MITIMINGI # 202 BABA NI MTU MUHIMU KATIKA KULETA NIDHAMU KWA MTOTO
Вставка
- Опубліковано 24 лис 2024
- THAMANI YA MWANAMKE KATIKA KULETA MAENDELEO KATIKA FAMILIA, JAMII NA KANISA.
Saikoloji na Biblia inathibitisha kwamba misuli ya Discpline inaletwa na Baba, watoto waliokosa malezi ya baba kwa asilimia kubwa wanakosa Discpline(NIDHAMU). Je, wanawake wanaowalea watoto peke yao wafanye nini ili kuleta discpline kwa watoto?
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. (Counseling Psychologist) +255 713 18 39 39
Amen.ubarikiwe sana past mitimingi
Amina Baba
Amen
mafunzo mazuri sanaaa
Am blessed with lesson
Amen, Be blessed mpendwa
hahaha yaani pastor unachekesha,mchepuko wana akili sana
😁😁😁😁et stela kampokee baba yako