BIG SUPRISE/ MFANYAKAZI WA WASAFI AZAWADIWA GARI/ MACHOZI YA FURAHA YAMTIRIRIKA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 569

  • @rickstyleboy9373
    @rickstyleboy9373 4 роки тому +19

    Hii inashangaza sana Diamond Platnumz big respect to you hata ulaya sijawahi sikia kila mwisho Wa mwezi watangazaji wapewe gari. Alafu maskini ya Mungu mtu anajitikeza alikotoka anamshindanisha Diamond nasanii Wa East Africa that's shaaaaaaaame sana this guy sio Wa level za kushindanishwa na msanii yeyote Wa E.a labda west tena Kwa Africa labda umshindanishe na wasanii kama watano sita hivi kwenye mikwanja mfano fally ipupa,davido,wizkid,p square na akon

  • @iankiplangat4224
    @iankiplangat4224 4 роки тому +59

    Anastahili, she really deserves it. We watching her all the way from 🇰🇪🇰🇪 and we love her tremendously.....

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 4 роки тому +19

    Honestly job ya huyu dem inakuaga Amazing anastahili zaidi big up WCB

  • @bahatikenya
    @bahatikenya 4 роки тому +36

    YOU DESERVE IT BABY GIRL... YOU KNOW I GAT YOU, KEEP PUSHING THE BEST IS YET TO COME 👌👌👌 MORE BLESSINGS IN GODS NAME MY GOOD FRIEND

    • @djgeorgekiller3617
      @djgeorgekiller3617 4 роки тому +1

      𝔻𝕚𝕒𝕞𝕠𝕟𝕕 𝕞𝕥𝕦 𝕪𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕦

    • @biasharanamafanikiotv.8561
      @biasharanamafanikiotv.8561 4 роки тому

      @@djgeorgekiller3617 ua-cam.com/video/ppL-Rjvuevs/v-deo.html 🔥🔥🔥🇹🇿 mambo haya Yatakujenga Aria

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 4 роки тому +33

    Mamae daimond we kiboko wafanyakazi kama wote, mungu akuongezee kwani unatimiza ndoto za watu wengi

  • @shaddyndaje2142
    @shaddyndaje2142 4 роки тому +55

    Dada anajua ongera sana,,diamond unatimza Malengo ya watu wengi

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому +3

    Aki anastahili ni jana tu nikisema wakati namwangalia huyu dada nampenda sana anastahili zawadi kusema ukweli mm huangalia sana wasafi juu yake yy na mchaga og😍😍😍😙 happy for her

  • @ancyrom6929
    @ancyrom6929 4 роки тому +17

    Wow big up wasafi for appreciating your workers and showing love be blessed guys

  • @peacemakerdxb6012
    @peacemakerdxb6012 4 роки тому +41

    Anastahili huyu dada, Anafanya kazi vzri sana.. Katulia kbsaaa... 🙏🙏

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 4 роки тому +2

    Kiukweli anastahili kupewa hiyo zawadi kwa kazi nzuri ambayo amekuwa akiifanya kabla hata ya Wasafi TV kuanza, namtakia mafanikio zaidi... Well deserved, go Aaliyaah! 👌💯💖💖💖🙌💥🔥🌍🔥

  • @abouhijja8438
    @abouhijja8438 4 роки тому +7

    And this is what makes you guys different from other media... Big up!

  • @barakayohana6021
    @barakayohana6021 4 роки тому +56

    Najua atafata MORE TOWN SANYA,jamaa anapiga sana kazi huyoo,Hivi ni kwelii

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 роки тому +4

    Mungu awaweke ivoo muendelee kupendana ivo ivo, entertainment bongo imechangamka kwa ajil yenu wasafi..

