Fanyeni hybrid breeding. Wacheni kufuga ngombe mapepmbe hawana nyama wala maziwa. Ngombe wa kisasa wanatoa kwa uchache lita 20 kwa siku ukilinganisha na lita 1.5 kwa ngombe wa kienyeji. Ngombe wa kisasa anatoa nyama kilo 400 to 500 ukilinganisha kilo 80 mpka 100 ngombe wa kienyeji
Kwan wamasai wao ni akina nani sana bongo hii.mpaka wanabembelezwa na kujaliwa kias hiko wale wa tetemeko na mafuliko hawakufanyiwa hivo mbn kwan hawa akina Njelee wao wana nn.🙄🙄
Haki ya kisheria unapomtoa mtu mahali ambapo kulikuwa na makubaliano ni lazima umfidie sasa hii ndio fidia yao .Wasipofanya hivi watashitakiwa kimataifa
Saaaaaaaafi imekaa vizuri sana hiyo tunaomba wamasai ngolongolo muende huko kumekaa vizuri
hongereni sana serikali
Kweli hizo wizara wanakusikia na kukuelewa Mh? Miaka 60 ya uhuru wizara hizo zina demo ganiya kujivunia?
Maneno mengi bila vitengo. Mh tafuta dawa hizi wizara zimetuangusja sana. Wafukuzwe maofisini waishi ktk mahema wakichapa kazi
Hao Ni wafugaj serikal imezingatia hilo
Fanyeni hybrid breeding. Wacheni kufuga ngombe mapepmbe hawana nyama wala maziwa. Ngombe wa kisasa wanatoa kwa uchache lita 20 kwa siku ukilinganisha na lita 1.5 kwa ngombe wa kienyeji.
Ngombe wa kisasa anatoa nyama kilo 400 to 500 ukilinganisha kilo 80 mpka 100 ngombe wa kienyeji
Hiyo safi mkuu imekaa sawa kabisa
Mbona wtuwA kanda ykaskzniwanaogopwasana naselikali?
Wana mikuki hao! 😃😃😃🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Yaani ili jamaa linafaa kabisa kuwa raisi yaani
Kwan wamasai wao ni akina nani sana bongo hii.mpaka wanabembelezwa na kujaliwa kias hiko wale wa tetemeko na mafuliko hawakufanyiwa hivo mbn kwan hawa akina Njelee wao wana nn.🙄🙄
Kule walipo serikali inaingiza mapato mengi takriban trillion 4 kwa mwaka
@@itwaaky75 hee mbn geita hawajangewa na kujaliwa hivo kwan bulyankuru inaingza elf 50
Lazima wabembelezwe wakiwakorofisha hawa ni watu hatari sana wana weza wakailipua Tanzania nzima bila kumjua ni nani kalipua
kwani mafuriko yaliletwa na serekali ? si ndio tuliambiwa hivyo juu yakuwa michango ililetwa lakini iliyayuka kwenye hewa.
Haki ya kisheria unapomtoa mtu mahali ambapo kulikuwa na makubaliano ni lazima umfidie sasa hii ndio fidia yao .Wasipofanya hivi watashitakiwa kimataifa
JIFUNZE STAILI 8 BORA ZA KUFANYA MAPENZI 👇👇👇
youtu.be/hrscC0G_
Hermosaelección❤️
ua-cam.com/video/2oevNGgOa48/v-deo.html
de los mejores conciertos 7
01:03 Senada: "Hermoso"
02:00 Megan: "Hotter"
03:21 Hopi: "Sweeter"
00:13 Joonie: "Cooler"
02:53 Yoongi: "Butter"
01:41 Amor: "Momentos"
..
belleza.viaja.al.universo.se.reune.con.estrell
as. rplf
y.luceros……tu.mirada.enamora.al.sol……tu.hermo
sura.quedara.por..una.eternidad.en.los.corazon
ede.
tus.admiradores……feliz
Navidad.y.noche.buena…mis.respeto.para.toda
s.las.mujes.del.mundo……saludos..al.fin.del.mund🌺🌺