Lava Lava - Utatulia ( Official Video )
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Send SKIZA 8542555 to 811 (Safaricom)
Tuma 7558789 kwenda 15577 (Vodacom Tanzania) kuwa muito wa simu
Tuma herufi XH kwenda 15050 (tiGo Tanzania) kuwa muito wa simu
Official Video of the latest Lava Lava song
The song was a produced by Hass Bonga from Better Sound Studio and Mixed By Lizer Classic from Wasafi Recorda
The Video was Shot and directed by Justin Campos in South Africa
Mh good song jaman kuna anae bisha atakuwa mchawi gonga like kama wa mpenda huyu broo
Mtunza vyangu vya Siri🤩🤩🤩,team Kenya where are you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,nitatulia dear nakuahidi🤩🤩,lava lava I love you 🤩🤩
Safi
Gonga like kama umekubali lava lava ako fire
Naupenda huu wimbo unanikumbusha mbali mnoo ongera lava lava
Aise nahisi me ndo mtu nilieangalia ii ngoma Mara nyingi kuliko Wote CoZ naipendaa Sana. Like Kama na we unapenda anachofanya lavalava
Fevoriti kwa zake zote.♥️♥️
Mbona hii song kali kuliko kilio MashaAllah.. mawazo yangu lkn lavalava unanikosha wallah
Sina say pia mm,Mash-Allah,Utatulia iko juu Wallah
This song make me realize how much my husband needs my loyalty, respect, patience and more of my love. Thank lava for opening my heart wider. Love you sana
Thanks for saying this, more life Shiroh 💝🙏🏾
Huu wimpo umetisha kinoma
Watching from Qatar
jamani kaka lava lava umenifanya nilie sana nilipoiskiliza hii nyimbo yako imenikumbusha mbali sana z😢😢😢 kama unamkubali lava lava usiache kugonga lak yako hapo 👇
Pooooole ndo maisha
kiswahili kitamu I say! big up bro.
Kama unaangaliya hii ngoma 2020 gonga like twende sawa
😤 Kali sana haswa pale kwa Ronaldinho masorokwinyo
Naukubali mziki huu mm nitatuli nawapenda sana wanamiiki
Nairobi Kenya,, +254 Gonga like Kama Kali.
''usijefanye ronaldinyo penzi utie mbwembwe utaharibu visokorombwinyo wakupitie denge kukujaribu kina kapachino wakakutia wenge kwa vizabibu wakugongeshe mvinyo ukaota mapembe iwe aibu'' Lava lava umenimaliza
Po a my
Noma
visokorokwinyo
Noma sana lava lava levo nzur sana kwenye mapenz
@Lava Lava hii noma bana sijamaliza ya uchungu wa kilio unaniangushia Nitulie sasa... usihofu nishatulia kwako 💖💋
!!! The video very simple napenda vitu simple 👌🏻👌🏻
wow Congrats ABDUL 💖💖 tunakusubiri Msa sasa.
Hi
Nashwa Brown uniumize mimi ukatulie kwa Lavalava 😁😁😁😁
nice
Nashwa Brown LOL simoooooooo
Yunus Schünemann Haahahahaha Aisha huku pia umo wewe 😜😀
We ni kalii bro Kama unakubili Lava lava piga like twende
Lava lava unatisha nakubali brother
Lava lava we noma sana unaua hongera Mr love bite
naipenda nyimbo yako TUACHANE kwa sababu inanikumbusha mengi....nashukuru sana Simba kwa huo moyo wa kuinua wasanii wadogo.I love him for that.. big up wasafi
lavalava plz mm nakupenda sio sili uwempenzi wangu😍😍 sijui itawezekanaje dah! 😌😌😌
mtunza vyangu visiri mwenykunistiri fundi mitambo oyoooooo nakupenda wewe kaka mpka naumwa
Wueehh ♥️😔back again
dogo hii imetulia sana komaa utafika mbali zaidi ya hapo one love
I love your music dude you have something hidden inside you that many can't see.
