WAKAZI: KUNA WATU WANAMZIDI NGWEA, NIKKI MBISHI, SIO MKALI KWENYE FREESTYLE KULIKO WOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 28

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 Рік тому +5

    Shida ya watu hawamjui wakazi vizur na hawaelewi anachozungumza... ukimuelewa hupati shida ila una enjoy

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 Рік тому +3

    Wakazi ukimwelewa unaenjoy interview zak

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh Рік тому +1

    "Najua Hamuezi Kwenda Haja ndogo Mmesimama ila Mna Uwezo wa Kufanya Kila si Tunachofanya...
    Hata kua Raisi MWANAMKE Pia ana Haki Mradi tu awe na Vigezo Wanaume tunapata wapi..." 🎶🎯
    ~Albert 'Mangwea' Keneth [1982-2013]
    Cc; @MwanaFA & @Lady Jaydee
    #MamaSamiaHassan🇹🇿
    #happyngweaday 🎙️
    #10Years⤵️😓

    • @DavidMlai-jk8jg
      @DavidMlai-jk8jg 10 місяців тому +2

      staki beef na mangwea yuko juu unapogusa unapotea

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 Рік тому +3

    Ngwear atabaki kuwa ngwear tu, hawa wengine tunawasikiza ila Kwa ngwear bado sana.. Pengo lake haliwez kuzibika kamwe.

  • @chilwaramadhan6953
    @chilwaramadhan6953 Рік тому +3

    Ngwair kama ronaldihno,ana free style na hits songs...ronaldihno ana skills na uwanjani mkali vile vile

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 Рік тому +1

    Malizieni ile video full ya interview... Haikuisha ila mliikatili

  • @mustafamwema6377
    @mustafamwema6377 7 місяців тому

    Nikki mbishi sio mkali kama ngwear kwenye free style za hapo kwa hapo

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Рік тому +1

    True mbishi anawazidi at his prime, at the moment toxic na kado

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 Рік тому

    Chuki ni noma sana aiseeeee

  • @40kstore
    @40kstore Рік тому

    Muongo kweli wee jamaa,unamfananisha Nikki mbishi na Ngwair.

  • @frankcreme1898
    @frankcreme1898 Рік тому +2

    Mwambie atupe gum ambayo anakula uku anafanya interview iyo ni upuzi

  • @sizaadolph2287
    @sizaadolph2287 Рік тому

    Huyu br huwa anajua sana sema huwa anaongea sana

  • @DavidMlai-jk8jg
    @DavidMlai-jk8jg 10 місяців тому

    yani wewe wakaz niki wekeni nyimbo zenu zote afu me naeka nyimbo 1 yangwea. she got a gwan

  • @DavidMlai-jk8jg
    @DavidMlai-jk8jg 10 місяців тому

    wakazi Mshamba sana sijawai kukuelewa unaimbaga nini stupid wapiga makelele uyo niki nyimbo yake moja2 play boy ipi nyingine

  • @hassanseif8913
    @hassanseif8913 Рік тому

    Ukiona mtu ameshafaliki miaka zaidi ya 10 na bado anazungumziwa ivyo ujue uyo mtu sio poa kabisa

  • @directorballo9598
    @directorballo9598 Рік тому

    Wakaz mshamba san

  • @user-qx4dz5kx3g
    @user-qx4dz5kx3g Рік тому

    Huyu nae anasema niki yupo juu kuliko Ngwear!! free style,Huyi niki mpaka aandike ndio apasuke,Ngwear popote chochote,bora useme Zilaa lkn nikki uhozo2.

  • @simonjohn7405
    @simonjohn7405 Рік тому

    acha ujinga aseee usilazimishe Kila mtu aamini unacho sema

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Рік тому

    😂😂😂kum* uyu