Dawa mpka jasho la tiririka keee،we Ndewa rudi ulikotoka mpka zitarudishwa hizo nguo tu maan wajifanya mubabe😂😂😂ila mko pwa watu wangu,,,we Sada weeeeeee
Mm nahisi busati wako busy san ama Kuna kitu hawajaelewan maan machezaji wote wa busati Sasa ivi apa hawako mm nahisi Kuna kitu apo Kam sio kutokuelewana bsi busati wako busy
😂😂yani sada huwezi ata kufikiria dawa itapakwaje kwa utupu wa mtu mwengine ulale nae Kisha umrudishe mwanaume mwengine 😅😅pole sana sada ila huyo mganga ni Malaya hamna Cha dawa😅😊😊😊🎉🎉❤❤
Hii movie nishakuwa siielewi tenda Simuoni Kendy na ndoa yako Siioni Hitma ya marehem Simuoni bibi yake Sada Siwaoni watu wengine kibao Siinoni movie ina muelekeo gani Watu wengi tu walioanza hawaonekani tena
Wachezaj wa busati wote hawako I think Kuna kitu hawajaelewan ao wako busy tu w chunguza vzr Kai,Baba Kai,Jordan,candy,chiko,marehemu,na huu mma candy hawapo sijuw Kam Kuna nin haki
Ila ndewa mpaka umemshawishi muun kweli weee ni ndewa
We ndewa mbwaaaa
Sada hajielewi kabisa😮😮
Msomali kadele nimwanamke na nusu kandele chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤
Tapeli nae katapeliwa😂😂ndewaaaa😅
😀😀😀😀
Kali sana mbaka ndewa angie mikonon mwa muun
Wenye banataka ndea akamatwe munipe like 😂
Wee kama hujui kuandika kiswahili kaa hivo hivo kama maji ya mtunguni sawa
Nataka lkn naogopa 😅😅
😂😂😂😂
usimhukumu mtu na lugha yake hio ni kikongo kwani si kila mtu na matamshi yake 😂 @@FestusJuvinary
Mi nataka arudi mjini Kwa Sada
Kandele na msomali penzi shata shata hadi raha❤❤❤❤
Mskin ndewa achinjwe tu😅😅😅
Jee sada umenogewa ee huyo ndo gwambuto bwana 😂😂😂😂😂😂alikua ni ndewa sahii ni gwambuto yani ni humu tu we huogopi 😂😂😂😂😂
Sada kwisha habari yako😂😂😂😂
Radhia mzr kulik huy kanderee we msomali mrudie radhiaa
Uyu gwambuto n mganga kweli au yuwataka vitu tu😂
Msomali unapenda sana kenyà😂😂
Sada nikikuona una akili kumbe Bure kabisaa...msomali na kandele maua yenu🎉🎉❤
Uyu sada kanikera kweli 😮 Musomari na kadewe munapendezana Sana shikeni Mauwa yenu🎉🎉🎉
Msomal bola umludie radhia uyo ulie nae asaiv hamjapendeza🎉🎉🎉
Kama nakuona kandele ndani ya shela hongera
Sada unajiachilia sana acha upewe mimba na gwambuto chiko umkose ubaki kulia
Kazi nzur 😊kaz kubwa 👊👊👊
Wewe msukuma hutujui vizuri akina ashura
sada nawe wapenda nyama khaa
Wa kumi na saba
Uyu sada yuwachafua rohoo
na ndewa uko ndo utakufa kabisaaa
Sada kubwa jinga😂😂𝐤𝐚𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐬𝐨𝐦𝐚𝐥𝐢 🎉🎉𝐜𝐡𝐤𝐮𝐞𝐧 𝐦𝐚𝐮𝐰𝐚 𝐲𝐧𝐮❤❤
@@priscahmahenzo642 Yaan hana akili kbs kumbe waganga wanafaid hv na hawasemi😀😀😀😀😀😀
@Sajdayusuf 𝐀𝐤𝐲 𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮😂😂😂
Sada kubwa jinga,,,,ujinga ujinga ujinga sada kumbafuuuuuuuuùuu
gwambuto ya kwako tamu stak kuamin😂😂😂😂😂😂
Ndewa djamani siujueshimu?
dhuri thana jamn kandele na msomali sichoki kuwangalia , sada kubwa jinga ,aggy pole sana gwambuto sio mwanaume ni gumegume.
