USITUMIE DAWA ZA DUKANI KUTIBU MINYOO YA KUKU, tumia tiba hizi za asili | ufugaji wa kuku

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @saumumunisi8013
    @saumumunisi8013 2 місяці тому

    Asante sana aunt nimejifunza kitu.

  • @AnnaMkenga-iu9db
    @AnnaMkenga-iu9db 2 місяці тому

    Barikiweni mnoo kingo farm

  • @restutastephano8748
    @restutastephano8748 2 місяці тому

    Asante

  • @justinibrahim-x1u
    @justinibrahim-x1u Місяць тому +1

    Athari gani mtu anaweza kupata kw kula mayai ya kuku aliyetumia dawa za dukani kabla ya siku 7 zilizopendekezwa

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 2 місяці тому +1

    Unaweza kuwapa vifaranga kitunguu swaumu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому

      Inafanya kazi vizuri wakitimiza mwezi mmoja na kuendelea

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 2 місяці тому +2

    Asante nyie mko wapi

  • @alibinjuma793
    @alibinjuma793 2 місяці тому

    🙏

  • @user-lh4wg1jt8z
    @user-lh4wg1jt8z 2 місяці тому

    Somo zuri sana

  • @user-nr3pt8pm6e
    @user-nr3pt8pm6e 2 місяці тому

    Kuku wangu wanamafua makari na wanakufa sana nifanyeje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому +1

      Tumia kinguu swaume, tangawizi na pilipili, au tutafute 0712188230

  • @user-io9uv6ln2b
    @user-io9uv6ln2b 2 місяці тому +1

    Jamn nilikuwa naomba ushauri maana kuku wangu wanmafuwa makali sana nawanakohow napiya vifo vimekuwa ni vingi san

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому

      Unaweza kujiunga na Kundi letu la Mafunzo utatatuliwa vizuri hiyo changamoto

    • @ghanimajongo7817
      @ghanimajongo7817 2 місяці тому

      Kwan lazim tuje uk wengine hatuna pes

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому

      @@ghanimajongo7817 hapana sio lazima ulipie, inatakiwa tukuulize vzr Ili upate dawa Sahihi Kutokana na dalili walizoonyesha kuku wako, ukitaka kujiunga na Kundi ndio unalipia lkn kuuliza tuu ni bure