  • @finemubah
    @finemubah 4 роки тому +44

    Jamani msimsahau MCHAGA OG mwana anapiga kazi sana sisi tunamkubali sana mchaga og he is a hard working guy

  • @daphrozakikoti2939
    @daphrozakikoti2939 4 роки тому +6

    Waoo Aliya nakupenda na unastahili imetoka mbali na wasafi

  • @fbr5113
    @fbr5113 4 роки тому +4

    Wasafi mnajua kutiana moyo sana na ndiomaana mnazidi kudumu.
    B
    Hongera sana Aaalya huwa nakupendaga sana ila hayo mavazi ya mikupuo jamani huendaninayo bana hayo labda Zuchu msanii😂😂😂😂😂. We una vivazi vyako vitamu vinakutoaga kweli😘😘

  • @Kilticompany
    @Kilticompany 4 роки тому +8

    She deserve wallahi. If i could have more i could offer. I love the lady 🥳

  • @kyannicktv8549
    @kyannicktv8549 4 роки тому +4

    Duh I really like this sis I wish I can be in Tanzania. she deserve it she is really good on refresh. from 🇬🇧 Uk endelea dada you will get more than that. may God bless you

  • @rogermazombo9744
    @rogermazombo9744 4 роки тому +5

    She's so shocked by surprise and wasafi keep it up, God bless you guys

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 роки тому +2

    Daaaaa et Maik imewashwa 🤣🤣🤣🖲️🖲️🖲️🌈🌈🎤🎤🎤🎤🎤🎞️🎞️🎚️🎧🎧🎧🎧🎧🎧 happy to you 🎂

  • @patricemacky1164
    @patricemacky1164 4 роки тому +13

    Wame msurprise mkokoteni wake hongera sana dada pia hongera kwa uongozi wa wasafi media.

    • @nbwchannel4997
      @nbwchannel4997 4 роки тому +2

      Dah yani nduguyangu unaloombaya sana alafu we auna ata Bskel.

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 4 роки тому +25

    woow hongera sana u deserve it gal....

  • @amourdelicieuse2961
    @amourdelicieuse2961 4 роки тому

    Asanteni sana wasafi media Aliya anastahili Ringa kubwa sana ya kifari sio aka tena nalipenda sana Diamond kama amurudilie Zari Amuoe Alya

  • @israelymsuya9903
    @israelymsuya9903 4 роки тому +73

    Waga namfatilia katika kipindi chake Cha Refresh waga anajituma Sana huyo dada

  • @prophet_gamaliel_mkailwa
    @prophet_gamaliel_mkailwa 4 роки тому +1

    Vzur sana ana stahili hii suprise anajituma sana huyu dada mi nampenda kwakweli tena sana

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 роки тому +20

    Hivi vitu vipo kwa wsf tu hongera sana

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 роки тому +1

      Sana

    • @TANZANIAALERT
      @TANZANIAALERT 4 роки тому

      it is a liability tho. Ni bora ingekuwa Assets. the car will eat all small money she is earning.

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +3

    Bismillah MAASHALLAH 🤲.... ..Allahumma bareek Inshallah 👏👏👏👏👏👏

  • @Shak2.0
    @Shak2.0 4 роки тому +11

    The management is lit 🔥...just lit that’s it man

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 4 роки тому

    Mamae du! Kila mwisho wa mwezi mondi ni nyoko anajuwa kuishi na wafanya kaz wake safi xana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +8

    Dada hongera Sanaaa 🙏 nakukubali Tena huwa nalkubal sanaaa 😂 😂 lle YAI lako unalo ungeaga

  • @leahchacha2514
    @leahchacha2514 4 роки тому +13

    I’m so soooo happy for her🥰🥰🥰🥰🥰👏👏👏

  • @MenTPL
    @MenTPL 4 роки тому +12

    This Aaliyah, love you so much,
    Unafanya vema, you are the best,
    Unastahili

  • @godfreydeogratius7810
    @godfreydeogratius7810 4 роки тому +8

    Well,well,well👏👏👏gal u deserve it💪 dis time round n y kwake MO town “IVI NI KWELIII”...