I am here
I agree with you
Kama una amin hili goma ndan ya one week,tuna kuwa na views milion,gonga like kubwa hapa
My best since I knew lava lava 👊👊
Diamond Platnumz brought me 🇿🇼️ here , liking this all the way from 🇿🇦️
peniel316 me too lol
Hujakosea kijana,you always right,keep going young man utafika tu
Fatma Amran #Dedication to you
BMM 002 wow .ahsante bby
Fundi mitambo wangu
Hahaha
thenks for nice responce
Lavalava big up tusana... Uimbaji hautaki maringo so Kuwa mpole
This guy is a great poet. Plays around with words so easily. Pure talent. Keep it up
Unajua mpaka kero Damu yangu nyimbo nzuri,Nawewe utatulia utuachie ngoma kali na machupa ya hatariiii 🔥🔥🔥
Dahhhh kumamake wallahi lavalava natamni ningekuona dahhh mungu akujaalie amina inshaallah kwanza siku zote hamna anayejua quran akashindwa mambo mengine
Nyengine moto sana🔥🔥🔥🔥 nakupa maksi 💯
tamu kabisa wcb,, vyema nawatakia
Nampenda sana lavalava nipe
Like
yani kwasasa WSB mko vizuri sana kwa kweli mungu amjaalie sana diamond kwakuinuwa vipaji kwa vijana wa kibongo yani mbona ni motoooo safi kaka lavalava kaza butiii uko vizuri
Lava umajaaliwa saut,uandishi nakupenda saana,,wasafy ever tuko
Ur simplicity inaniua wimbo mtamu na vedio tulivu kwako nishaa tulia sitoki goo😀😀😀😀😀😀😀penda wewe lovebites
2024, who's with me here? Gonga like
I am here i just searched for this song it was my favorite back 2018
Team 254 Fanya kama unalike kama umeikubalii
Lava lava nakukubali sana mwenzangu mmmmm wewe nishida huuwimbo mmmmm unatishaaaaa najisikia rahaaa sana nikihuona
Usijifanye ronadinyo.. Penzi utie mbwembwe utaharibu..
Piso korokwinyo wakupitie denge kukujaribu..
Kina cappuccino wakakutia wenge kwa vizabibu..
Wakugongeshe mvinyo ukaota mapembe 😈 iwe aibu 🔥 🔥 🔥
Duh ngoma kal xan,big up lavalava
Wimbo huu unafariji wanyonge Kama una mtakia lava lava mafanikio kimziki tafadhali drop like hapo chini tukutane madale.
Elongo Lusambya ninoma
aisha Aisha sana nimeikubali
Elongo Lusambya .
Elongo Lusambya uko poa Mwanangu
Nakupenda sana Mwanangu mziki oko vizuri
We need another one hotter kama hiii
Kama ukitulia nami nitatulia 😍😍😍😍😍😍😍😍😍🙏
Baby, Niahidi kama utatulia.
Kama hii ngoma ime kugusa kama mm
👉👉👉Gonga Like APA👇👇
The most underrated artist 😔😔 but still the best for me 👌
I can listen to this song more than 10times a day....its so amazing ❤❤❤lavalava rocks ❤❤❤
yeap dix song .....xo Amaziiiiing♠️🎶🎶💯
@@marimamartin2295 v
Gd
Nakusogeza karib na christian bella lavalava congrats
Mtuza. Vyang visili asante mzee bb @ lavalava. @utatulia bong la nyimbo
gonga like hapa kama unakubali huyu falaaa,maan kauaaaaaaaaa!!!!!
hatareee
Witiness Witiness Nombo ni nyokoooooooo nampnda bureeee
Ngoma nzuri 👐👐WCB kiboko yao.ila namsubiri mbosso kwa hamu kubwa.
😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unaamini huu ni mwaka wa Lava Lava aka Mr Love Bite kutwaa taji la WCB bonyeza likey. #254
weweeeeeeeeee lavalava sikuwezi wallahi tna.Wanimaliza kwa hizo nyimbo zako wallahi tna
Lava lava umenikunaaa Jomon song nzr mbaya mbovuu uwiiiiiiiii
🚩😘😘Unajua .....kama unaangalia hii kitu then unammis bae ako.. gonga like
Nani ako apa tena....2018.2019.2020.2021.2022.2023.2024.20.....natulia forever😘😍
Yeah
Kama umemuelewa video Queen kama mimi nipe like zake twende sawa,Black is beauty always👌👌😍😍
Sanaaaaaaaaaaaa
Mnabowa masikio niharamu kwa wanaume
Hassanova junior wow
Hassanova junior ok
Sanaaaaa tuuuuuu
dah hongera xn bro unaamuxh hisia nkiuckilza
Nisikukubali kwni mi ni nani.Kama kipaji kipo kipo tuuu...upo juu kakangu yaani we hubeep unapiga tuu😗😗😗
kanyimbo katamu kweliiii!! wcb nawapenda mpaka kumoyo!!
