Huyu mtu anasema watu elfu 70 walienda kwenye ibada yake na serikali inamuangalia tu 🤷♀️ Swali je analo eneo la kuhudumia idadi ya watu wote hao?au mpaka maafa yajitokeze ndio serikali ianze kuongea🤷♀️..alafu ukimsikiliza rafudhi yake sio mtanzania je anao uharali wakukusanya watu na kutoa huduma?! ...Kinga ni bora kuliko tiba ..aangaliwe kwa jicho la 3
Mnampendea hela

Kwani husikii kasema km yy wa DRC au huelewi maana yake 😂😂😂😂
Acheni kumwita Nabii huo Unabii alipewa na nani ?? Nyie hamuwajui watu wa Congo wengi ni matapeli.
One love ❤