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 роки тому +34

    Jna lake ni zur...عالية =aa'liyah in swahil means aliyejuu yaan "wa majuu" na kweli imethbitika... Allah akulndie kipando chako kicpate ata mkwaruzo... allahumma amina

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 роки тому

      Amina

    • @hassanjuma8369
      @hassanjuma8369 4 роки тому

      Hha kumbe unajuwa arabic

    • @dashuusaalim1943
      @dashuusaalim1943 4 роки тому

      @@hassanjuma8369 ce wazanzibar voo tultawaliwa na waarab so athar zake bado zingalpo

    • @hassanjuma8369
      @hassanjuma8369 4 роки тому

      @@dashuusaalim1943 Mashallah 3ajjaab nmependa

    • @ashatasaidi6481
      @ashatasaidi6481 4 роки тому

      Please allow me to correct you Dashuu. Aaliya is an ARABIC word and name. Not a Swahili word. But the meaning as you have explained it is correct.

  • @johngodwin8281
    @johngodwin8281 4 роки тому

    Kweli anastahiri maana ameambiwa kunawatu wa kuwahoji kwa kushtukizwa ila kashika mike i like that 😘😘

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 роки тому +26

    Msanii wa kwanza kumnunulia msani mwezake gari ni diamond msanii wa kwanza kumharamia msani mdogo video kali ni diamond huyu kija atakuwa tajiri mkubwa inshallah

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 4 роки тому +1

      Diamond ni tajiri miaka mingi Sana

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 4 роки тому +1

      @@calvinloveambroce842 kweli

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 роки тому +1

      Ukumskia Mo juzi akisema diamond atakuja kuwa tajiri mkubwa Tz kwa bidii alizonazo. Allah kamjaalia na yeye pia amejaaliwa kutowa. Wcb 4life ✌❤

  • @martinekazungu842
    @martinekazungu842 4 роки тому +25

    Me mwenyewe nimefurah kuona anapata zawadi make yuko vzr na pia namfatilia sana king simba upo juuu lion🙏

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 4 роки тому +1

    Wasafi mungu azidi kuwabariki,na madanikio Zaidi,👍👍

  • @marcelmarco5182
    @marcelmarco5182 4 роки тому +11

    Hongera Sana dad pamoj na WCB mzm ila na mm MNIKUMBUKE MNINUNULIE AT KIPKPK CHA KUENDEA KARIAKOO

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому +17

    PONGEZI ZAKE MKURUGENZI DAIMOND PLATINUM. MKISALI MUMUOMBEE BOSS WENU..

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 4 роки тому +1

    Yani ukitaka kudrive fanya kazi kwa bidii na wasafi tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zaydesdery9202
    @zaydesdery9202 4 роки тому +1

    hongera mm pia nimefurai km nimepewa mm da! uo msitukz hatari

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 4 роки тому +42

    Maoni yangu huo mwishoo wa mwezi mpeni jamaa wangu hivi n kweli(mo town sanya)

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 роки тому +4

      Hahahaha umenifurahisha ila bado mda atapata Inshaallah

    • @abumoyo5341
      @abumoyo5341 4 роки тому

      @@officialmrtop1018 😂😂😂

    • @hellyally4395
      @hellyally4395 4 роки тому +4

      🤣🤣🤣 atapata hii ndo Wcb

    • @abumoyo5341
      @abumoyo5341 4 роки тому +1

      @@hellyally4395 nakubali

    • @musamgulila577
      @musamgulila577 4 роки тому

      Na professor wa story book

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 4 роки тому +1

    Alf Alf Mabrouk Diamond kweli umefanya sawa Alya anastahiki mtangazaji mzuri saaana

  • @fatimamowa8166
    @fatimamowa8166 4 роки тому +9

    Maskini Mashaallah nampenda aliya 🥰

  • @salehkamwanga2930
    @salehkamwanga2930 4 роки тому +2

    Daaaah mondi hakika mungu tu

  • @babycandy2052
    @babycandy2052 4 роки тому +3

    Wasafi ndio mahali pekee ambapo mfanyikazi huzawadia bcoz diamond ana thamini wafanyakizi wake, don't compare diamond na vitu vya ajabu, diamond is the best and God will continue blessing him bcoz he deserve it, huyu jamaa anasaidia watu wengi sana kutimiza ndoto zao, wasafi for live

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 4 роки тому +1

    Motown Sanya pia ni balaa sana! Nembo ya mtaa!

