Yanga kinara Africa/ Yaipiku Simba na Al ahly

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • ‪@YoungAfricansSCTV‬

КОМЕНТАРІ • 5

  • @LewisSolomon-vz8je
    @LewisSolomon-vz8je Рік тому +1

    Mwananchiii

  • @nyeramedia99
    @nyeramedia99  Рік тому

    Bondia Lucas Changalawe wa Tanzania usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kufika hatua ya fainali ya kuwania kufuzu Olympiki 2024 baada ya kumtwanga mpinzani wake Younes Nemouchi wa Algeria kwa “knockout” katika pambano la nusu fainali ya uzito wa 80kg kwenye mashindano yanayoendelea huko Dakar, Senegal.
    Bondia Changalawe ni mshindi wa medali ya shaba kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola ya Uingereza 2022.

  • @nyeramedia99
    @nyeramedia99  Рік тому

    RASMI: Walioteuliwa kuwania Tuzo ya Kocha Bora wa duniani katika msimu wa 2022/23 kutoka FIFA.
    🇪🇸 Pep Guardiola
    🇮🇹 Simeone Inzaghi
    🇦🇺 Ange Postecoglou
    🇮🇹 Luciano Spalletti
    🇪🇸 Xavi Hernández
    Nani unampa nafasi kubwa ya kushinda Tuzo hii. #SRSportsUPDATES

  • @nyeramedia99
    @nyeramedia99  Рік тому

    RASMI: Walioteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia katika msimu wa 2022/23
    🇦🇷 Julian Álvarez
    🇭🇷 Marcelo Brozović
    🇧🇪 Kevin De Bruyne
    🇩🇪 Ilkay Gundogan
    🇳🇴 Erling Haaland
    🇪🇸 Rodrigo Hernández
    🇬🇪 Khvicha Kvaratskhelia
    🇫🇷 Kylian Mbappé
    🇦🇷 Lionel Messi
    🇳🇬 Victor Osimhen
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Declan Rice
    🇵🇹 Bernardo Silva
    Nani unampa nafasi ya kushinda Tuzo hii kutoka FIFA.

  • @nyeramedia99
    @nyeramedia99  Рік тому

    RASMI: Walioteuliwa kuwania Tuzo ya Golikipa Bora wa Dunia msimu wa 2022/23 kutoka FIFA.
    🇲🇦Yassine Bounou
    🇧🇪 Thibaut Courtois
    🇧🇷 Ederson Santana de Moraes
    🇨🇲 André Onana
    🇩🇪 Marc Andre Ter Stegen
    Kura yako inaenda wapi hapa.