Pole Jobiso - Simba Wanyika
Вставка
- Опубліковано 12 гру 2024
- Simba Wanyika perfoming Pole Jobiso.
➤Copyright Disclaimer::
Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for 'Fair Use' for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research, Fair use is a permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use.
The Gifted hands on 🎸 🎸;voices, and music compositions😊 These two brothers George Peter and the versatile Wilson Peter Kinyonga were jewellery in East Africa Jazz 'muziki' wa dansi'🎉 what a wonderful legacy. Tutawaenzi daima Wilson na George Peters🙏
Mwenyezi angewapa umri tawili muishi kimwamba. Tunawapeza saana. Ngoma zenu zitaishi hadi mwisho wa dunia.
Legend of East Africa.
Leading vocal George Peter Kinyonga, Hawa ndugu walikuwa na uwezo wa hali ya juu sana kupigana magitaa na kuimba ni wanamziki wachache sana wenye uwezo kama huu.
Wiw this is the content we have been waiting for years now. Shukran sana for keeping the Wanyika legacy going thru these videos
Amazing!
Saludo desde. Colombia
Polee mwana mama, Ni matatizo ya dunia ...
gold!
Uyu mdogo alikua anaimba kwa hisia kali sana
Hawa jamaa walikuwa na vipaji vikubwa Sana.
George Kuomba mzamaha kwa ndugu yake mkuu ,Wilson ,kwa Hali ya kutoelewana kwa muda nadri. Marudiano, Kisha kuchomosha huu wimbo . Maisha ni kama mviringo wa ndunia. Isitosha kaka!! Dr. Ogeto International
thank you bro...am humbled to learn the reason for composition of dis piece!!!
George Peter alikuwa Anaghani hasa
Awa wazee walikua nakipaji kikubwa sana
Wimbo huu solo amepiga George Peter na kuimba. Kuna kipindi George Peter hakuelewana na kaka yake Wilson Peter na kuunda kundi lake la jobiso na akiwa huko alitunga kibao kikali sana Chenye jina mwaka mpya . Hata hivyo baada ya suluhu alirejea tena simba wa nyika na kutunga kibao hiki cha pole Jobiso akijutia kosa lake alipomuacha kaka yake.
Ni kweli kabisa na huu wimbo anaimba kujifariji baada ya mkasa wa kukamatwa ikifanya kazi ya muziki akiwa hana kibali jambo lililopelekea yeye kuwekwa ndani na hakuna mtu aliekwenda kumuwekea dhamana ila ni kaka yake Wilson huku akimwambia rudi kundini tufanye kazi pamoja ndio anasema watu waliocheka walicheka na walionuma walinuna na walisikitika pia walisikitika.
@@sherazadismael3277 thank you for dis info....i now understand the song better
!!!
Naam
huyu jamaa anapiga bass na left jina lake nani? somebody help me.
Victor Boniphace