ALIKIBA brings in the New Year in Kigali Part 1
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Each year I get to bring in the New Year in a different country, last year I was in Mombasa- Kenya and this year we brought in the New Year in Kigali, Rwanda... Thank you Rwanda for always loving me and supporting me throughout my music career. I love you guys!!
Keep keeping up with me via my UA-cam Channel
Business : seven@rockstar4000.com
Facebook: OfficialAlikiba
Twitter: @OfficialAlikiba Instagram: @OfficialAlikiba
Snapchat: OfficialAlikiba Hashtag: #SeduceMe
That's what they call performance....King always king no one can replace you
Hakuna wa kulinganishwa na ww katika wasanii wewe ni hatari wewe ni king of music
Mwenye anachukia alikiba lazima kwao wote ni wachawi
Alikiba come back again in Rwanda we love you,you are a rockstar!
Bonge moja la show king ww 🔥🔥🔥 wakuache umesimama mwenyew bila dancers ni noma 🙌🙌
Chuichui kazi nzuri brother....keep it up...kiba☆☆☆☆☆
Alikiba wetu a.k.a KIBAKULI tunakukubali vibaya mno, tatizo unazingua unatoa nyimbo moja kwa mwaka bro, hebu kaza bna tutolee kitu kipya chenye ubora
Hatushndan Na Mtu Muziki Mzur Toka Cinderella Had Seduce Me
King always bado sijaona fundi wa muziki like you live performance yani sijui wanaokuchukia wanatumia vigezo gani..thanx sana fundi wa muziki heshima kwako
sure kiba king always be a king nice show bro
Alikiba kwenye show zako zote hii nimeipenda Kweli hii funga mwaka Respect that 👑
Huyo ndo king kiba da president of king's music waeza muita pia jini mkata kamba, invisible Man, unstoppable na mengine mengi kwa kadri uwezavyo kumuita.....unaweza sana kama
asee wanaoshoboka et shoo haikubamba ujue hajui mziki asee maana me band tyu imeniumizaaa ujue mziki sio makelele ya watu jaman ni jinc mziki utakavipanformansiwa ukwel kiba juu always angekua na shoo ya kitoto watyu wasingejazana hvo et mnaohis mziki ni kelele subrin sana
mamii michael
Yaan huyu jamaa acha atwe king ....
+Muky Gideon umeona eeeh hana kelel jamaa
Msanii mwenye heshima zake king kiba big up man god bless u I love mush aheb ali kiba this is saudi launguge
Talent 100% ,Entertainer 100%, Good music100% Baddest, Realest. There's only one King, and it's King Kiba.
King Kibaaaaaaaaaaaaaaaaa!! nakuaminia shoo kali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uendelee hivi hivi kwa mwaka wote huu. Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap!!
This is the International Show congrats king Kiba 🔝🔛🔥🔥🔥🔥🇹🇿
Dah ni wasani wachache ktk game ya music hususani tz🇹🇿 wanao fanya show live no playback alafu voice zinakua zilezle #alikiba upo mmoja wao big up sana alafu ni band Ila tume kupata vyma u kill it bro tuna kusubiri uje canada🇨🇦 tuliamshe kwa show za kibabe 👊👊👊
PROUDLY RWANDAN, umeua king!karibu sana tena nyumbani Kiba
ipo siku nitafikisha ndoto zangu kula sahani moja na my choicealikiba big up
The king himself congratulation kingkiba""""
Alikiba tho mm ni team diamond but kiukweli umetisha kuanzia na hizo ngoma za zamani umenikumbusha long time enzi za shule gonga like kama umeikubali OLD SONGS ZA ALI K
Kama we team kiba gusa kwa picha angu then subscriber yaaaaaaah
king for always my king in kigali tusisahau kuvot jaman
mohamed ibrahim mie nishamaliza.... Jomoni Jomoni Twende tukavote
mohamed ibrahim hahaaaa mmesahau Ku vote Diamond kaibuka na tuzo ya best male Africa vibamia wore hoi
Show ya kibabe sio zile za kitandale za kururuka kama swara hapa mzuki wa ukweli😊😊
like hapa kama umemuelewa king Kiba na live performance
je watak kumjua jina aitwa sinderela
Yeebaba ❤❤🔥🔥🔥🔥
Woow brother Nice Nice show Mmwaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kali sana ahi jawahi fanika Rwanda 🇷🇼 ila king unaifanya ❤️❤️❤️❤️👏👏👏👑👑💯
Mfalme akiwa jukwaani kila kitu kinaenda Sambamba no one can be like KING..kwa mpigo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
raha inazidi adi na ibiwa sim yangu,,,,,,god bless u kiba rockstar4000
mm ninan mpk nishndwe sema ukwl king unajua xaana bonge moja LA show,, yuh murder it broo,, mungu azid kuongoza
kama waikubali Cinderella nipe like ewe mwana wa Rockstar400
nimependa jinsi alovyo perform cinderela tho performance yote kwa ujumla ilikuwa nzuri sana.big up king kiba keep goin💪
Noma sana saluti kwako king mungu Akuzidishie maisha malefu uzidi kutupa fulaa wapzi wa music nzur
Good performance yoooooooooooh show kaliiiiiiiiiiiiiiio..........yooooooooooh
Huyu jamaa ni sheeda kwa vitu vya live...
Different perfomance kwa kila tamasha u cant regret to attend more than five concerts wimbo mmoja ladha kama 100 thats how proffesional do much respect to u 💯
ni kweli kabisa Show nzuri sana
Show Nzuri sana Fundi
Naona watu wanataman hata ushuke kwa stage uwasogelee wakuguse ...hivo sku ingine uwe unasogea as long body guards wapo haitakua shida..
