Hakika maneno hayo ya kweli mzee wa kaliua uko sahihi wataongea sana kuhusu GSM ila tunachoshukuru ni tumeugua na tumepona, na washaanza haooo na badoooo
Nyani haoni kundule Majigambo yote ya wachezaji wao kungoja fadhila ya refa ili mtengewe tuta kiko wapi ushindi wa matuta poleni Sana na majigambo yasio na faida
Hakika maneno hayo ya kweli mzee wa kaliua uko sahihi wataongea sana kuhusu GSM ila tunachoshukuru ni tumeugua na tumepona, na washaanza haooo na badoooo
Ukiwa muungwana inatakiwa unyamaze maana yanga ni timu nzuri sana kuliko mitim mingine ikiwepo na my wa yanga,ngojenu tuone
Ni wivu unmsumbua huyo kijana oscer
Yanga anamke wake ambaye hata mpa point 6,, Simba amekubali kuolew na yanga atakaye bisha atokeze hapa tumwone
Nyani haoni kundule
Majigambo yote ya wachezaji wao kungoja fadhila ya refa ili mtengewe tuta kiko wapi ushindi wa matuta poleni Sana na majigambo yasio na faida
Anawivu huyo msemaji
pombe zinamsumbua huyu...
Yanga hawana lolote labda wanunue.Hao wachambuzi hawana lolote
Ww nae una nn kiazi
Na wewe kanunue
C tupo ote tutajua mweny lolote ko fc
Sawa tutaona nyie wenye lolote
Sawa panya road! Hapo hawana lolote lakini ndo mabingwa wa Tanzania, wakiwa na lolote watabeba klabu bingwa dunia