Habari zenu wanafunzi wangu wazuri. Tafadhali msiache namba zenu hapa kwenye comments tena. Kuna matapeli wengi wanajifanya kuwa mimi ili wawadanganye. Ukihitaji kuwasiliana na mimi tafadhali nitumie ujumbe Facebook, Instagram, au kwenye email address yangu (barua pepe): jifunzekiingerezanadorothy@gmail.com Karibuni wote na samahani kwa usumbufu. Tuko pamoja
You are the most marvellous teacher !Asanteni kwa msaada wako !kweli wewe ni mwalimu mzuri jinsi unasema kwa kinagawubaga vinaonekana kuwa unajiamini na uko na uzoefu ,nakutakia mema dangu
Peke yangu mimi nashukuru sana kwa somo lako . chakwanza unafahamu kufundisha vuzuri lugha asanteni tunakupenda! na mimi ni mwanafunzi wa kiswahili na kengeleza
nakupenda sana dada napenda kwakuliona hili unapojua kitu nivizur kumjulisha namwemzio sio kumcheka anapoongea asante kwakunifundisha ntafatilia kila utakapo post video zako love u so much thank you.
Karibuni wote! Nitatengeneza group katika whatsapp ya wale wanaopenda kujifunza zaidi. Kama ungependa kujiunga tafadhali acha namba yako kwenye comments, ili niweze kukuingize katika hiyo group. Asante sana. Tuko pamoja
Habari zenu wanafunzi wangu wazuri. Tafadhali msiache namba zenu hapa kwenye comments tena. Kuna matapeli wengi wanajifanya kuwa mimi ili wawadanganye. Ukihitaji kuwasiliana na mimi tafadhali nitumie ujumbe Facebook, Instagram, au kwenye email address yangu (barua pepe): jifunzekiingerezanadorothy@gmail.com Karibuni wote na samahani kwa usumbufu. Tuko pamoja
Asant
Hawajui kitu kimoja uzoefu wako ni ndiyo matunda.
Sawa
Nahitaji kujifuza zaidi ila niunganishe wasapu my
Ok my sister
Wewe ni mwalimu mzuri Sana walimu wote wangekua hv ufaulu ungekua juu zaidi umetisha
Achana na mbio polepole dada Dorothy
Mashallah Asante my dear. Kwa mafunzo yako
My.🎉🎉🎉
Asante kipenz kwa mafuzo yako napend uniunge kwenye group
Mwalim wangu nakupata vizur mungu akujaalie uko vizur
Asante dear umenifungua sana ubarikiwe
Ahsante kweli nmejifunza vitu ving Mungu akbarki uendelee na hii huduma.
Another words madam Dorothy
Mungu akubarki dada
You are the most marvellous teacher !Asanteni kwa msaada wako !kweli wewe ni mwalimu mzuri jinsi unasema kwa kinagawubaga vinaonekana kuwa unajiamini na uko na uzoefu ,nakutakia mema dangu
Asante Sana.
Kwanini wajatuletea walimu kama wewe!?pupils or students need a teacher like your.standard education stands on teacher 's picture for every lesson.
@@jifunzekiingerezanadorothy k
M
Mambo
Nampenda kujifunza kingereza. Ila nnakichwa kizito
😂😂
Asante sana kwa mafundisho yako
Upo vizuri saaana dada yangu I like your English
Mathias usa
Asante kwa kutufunza nakupenda mwalimu, mungu akubariki
dada unafundisha vizuri Nakupenda Sána
thanks so much for lesson❤❤❤
She is good madam
Yes nimependa sana somo lako asante sana.mimi ni mtuwa Burundi naitwa Nicolas.
Hongera Mama Solmo hiii litasaidia watu wengi kufahamu vizuri hizi Lugha mbili Kiswahili na kingereza kwa sababu ni lugha ambazo huenda sambamba.
Thank you So Much Our Sister Na Usije Kuwaca Kutu Fundisha I'm From Rwanda But I Use To Follow you Every Day.
Uko vizur sana Dada nimependa 0752952533
Asante sn
asante sana dada mungu akubariki sana tunahitaji masomo mengine kuanzia somo la 10 tunaomba dada tusaidiye
Thank you so much my dear teacher... Im so proud because of you... Nimejifunza mng
Thank you so much
Nataka kuomba ela kwa kingeleza nasemaje
@@revinapius2628 😂😂😂hii ndo bongo bhna🤣🤣🤣🤣
Waoooh umefundisha vizuri mupaka nimependa
Nakuelewa mama lao asante Kwa msada wako
Sisi tunakusikiliza vizuri hapa kwetu kongo drc Kinshasa
Ukovizuri sana na mim napenda kuwa mihongoni mwawanafunzi wako
Una funza vizuri Sana madame MUNGU akubariki tuko nakufata vizuri mwalimu
Asante mwalimu nimejifunza kitu kutoka kwako mungu akubariki .