kwer
Emanuel K vanny II
Vp
Naona dada kafata amri za raisi kidogo kajiziba ziba😂😂 nipe like kama na ww umeona ivyo. Nice song
woyooooooooooooo
Mejumaa Athman 😃😃😃
Mejumaa Athman kabisaaaa
sure sister
Lots of love from Kenya 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
nyimbo nzuri sana kaka niahidi kama utatulia hatariii
Huwa ho wimbo huwa unanigusa sana moyo sana ilov lva lva God is good 👍
This tune is sick. Well done.Gosh I can't get tired of it. On repeat. I wish I knew what he is saying
lavalava ujawai niangushaaaaa kaka likes zake pleasee mwaka wake huu
kru utatulia?
lava lava uko sawa
wcb group
Mungu akupe umri mrefu lavalava boy
Just
usijifanye ronaldinho penz ulitie mbwembwe utaharibu
oyooooooooooooo
Usijifanye ronaldinho penz ulitie mbwembwe utaharibu
oyoooooooo...Kijana anaweza huyu..+254
jamn kasong katamu hadi raha I love you lava lava
Isaac Newha cup ICU hj Kosciusko
Isaac Newha pls I back u if their is What's App group for 9ja songs add me
Lava lava crushie kama kawa weeh ndio king unapendwa boo
Nic lava Napenda sana ii video yako ilove you lava
sijaiangalia hila nnavyo wajuaga hawa jamaa WCB hawawezi kutuangusha,ongera sana Lavabite kwa kazi nzuri huu mwaka umeuanza vema,big up bro.
Nyembokaliii
hila= ila?
kweli vile huu mwaka umeanza vizur San kwao WCB
Wow that is Lavalava again with a new song i liked it
To God be the glory. this guy does good music with African taste.
Mpk leo ngoma bado kali sana😍😘😘
Sitaacha kukupenda milele. Simu yangu ina Album ya nyimbo zako tuu
Live from USA piga like ka umekubali wimbo huuuu
From USA 254 nipo
Lava lava have done it again as he always does, keep going young man. Humility and hard work always pays, you are talented boy!!
I love this guys songs because he does not sing Crap unlike majority of the other artists.
Daaah!! Mjomba unaweza hadi kerooo!!!!
Daah kaka umejitahid kwel mungu awe na we katika kazi zako
Lava Lava I love u bro.. Unaimba feelings mazee
bong
Before 1M gonga like
Melix Allen song yap
Nc
Jah bless love from Nigeria 🇳🇬
100% napenda xna huo wmbo congratulations lava lava
nimeikubali xana ngoma hiii,, big up xana kjana endelea kutupa burudani
Lavalava One Love Mwamba Nimefurahi nimeenjoy Sana Hii Ngoma Daaaaah Aise Tuko pamoja Sana Kama nawewe ni Mshabiki na unamkubali LaVa Nataka like hapa Wakwanza Mimi hapa Na Mkalii wetu LaVa Like hapa Kuwapamoja na sisi hapa Wee Ndio Mwamba 😍😍😍😍😍😍😍 #Lavalava
a
I appreciate ur music en love t mr Lovebite... we wait for more
kila kazi uitoayo ninzuri hujawahi kosea hata mara moja hongera xana nyimbo iko poa xana
Mr love bite😍 hujawai niangusha jameni
Wimbo mzuri unanikumbusha mbaliii
The best artist in wcb #lavalava the king
Beautiful melody, beautiful voice and is well produced. I like it.
daah na vile nipo kweny mahusiano mapya... hii dedication toshaa kw moenz wng
nimeipenda tena sauti ya kutesa video kali sana @kiema video director kitui kenya
Sijifanyeroo najinyonga, full mistari by lavalava, niahidi kamautatulia baby, nami nitatulia, ngomakalihiyo°♡♡♡♡》》》》》》
Still my fauvorite song since i was O'Level!! Masterpiece