dada anajua sana mpira. Mara nyingi navutwa kumsikiliza kwa sababu anaongea ukweli kuhusu 'football " na sio ushabiki! Pongezi sana!
Anaongea pumba chama na,pacome sio watu wakukaba niwatu wakiwa na mpira wanaweza kushambualia mech ya leo lihutaji kukaba na kushambulia
Good San sister kam umemuelewa huy dad weka like
Shikamoo dada ❤️❤️
Dada,unafaa kabisa kuwa Coach wa SIMBA QUEENS 😅😅😅
Gusa achia mpe mwenzako hakuna haja ya kufunga😂😂😂😂😂
Wewe dada uko vizuri, kosa kubwa amefanya kocha kupanga kikosi hovyo akawaacha waliompa Matokeo, Chama na Pacome akamwanzisha Musonda ambaye hakuwa na msaada
Anachosema excellent yanga walishindwa kucheza karata game mbili za mwanzo
She is so good at analyzing game
Sijaona kosa lolote kwa match ya leo, kosa tulifanya match za mwanzo tu lakini jana hakukuwa na kosa. Tupunguze maneno huu ndiyo mpira ulivyo. Match ilikuwa na pressure sana kuanzia ss wanayanga, viongozi na wachezaji wenyewe. Hilo limeisha hakuna haja ya kubezana tujipange upya, anayetukana nadhani siyo uungwana, tujifunze kupenda timu zetu hasa zinaposhiriki michuano ya kimataifa. Simba tunawatakia kila lakheri liwakilishe Taifa letu hadi finali kama yanga alivyofanya mwaka juzi.
Hii ndiyo Yaaanga tunayoijua. Sis ndiyo yaaanga.aahhhh.Aziz, Diana, kibwana, aaahhhhh. Sisi ndiyo Yanga,
We dada Acha ndoa ukasomee ukocha. Sio unabwabwaja tu.
Uongozi ulikua nataratibu zao kabla ya mechi muhimu kama hii lkn wameacha taratibu hizo mwaka huu. Wakumbuke walikua wanaiandaaje mechi
Ww Dada unajuwa sana kuzungumzia mpira na pia unasauti nzuri sana yani hufanani kuwa yanga watu kama ww ufanania kuwa shabiki wa simba sport club ila ww pia unafaa sana mm nikuoe
Dada side usimuhusishe na mambo ya viongozi wenu yeye bado mgeni
unajua sana dada kuchambua ongera
Unasauti nzuri mchumba🤤
Acheni ushamba dada anaongea ukweli hata ninyi makolo msitegemee kufika mbali kocha amefeli musonda wa nini wakati pacome na chama wapo hii siyo mechi ya majaribio mechi tungeimaliza kipindi cha kwanza
Watu kwa kupenda kuuza sura jamaa na mzura wake anatafta nn pembeni hapo na hajaitwa wala ahojiwi
ni rahisi sana kuongea hivi au vile lakini ukweli wanaujua makocha wenyewe
Hata hivyo wachezaji wamezeeka! Mpira wa kurusha wanatembea!
Kwani GSM hakuwadhamini Mc Alger?
Acha Siasa hamna Timu nyie mna timu ya Ligi ya NBC acheni kudanganya watu.
Cocha ndy kaharibu kweli namtamjua muda tukikosa ligikuu
Dada mtu wa mpira
Shadrack Boka amefiwa kichwa chake kina msiba, kulikuwa na sababu gani kumchezesha leo??
Afu uyu dem anajifanyaga anajua sana ball, choko kwel
Acha ww ka ccm hujui k2 munajua kuiba kura 2
Gusa Achia iko wp leo
dada muongo huyu
tumeshamiss romalisa mtambala bhoka hatoshi
Na wewe pia ukasome ukocha.
Dada timu huijui huwezi kumpanga Aziz Ki na Chama. Chama hana kasi umri umeenda tungepigwa mapema. Kiufupi MC Alger waliisoma Yanga vizuri. Pia Msonda ni mzuri akitokea pembeni na ndivyo alivyopanga. Acha UKUMA wewe.
Acha ujuaji.. Tuma cv Kama una elimu ya ukocha
Akutumie wewe??
Acha lawama mpira ndio ulivyo. Kila siku wewe tu ushinde,?? Kubali tu matokeo huu ndio mpira.
Rashida wapi? Hio kilasiku imekaa aje
Mpira unamatokeo 3 hii ni Sehemu ya matokeo ndo mpira,