❤❤❤❤❤uko vizur sister mie nafanya kaz hoter kizungu sijui aswa lakin kupitia wewe nntajua 2 mungu akujaalie kwa ku2fundisha ❤❤
Ahsante kwakunifumbua macho ubarikiwe sana
she is beautiful
thx dorothy for you good class
Wawo thanks so much my god bless you ❤❤❤
Nzuri sana nimependa mafundisho yako
You are trained teacher. You know how to teach. Your pronouncement is of high quality🙏
Naomba kwanzia somo la kwanza
Asanteni Dorothy,lugahii ninzuri
Mashaallah Dada huwa wafundishwa vizur mpaka raha Allah atakulip💝
Peke yangu mimi nashukuru sana kwa somo lako . chakwanza unafahamu kufundisha vuzuri lugha asanteni tunakupenda! na mimi ni mwanafunzi wa kiswahili na kengeleza
Napenda sana unafundisha very nice
Mungu akubariki mwalimuwetu
Asant 👍Sana unafanya kazi nzuri kwakutufundisha mungu akubaliki 🤝🇧🇮🇹🇿🤝
Ur Great teacher,God bless u teacher I believe and me I will be going to speaking English.
Mungu akufanyie wepesi ktk mambo yako dada
I like you teaching and your pronunciation my sister
Thank..sister God bless u
Asante Dada angu kwa kutufundisha. Mungu akupe maisha marefu
Ahsante dadangu, nakupenda sana. Uko mbali nami,ningekununulia chupa moja!!!!! Mimi kutoka huku Rwanda.
Thanks you for teaching me
Asante sana mwalimu muzuri kbs
Thanks Doroth love much
nakupenda sana dada napenda kwakuliona hili unapojua kitu nivizur kumjulisha namwemzio sio kumcheka anapoongea asante kwakunifundisha ntafatilia kila utakapo post video zako love u so much thank you.
Asante kwa somo❤
Karibuni wote! Nitatengeneza group katika whatsapp ya wale wanaopenda kujifunza zaidi. Kama ungependa kujiunga tafadhali acha namba yako kwenye comments, ili niweze kukuingize katika hiyo group. Asante sana. Tuko pamoja
0689 513161
niunganishe ktk group hilo la WhatsApp iliniendelee kujifunza Burma 0768405289
Jifunze Kiingereza na Dorothy 06557749892
Jifunze Kiingereza na Dorothy 0767-952064
Jifunze Kiingereza na Dorothy Naomba uniunge 0754479824
Unatisha dada Asante kwamafunzo Yako.
uko vizuri Mwalimu,nimependa ufundishaji wako,napenda niwe miongoni mwa wanafunzi wako.
Napenda Sana kujua Sasa ongela uko sawa
Wow so you are a great teacher
Thanks my dear
What the meaning of like wise?
love you so much my sister najifunza
Ubarikiwe sana dadangu, mafunfisho, yako naanza kuifata leo, naona nimusaada kwangu
The way u teach is like American teachers like your smile when u are teaching same as USA teachers
it's true the way u said about c* D
🌹🌹 thank you teacher
Unajua sana kufundisha teacher
Asante sana = thank you so much
nimeipenda Dada kwann ulitafute shule ukaingiza na mijipesa, nami nataka group
God bless you
Nimepedezwa
Thx sister dorothy i like so much your pronunciation very well
Dorthy naomb niunge wspt no yang hii 0787967972
Thanks mdm nilikua n ghamu ya kujis
Thank you, somuch I am happy
Thank you my sister
uko mbembe dada
Xxxvideo CXC
Xxxvideocxc
Arkimba
You are beautiful thank you teaching
Thank you love you ❤️
Good 💕
MaashaAllah somo my dear ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
habari Dorothy nami napenda nijifunze kingereza
Asante dada kwa darasa Lako
Santee Mwalim Mungu akubariki
Thenks are you teacher
Ahsante nakupenda pia madam
Pole mama kwakaziii uliyochagua kutufuza
Asante 👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰😅 Asante
da Dorothy mbona umeishia somo la 10 tu ,masomo mengne siyaoni kuanzia somo la 11 na kuendelea, love u Dorothy ur so beatifuly mwaaaa
Nakupendaaa Dada
I can say thanks dear because you inspire
Love you dorothy
Hakika unatufunza mengi mungu akubariki na akupe kila hitaji la moyo wako
Unatokomboa dada asante sana
Abariyako dada asante
nashukuru xana dada kwa somo lako.
Thanks for everything 🙏 teacher godbless you 🥰
Mwalimu hongera
Uko vizuri dada
Nakushukuru sana kweli mm kingerz sikijui ila ninaamini kupitia kwako nitajua
Ahsantee xanaa
Thanks 🏵️🐴💓💞💌💘💝
Unafundisha vzur mwalim
Inanifurahisha na mungu akubariki
Thanks sister I like you
Nimepitwa na vitu vzr kumbe Ni mwaka sasa asante
Great video, very clear and helpful, thanks for the video, regards from America 🇺🇸🇺🇸
I really god bless you sister 😀😘😘💻💂
Mathias usa
Wao
Asha naitaj kuwa mwan funz wak plus
🙏🙏🙏
Nimependaa somo lako zurii
You are beutiful teacher
Dorothy geeb going on
Asante sana dada kwa Mafundisho yako mazur