Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wachezaji wamejitahidi sana sana wamecheza mfululizo, pamoja na kucheza pungufu bado wameshambulia 🙏🙏
Amna kutu
Unajifarji tu,ratiba imebana timu zote na nyigine zenye uwezo mdogo kiuchumi zinaumia zaidi kwa kutumia usafiri wa barabara lakini Yanga waruka angani
Mzee unazeeka vibaya
Ndio mwanzo wa kufungwa.Yanga mliziea kubebwa mtafungwa sana.
Kwahiyo naleo mlikuwa mnatunza energy? Acheni ushamba😂😢😅 ❤ Simba
Walikuwa hawajazoea maumivu 😁😁😁😁
Timu Bora hata akitoka mchezaji Moja ndo mpoteze,yanga mnabebwa na uchawi timu ni mbovu
Mlisema yanga isifananishwe na timu nyingine acheni kujikweza yanga ni timu ya kawaida sana
Yanga ii unaifungaje azam waaa
Azam wamecheza kimkakati sana
Utopolo wote walevi😂😂😂😂
vip supu ipooooo
Kumekuchaaaaa
Watoto waliutaka wakapewa😂😂😂😂 mamaeeee pyeeeee
Kwa hiyo ni Yanga tu inacheza Kila baada ya sikutatu wengine wanapumzika
Yanga hii inafungwajee inafungwajee
Yanga hii inafungwajee,? Inafungwajee?
Jamani c tulisema hakuna tum yakutufunga hapa tanzania?
Huyu hata mpira hajui,sababu ya kadi hajui.
Wamekanyagwa
Walipta mlango wa nyuma na wao ni nyuma mwiko.
Tena amewasamehe Azam wameyimwa penalty ya wazi kabisa toplooooo 🐸🦩🦩🐸
Mbele ya rais wao na msemaji wao wamekula moto kimoko
ACHA MBWEMBWE NZEE MAGOMA MSHAZOEA KUBEBWA MAFARA NYIE
Nyambafu kimya si mnajiona wakubwa et hamfungwi
Acha upuuzi wewe si unasema una kikosi kijana? Simba inakuhusu nn sasa acha upuuzi
Ukwel mchungu
Mimi shabiki wa kweli kwani c binadamu yule kwani roboti acheni kiki za kisenge yanga inafungwa km team nyingine
Kula chuma iko
Utopolo hafungwi madkini
Nani hakucheza mfulullizo.Wenzao wamecheza 10 wao 9.Mbona Simba walikuwa pungufu na waliifunga Yanga?Yanga mnafikiri muko ktk ligi kushinda tuuu.Poleni watani.
mbona aucho,baka,mdathiri,boka,diara zili longbal wanashika wengine mabega hamzioni utapigwa achana nao
Tulia mzee ratiba wap😂
NIMESIKIA MLIO UKO KUNA NINI? 🤣🤣🤣🤣🤣
Nipeni mji😂😂😂😂
Mumezoa Wacha dawa ingie,bakaa aliachw kamshika,tulia ww
Yanga ndio kafilliiza mechi ila simba hapana
Acha uchawi ulionekana aibu kubwa
Wamekata,pumzil,lazimaAshike,mtu
Arafu nyie mashabiki uchwara hasa wewe shetani atupemdi ujinga wko kwendraaaaaaa kule
Mbona wewe unalalamika
Kwani wenzenu hawajacheza harafu acha ujinga wewe mzee simba nimekukosea nn kwani hapo unacheza nacsimba
Wachezaji wamejitahidi sana sana wamecheza mfululizo, pamoja na kucheza pungufu bado wameshambulia 🙏🙏
Amna kutu
Unajifarji tu,ratiba imebana timu zote na nyigine zenye uwezo mdogo kiuchumi zinaumia zaidi kwa kutumia usafiri wa barabara lakini Yanga waruka angani
Mzee unazeeka vibaya
Ndio mwanzo wa kufungwa.Yanga mliziea kubebwa mtafungwa sana.
Kwahiyo naleo mlikuwa mnatunza energy? Acheni ushamba😂😢😅 ❤ Simba
Walikuwa hawajazoea maumivu 😁😁😁😁
Timu Bora hata akitoka mchezaji Moja ndo mpoteze,yanga mnabebwa na uchawi timu ni mbovu
Mlisema yanga isifananishwe na timu nyingine acheni kujikweza yanga ni timu ya kawaida sana
Yanga ii unaifungaje azam waaa
Azam wamecheza kimkakati sana
Utopolo wote walevi😂😂😂😂
vip supu ipooooo
Kumekuchaaaaa
Watoto waliutaka wakapewa😂😂😂😂 mamaeeee pyeeeee
Kwa hiyo ni Yanga tu inacheza Kila baada ya sikutatu wengine wanapumzika
Yanga hii inafungwajee inafungwajee
Yanga hii inafungwajee,? Inafungwajee?
Jamani c tulisema hakuna tum yakutufunga hapa tanzania?
Huyu hata mpira hajui,sababu ya kadi hajui.
Wamekanyagwa
Walipta mlango wa nyuma na wao ni nyuma mwiko.
Tena amewasamehe Azam wameyimwa penalty ya wazi kabisa toplooooo 🐸🦩🦩🐸
Mbele ya rais wao na msemaji wao wamekula moto kimoko
ACHA MBWEMBWE NZEE MAGOMA MSHAZOEA KUBEBWA MAFARA NYIE
Nyambafu kimya si mnajiona wakubwa et hamfungwi
Acha upuuzi wewe si unasema una kikosi kijana? Simba inakuhusu nn sasa acha upuuzi
Ukwel mchungu
Mimi shabiki wa kweli kwani c binadamu yule kwani roboti acheni kiki za kisenge yanga inafungwa km team nyingine
Kula chuma iko
Utopolo hafungwi madkini
Nani hakucheza mfulullizo.Wenzao wamecheza 10 wao 9.Mbona Simba walikuwa pungufu na waliifunga Yanga?
Yanga mnafikiri muko ktk ligi kushinda tuuu.
Poleni watani.