  • @robertboniface5827
    @robertboniface5827 4 роки тому

    Diamondplatnumz hongera sana kwa kuleta ajira na furaha kwa vijana. Mungu akubariki sana

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому

    Nyie wasafi mtakuja kuuwa wafanyakaz na surprise zenu angelikuw anaumwa moyo angeanguk all in all congrats aliyaaa 💫💫

  • @peter_sinjole
    @peter_sinjole 4 роки тому

    mana tupo tu tunaotamani kuja kufanya kazi ata bure tu but no more chance Jah bless u all wcb members alliya u deserve it congarturation

  • @chingamaja2001
    @chingamaja2001 4 роки тому

    Kazi nzuri Sana wcb nawakubal miaka mia

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 4 роки тому +28

    Hiii kwasisi ma HR tunaita Motivation,,,,,yaaani motisha sasa kuna mtu tangu ameanza kazi miaka 20 hajawahi kupewa penseli

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 4 роки тому +1

      Hahahaha penseli ???

    • @afandebrighttz2887
      @afandebrighttz2887 4 роки тому +4

      @@asmajamani2967 Amini nakwambia Tupo jeshini mwaka wa 9 kunamtu hajawahi kuambiwa hata ile hongera ya mdomo ,,,,, kazi yangu ni kuiombea wasafi media izidi kusaidia vijana wengi zaidi

    • @deogratiuskaroli8653
      @deogratiuskaroli8653 4 роки тому +1

      Kweli kabic

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume 4 роки тому

      Yess hapa ndipo ile recognition tunavyo ifanya

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 4 роки тому

      Na ndipo hapo tunapouona utofati wa diamond na hawa wasanii wenu local uwa ni kosa kubwa sana people kumlinganisha mtu ambaye anafanya ma elfu ya watu wanaishi kifahar na familia zao

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 роки тому

    Hongera Dada,umestahili unachostahili

  • @sadakhamis6684
    @sadakhamis6684 4 роки тому

    Hongera Aliya ulistahili zidisha juhudi dada ✅

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 4 роки тому

    Hongera sana Aaliyah, REFRESH ndo uso wa Wasafi TV! Hongera sana.

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 роки тому

    Mtoto mashalaaa 🙌 🙌 Hongera sana dada

  • @musicapprentice6682
    @musicapprentice6682 4 роки тому +10

    Zuchuz Best Friend deserves indeed 👌
    Love you Aaliyah!😍

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 роки тому +1

    Wasafi wako juu sana Aliya hongera sana

  • @abdallasuleiman6414
    @abdallasuleiman6414 4 роки тому +2

    She dserve it... Aaliyah... Hard work pays🔥congratulations

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 3 роки тому

    Alikiba hawez fanya ivo big up mond

  • @oswardkabasa8476
    @oswardkabasa8476 4 роки тому

    wasafi kweli mnanikosha big up kwenu jamani

  • @kijanaWaMamaBhajia
    @kijanaWaMamaBhajia 4 роки тому +2

    Na wampee designer pia.....kuvaa hua hajui kabisa....all in all congrats

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 роки тому +1

    Diamond 😭😭😭😭😭mungu azidi kukulinda na kukuongezea unapo toa inshallah 🙏

  • @ibrahimomary1386
    @ibrahimomary1386 4 роки тому +1

    Mwanangu Motown sanyaa your 💪Next

  • @comicgenius20
    @comicgenius20 4 роки тому +4

    Dats beb deserve much respect dah kibby kinawork too hard every place dah I like her

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 4 роки тому +2

    Mo Sanya wampe nayeye anapga kaz sanaaaa

  • @upendosilasmabanda1341
    @upendosilasmabanda1341 4 роки тому

    Anastahil kwa kweli anajtma sana kweny refresh

  • @emmanueldocha3968
    @emmanueldocha3968 4 роки тому

    Ila bidada hongera Sana maana unajitahidigi Sana. Pia upogo makini Sana kwa kazi zako. Big up