Go Ali, u did.... I've seen a great show performed by Africans for the first time... Nmepata kigugumiz maan umefanya better sana nd no one, i can compare with. Live long kiba
phonce gata asante sana mwambie na mwenzio tuvote kwa wingi ili tuchukue tuvo maana
Daaaah huy jamaa noma yan cinderlela beat ya reggae lakn kapta
Kama we team kiba sema yeeeeaaaah
Pistor Tz yeeeh
Pistor Tz yaaaaaah
Pistor Tz yeeeeeeeaaaaaah
Pistor Tz yeaaaaaaaahhhhhh
Pistor Tz Yeahhhhh*100
Sina team ila huyu jamaa noumaaa,ana sauti Kali,ana change ,anajua kumasta watu wake.big love bro
Kiba your music so sweet run dunia daaaaah
Show kali....show imetulia na kistaarabu
The best artist
wawoooo 😚😚kaka kiba nampenda sana love your ❤💙❤💙❤kk
Great performance, true artist
Sauti ya kiba so amazing... I feel like am there with the audience...watching from Norway 🇰🇪🇳🇴
Well done #king kiba for being accurate ! +254
Like.hapo.king.tunakupenda.sana
Kba kpiga tfauty kba shda sana wew safiii👏👏👏👍👍👍💔💕💓
Show %100 live band %100 back vocals %100 camera %100
yooooooooh cindelela😍😍😍😍😍😍kiba tishaaa
Washa washa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Super classic.. So matured..
nimeielewa hataliiiiiiiii
Kuna Utofauti Wa Uimbaji katika Muziki ....uwezo Wa Mtu hupimwa Kwa Live perfomance kama Hizi ...ndio utofauti Wa Msanii Anaejua Kuimba Kiba Yuko vzr sana Tofauti hawa Wanaotumia Cd na makelele Kibao .
Anajua jamaa Na Atabaki Tu kuwa Yeye Hawa Panzi pori Wengine misifa Na Cd zao.
This is LIVE! wow legendary
My best artist ....A.K.A 🇨🇩
Hongera umefanya vizuri sana
King mwenye arosto na mzki na live performance mr #seduceme
team mond mkasome bado saaàanaa
ilikuwa Nomaaa Sana
Yhis was the best live performances..Kigali had a good time compared to the garbage show Diamond Playinumz gave us in Naivasha,Kenya..AK you will always be the King!!!!
Kiba hii jukwaa nikubwa sana imekubalika King sio wamchezo ameendeleasana
A King will always be a king 🤴 much love n respect kingkiba ❤️💕💗
Umetisha sana kaka +255 KIMBIZAAAAA
umetisha bro,hakuna wa kufikia uwezo wako wa kuimba live,we sio wa kulinganishwa na mbwa,waambie waige na wao,tukumbuke kuvote jamani
Godbless Malulu amen Kaka kuvote tusisahau
Naamini mwaka huu utakua na muendelezo wa show kubwa na kali km hii, Big up King Kiba
Hakuna kama king kiba yani mwanangu hili ni bonge la shoo
killed it no one like #alikiba China were like
Bonge show mtu Wang wa nguvu
Millady ayo Nouma saana MTU wangu wa nguvu peke yake na watu wamefurahiiii ni balaaaaa big up sana sio lazma utegemee dance
He’s just an amazing guy
Milard sijakuona uki comment kw pages za mondi ama ndo team kiba
Millady ayo tatizo watu hawawezi kubali Bro Millady, #KIBA ni mwanamziki mkubwa na anajuwa nini mziki, awo vibamiya awajawayi ku dumbwiza live kama Kiba wanapiga #Playback ila amewacha ayo kitambo yani yeye na wacongo ni share sare🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩+🇹🇿🇹🇿=KIBA
Millady ayo yooooh papil
kibaaaa ww noma san nakukubari
so nice even the language barrier didn't stop them big up King
Language barrier? Rwandans speak Swahili
huyu jamaa kweli mbabe sanaaaa
你唱得越来越好。我喜欢你 ali kiba,你是第一他们是第二。unafanya mziki mzur then unaheshima zake bado baki na,respect congratulation kwa alio kulea 很棒。特别喜欢你啊。一起努力
Kingkiba ni fire 🔥🔥🔥🔥
King kibaaaa
bien fais mr king kiba. trop de j'aime
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
King ndo hyu sas wengne wote wafuasi wake
The only king asante sana we love you alikiba
Xo talented the officially king ov bngofleva
ww ndio no moja yao mondi atasubiri sanaa from Dar to kigari fire
king always be a king
nakubalii mnyamwezi wangu 🔥🔥🔥👍👍
Mamamamama atariiii xna kipajii ichooo kama timber
I salute you king kiba.kudos
Show classic 💪💪 Salute
😂😂😂hatimae leo mekua wa kwanza kucoment.....Hail to the king
Seleman Matola king wa vibamia jaman vibamia wote hoi tuzo za sound city Africa Diamond msanii bora wa kiume Africa pollen xana vibamia mjpe moyo IPO cku mtapata Ila syo rahc mana simba haachii pengo
noma sana king
Ali k ur dhe best 4ever u may live long life
I love this guy a lot.
that is very good king kiba
king kiba ndio huyo
Lots of love en support from uganda
God Wynne appreciate you brah
Yani ukiimba naskia raha Kiba,hehe you are too smart for sure.
king king nakukubl mkuuu show kali
King wa Music
waakuache uitwe King of Music
Mwanamuziki tisha sana