Dawa mpka jasho la tiririka keee،we Ndewa rudi ulikotoka mpka zitarudishwa hizo nguo tu maan wajifanya mubabe😂😂😂ila mko pwa watu wangu,,,we Sada weeeeeee
Sada ushakua Malaya ww,,😮nilikuona kama mwenye akili na busara kumbe bogus kabsa UMENISINYA SANA
Msomali NATARAJIA ndoa Kwa kandele 🎉🎉big up 🎉🎉
apo n qweli ata mm amenikera sana
Ila kadera naye. Kila mda kumtaja radhiaa kwenye penz lako......huon unajiharibiaa
Ndewa Yan Facebook imepotea 😂😂😂😂😂🇹🇿
Sada pumbavu shenzi sana ya kwenu et dawah unakera shenzii nyoko. Zako
msomal na kandele mnanikosha sana yan penz lenu lidumu
Ila sada kubwa jinga aiseee pumbavu sana munatumalizia mb zetu kwa ujinga huu
GWAMBUTO🙏🙏🙏 nimenyosha mikono juuu so kwamba umenishinda tabia no ila ujichunge ndo kitu nakukumbusha Mzee unawapelekea 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Hadi wanasema amina
Na mm wa 6
Mashallah ❤❤😂😂😂
Nice movie ❤❤❤
Sada sada bwege ww
jaman ndewa utakuja kufa fimbaya ww tapeli tu kwakuwa uyo nimsukuma ndo maana
👍👍👍
😂😂😂sada umeningewa na utamu
Bby aggy😂😂😂❤❤❤❤yan una hsiraa lkn ukajibu nyimbo 😂😂😂we huogopi❤❤❤❤😂😂😂😂
Sada mwanamke malaya usie jitambua kabisa ww n Paka la baaah tuu nyooooo
Ndoa yenyewe haifika move imebaki kwa bby aggy sada ndewa story inapotea
Mm nahisi busati wako busy san ama Kuna kitu hawajaelewan maan machezaji wote wa busati Sasa ivi apa hawako mm nahisi Kuna kitu apo Kam sio kutokuelewana bsi busati wako busy
Sada mjinga una akili ata kidodo
Sada hta hujielewi
😂😂yani sada huwezi ata kufikiria dawa itapakwaje kwa utupu wa mtu mwengine ulale nae Kisha umrudishe mwanaume mwengine 😅😅pole sana sada ila huyo mganga ni Malaya hamna Cha dawa😅😊😊😊🎉🎉❤❤
Waka waka media jaman nawapend maan mnaniburudisha chukuen maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sada ni mtu wa majaribio hana akili kama jinga vile
Sada ushakua kaa jaa la kutupa takataka mjinga sana 😏😏
Sada huna mana kabisa we mwanamke yaani siungetulia tu ujinga tu upumbavu mtupu sasa hapa mimi kwako najifunza nini apo ujinga tu
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii series iishe tu
Hii movie nishakuwa siielewi tenda
Simuoni Kendy na ndoa yako
Siioni Hitma ya marehem
Simuoni bibi yake Sada
Siwaoni watu wengine kibao
Siinoni movie ina muelekeo gani
Watu wengi tu walioanza hawaonekani tena
Wachezaj wa busati wote hawako I think Kuna kitu hawajaelewan ao wako busy tu w chunguza vzr Kai,Baba Kai,Jordan,candy,chiko,marehemu,na huu mma candy hawapo sijuw Kam Kuna nin haki
Itakuwa walikuwa wanawasaport tu Hawa waigizaji wadog lakn mchezo mzr