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 4 роки тому +7

    Bado jamaa angu mo town sanya namkubali sana

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 роки тому

    Aliyah deserves hii kbs 😭😭 ani hongera sana aliyah

  • @neematatala8906
    @neematatala8906 4 роки тому

    You deserve it aliyah,,hongera Sana'a lv u

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 4 роки тому

    Season ambayo nimeipenda ni jinsi Aliya alivyochukuliwa ofisin akiwa hajui chochote big up mond

  • @wardaheluwa734
    @wardaheluwa734 4 роки тому +1

    Hongera sana huyu dada ni mrembo mashaallah

  • @sophiahmedza929
    @sophiahmedza929 4 роки тому

    Aaliyah You deserve it my gal.you r a hardworking gal.God Bless You

  • @feisalzungu9017
    @feisalzungu9017 4 роки тому +10

    Hongera shemg

  • @abdulazizuberxdriver3845
    @abdulazizuberxdriver3845 4 роки тому +3

    Kwahyo sasa Boss Aaliyah sisi Madereva UberX ndo hatuna ajira kwako🤣🤣🤣🙌🙌🙌 it’s jokin all in all ni jambo la kumshukuru mola hongera dada

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 роки тому

    Hongera sana dada angu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +1

    Hongera sana Aliyah, love you 😘😍

  • @hassanjembe3570
    @hassanjembe3570 4 роки тому

    Mmetisha sana Wasafi

  • @abdochriss6061
    @abdochriss6061 4 роки тому +2

    Kama umeona Juma lokole akizozana na Lukamba mwishon mwa video gonga like

  • @IfahamuTanzania
    @IfahamuTanzania 4 роки тому +7

    Hongereni sana wasafi

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 4 роки тому +14

    Wasafi big up sana

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 4 роки тому

    You deserve it mrembo hongera sana

  • @madinahajji1330
    @madinahajji1330 4 роки тому +1

    Chifu..her childhood name,she really deserves it for sure....congratulations

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 4 роки тому +16

    Wasafiiiiii nomaaaaaaa,sanaaaa

  • @laurentsamilah5001
    @laurentsamilah5001 4 роки тому +1

    diamond uko vzr kaka hongera kwa kuajiri vijana wote

  • @suleshm4627
    @suleshm4627 4 роки тому +3

    Congratulations beautiful you deserve it and always keep your head up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eliofootz6519
    @eliofootz6519 4 роки тому

    Hongera Sana Nakukubali ailiyaaa

  • @juraxmbagah7226
    @juraxmbagah7226 4 роки тому

    I like you Alya u deserved to got big surprise #workhard my sister

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 4 роки тому +2

    Alieona jumalokole2 kapigwa kikumbo na Lukamba baada ya kwenda kumshobokea gonga like hapa chaumbea kapigwa kumbo...

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому +28

    Aliyah deserves, Kalister alienda wapi jmn? I loved her too

  • @subayayusuph9240
    @subayayusuph9240 4 роки тому

    Mpeni kitenge gari,anafanya kazi kubwa sana pmoja na George ambangile,ambangile anachambua mpira vizur sana.

  • @yassinijamirr2309
    @yassinijamirr2309 4 роки тому

    Wasafi nawapata vizuri kupita you tube

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 4 роки тому +1

    I love her..she is AMAZING..hardwork pays🙏

  • @muslimnadia4553
    @muslimnadia4553 4 роки тому

    Mrembo kiasi yake Godbless wasafi as a whole

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +18

    HOGERA SANA WASAFI SAFI SANA

  • @mouzarashidd
    @mouzarashidd 4 роки тому

    Ma shaa Allah, Alliah hongera dada.
    To much love from Oman 🇴🇲

    • @lucylucy7307
      @lucylucy7307 4 роки тому

      oman oman mwambie shati Shariw tu jaman😂

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +5

    Congratulations Aliyah...next is MCHAGA OG the handsome then our streetboy MO SANYA ❤❤❤

    • @musamgulila577
      @musamgulila577 4 роки тому +2

      Na professor wa story book

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 4 роки тому

      @@musamgulila577 Yule Ni kiongozi was Wasafi tv

  • @yangoshatv5327
    @yangoshatv5327 4 роки тому

    alie mzaa mond simba kabarikiwa sana japo bahati hainipati mimi najivunia kuwa tz