Hoja za Prof. Mohammed Bakari ni nzito na zenye ushawishi mkubwa na hakika haziegemei hisia, dini wala ukabila, rangi nk. Ninathamini sana kuwapo kwake na mchango wake wenye kusheheni busara kibao.
Sikuzote mie hujifunza mengi kutoka kwa Mwalimu Abdulatif Abdallah ambaye hakika ni Mswahili kindakindaki aliyebobea zaidi ya wote niwasikiao katika tasnia ya ushairi. Ningeshauri awe na wakati unaolingana na tajriba yake. Ana mengi ya kutuelimisha nayo.
Hoja za Prof. Mohammed Bakari ni nzito na zenye ushawishi mkubwa na hakika haziegemei hisia, dini wala ukabila, rangi nk.
Ninathamini sana kuwapo kwake na mchango wake wenye kusheheni busara kibao.
Asante Prof. Aldin Mutembei kwa maelezo kuhusu maendeleo ya Kiswahili Afrika na kupanuka wigo wake pia
Watuweusi
Walikuepo
East Africa
Toka mwanzo wa dunia
Mwenyezimngu anawaona
Vizuri
Mbona anajibu vizur akafu mna acha kumpa mda wakuongea why mnambania au mnamwogopa shekhee abdallaa tifu
Sikuzote mie hujifunza mengi kutoka kwa Mwalimu Abdulatif Abdallah ambaye hakika ni Mswahili kindakindaki aliyebobea zaidi ya wote niwasikiao katika tasnia ya ushairi. Ningeshauri awe na wakati unaolingana na tajriba yake. Ana mengi ya kutuelimisha nayo.
Andaa kipindi chako Kisha jiwekee nidhamu yako.
Wee mwentekiti tenda aki icho kipindi usikiendeshe kiupendeleo naomba kipindi akifunge shekhee abdalla tifu naji naomba muache upendeleo
Mbona profasa abdalla tifu ampi mda
Kipundi iki kinaupendeleo why kwanin ampi nafasi shekhee Abdulla tifu kuongea