Inuka Mteule cover by Life Church International Choir

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лют 2024
  • Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
    Tawala una kibali
    Msaidizi wako yu ndani yako
    Nikueleze jeulivyo na nguvu
    Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu
    Usife moyo mteule, Ufalme ni wako
    U mrithi, pamoja na Yesu
    Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
    Tawala una kibali
    Msaidizi wako yu ndani yako
    Nikuelezeje, hakuachi Bwana
    Hadi mwisho, wa dahari
    Fungua macho mteule uone mbali
    Giza latoweka, pambazuka
    Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
    Tawala una kibali
    Msaidizi wako yu ndani yako
    Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
    Tawala una kibali
    Msaidizi wako yu ndani yako

КОМЕНТАРІ • 2