Lakini uyu jamaa wenu naona anakipaji, na anaweza vizuri kufanya comedy, mmpe sapoti wakenya, na mumshauri afanye comedy naona ana talent ya comedy, mpeni sapoti.
@@jmediakenya Ametulia tu kwa amani kwasababu ninyi wakenya mnapenda mziki mzuri kwahiyo, ana amani tele kwa tele, kwasababu hakugombana na wakenya, bali aligombana na mtu mmoja tu aliekuwa anataka kuaribu umoja wetu wa east Africa.

Kwell kabsa
Jamani mimi ni mtanzania mmenifanya nicheke saana kwamaneno yenu, mmenifanya niwaheshimu kwakusimamia ukweli ubaki kuwa ukweli.
Uku Kenya ni Moto sana
Uko diamond anasema aje
Kaka habari yako, naamini ubarikiwe kwa kunibariki na upendo wako, Mwenyezi MUNGU akupe afya njema na maisha marefu.

Asante kaka