#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

КОМЕНТАРІ • 40

  • @Fortnite-online
    @Fortnite-online 11 днів тому +1

    sitaki kituchochote cha kinyume katika familia yangu katika jina lake yesu Amen

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 11 днів тому +1

    Mtume nmechoka maisha ya maden naomba namie nianze kukopesha katika jina la yesu..

  • @user-ix1yb5di5x
    @user-ix1yb5di5x 11 днів тому

    Naomba nisiachwe katika mujina la yesu Kristo nitakaswe na ingaye kama nyota ya milele na milele aaamen 🙏🙏👏👏🧖🧖

  • @user-ju5bu1ph8s
    @user-ju5bu1ph8s 11 днів тому

    Amen, neno la Mungu ni ndiyo siku zote. Najiungamanisha na uzao wa tumbo langu, kesi zote zikafutwe

  • @LuciaaloyceKilyenyi
    @LuciaaloyceKilyenyi 11 днів тому

    Mung kupitia shuhuda hiz naomb nipate Kaz nzur nje na mkoa ninaoishi amen

  • @user-ix1yb5di5x
    @user-ix1yb5di5x 11 днів тому

    baba naomba usafiri wangu ikamilike mujina la yesu Kristo Pia ni ongezee hekima na hakili Pia niweye mtu mkamilifu kwa mungu.

  • @EvodiaKisha
    @EvodiaKisha 11 днів тому

    Mungu baba ninaomba nifunguliwe biashala wateja wamiminike kwa wingi. Niuze nipate. Pesa nilpe madeni ñipate wateja wa kununua nyumba wajitokeze kwa wingi komboa familia yangu watoto wangu wapone 😊

  • @NajmaNajma-rn5pe
    @NajmaNajma-rn5pe 11 днів тому

    Najiuganisha na Ibada Baba naomba mungu anikomboe na watoto wangu leo

  • @SistaSelemani
    @SistaSelemani 11 днів тому

    Mungu SEMA na watoto wangu wajie thamani yangu

  • @SistaSelemani
    @SistaSelemani 11 днів тому

    Mungu naomba watoto wangu waludi waliko perekwa

  • @FezaWalumona
    @FezaWalumona 11 днів тому

    E Mungu naomba unikumbuke na Mimi Piya bariki Maisha ya Família yangu yote na omba Watoto Mapacha wakiume wa tatu bariki safari yangu linda Watoto wangu bariki mume wangu

  • @reytn2494
    @reytn2494 11 днів тому

    Amen napokea kwa Jina la Yesu

  • @user-ix1yb5di5x
    @user-ix1yb5di5x 11 днів тому

    baba bariki maisha yangu na ubariki familia yangu kiuchumi na kikazi Pia na kimasomo baba naomba kipaji changu irudishwe katika mujina la yesu Kristo maisha yangu isonge mbele Amen Amen Amen 👏👏🙏🙏🙏

  • @Emmanuelnindwa
    @Emmanuelnindwa 11 днів тому

    Mungu sababisha Jambo katika uchumi

  • @Emmanuelnindwa
    @Emmanuelnindwa 11 днів тому

    Mungu okoa maisha yangu

  • @rehemahajji7154
    @rehemahajji7154 11 днів тому

    Ewe mungu sababisha kwenye biashar yang🙏

  • @JoanitaJoansen-lb8hk
    @JoanitaJoansen-lb8hk 11 днів тому

    Mtumishi napokea muujiza wangu kupitia operation komboa familia tumbo linalonikata likapone nikapokee muujiza wa uponyaji wa tumbo langu

  • @JanethJames-ri5zq
    @JanethJames-ri5zq 11 днів тому

    Asante baba

  • @rebeccamsonge6769
    @rebeccamsonge6769 11 днів тому

    Amina,kutolewa kwenye mateka

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 11 днів тому

    Kesi imeisha kwenye bihashara yangu..

  • @user-wc4dt2gy5h
    @user-wc4dt2gy5h 11 днів тому

    Napokee uponyaji me na family

  • @eliasexsavery9108
    @eliasexsavery9108 10 днів тому

    Naomba kufunguliwa nipate ajira

  • @LATIFAPATRIK
    @LATIFAPATRIK 11 днів тому

    Baba naomba Binti yangu afunguliwe kizazi apate mtoto

  • @maryamjumah
    @maryamjumah 11 днів тому

    Mtume nipo oman nimechoka maisha ya ufanyakazi wa ndani toka mdogo

  • @LATIFAPATRIK
    @LATIFAPATRIK 11 днів тому

    Naomba bwana yesu atende miujiza jimmy apige cm loe

  • @eliasexsavery9108
    @eliasexsavery9108 10 днів тому

    Naomba nifunguliwe nipate ajira mwaka u

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 11 днів тому

    Amen amen amen amen amen amen

  • @rehemahajji7154
    @rehemahajji7154 11 днів тому

    🙏

  • @AmenaJeogh
    @AmenaJeogh 11 днів тому

    Amen👏👏🙏🙏

  • @SistaSelemani
    @SistaSelemani 11 днів тому

    Mungu nikomboe nahili janga lakukosa usingizi akiwepo huyu baba

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 11 днів тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 11 днів тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 11 днів тому

    Bihashara yangu ianze kutoa fainda kiraisi raisi tu ,ni hangaze zaindi..mpaka wanao nicheka,waje kwangu kuniomba msaada..

  • @fatumamnyawonga940
    @fatumamnyawonga940 11 днів тому

    Nataka nifunguliwe kiuchumi

  • @maryamjumah
    @maryamjumah 11 днів тому

    Ilajuzi nilifatilia madhabau yako ulisema kuvunja madhabau kwenye ukoo na mm nimevunja toka oman ucku nilivo lala nikaota majoka makubwa mawili yametoka juu ya mti vichwa vyao vekundu moja likaniuma kwenye koo nikashikilia koo langu huku nakimbia naomba nomba ya mtumishi namengi ya kumwambia aniombee nikiwa huku kila mwanaume anaetaka kunioa anaondoka

  • @gracemassenge5571
    @gracemassenge5571 11 днів тому

    Nataka nifunguliwe kiuchumi pia nifunge ndoa

  • @EverEver-j4q
    @EverEver-j4q 11 днів тому

    Natak nifunguliewe mambo Yang yote mtume

  • @SimonNjiginja
    @SimonNjiginja 11 днів тому

    Nina mtoto ICU naomba apone

  • @rebeccamsonge6769
    @rebeccamsonge6769 11 днів тому

    Amen furaha inalejeshwa sasa, watoto wanalejeshwa sasa, uchumi wangu unalejeshwa sasa, Ndoa inalejeshwa sasa