MASHA LOVE AWACHAMBA SHILOLE NA ESHA BUHET, WANAZEEKA VIBAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 2 місяці тому +2

    Masha Bwana mjanja ya ngoswe mwachie ngoswe

  • @edgercyprian964
    @edgercyprian964 2 місяці тому +2

    Mmmmmh huyu nae sasa masha love nae anaweza toa ushauri gani kwa hao wawili muemunaangalia na watu wakuwahoji sasa hapo anajisifia nini hali yake imekuaje ni mjamzito au shobo tu😅😅😅

  • @JumaNyoni-ob6ul
    @JumaNyoni-ob6ul 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂anatetea muhogo wake😂ila masha aaaah

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 2 місяці тому +4

    Sasa huyu na yeye super star 😂😂 sasa super star wa kitu gani huyu😅😅

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 2 місяці тому +2

    Hataki kugombana na wasanii wenzake mnatafuta maneno tuu...

  • @SuuhPrecious
    @SuuhPrecious 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂 et nkwinkwinkwinkw😂

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Super Star ⭐️ hapo Bongo hata Mama nitiliye ni Super Star 😂😂😂😂😂. Watangazaji kwa nini Zinaa mnaiweka mbele sana mnataka mtoto wa watu azae bila ya kuolewa. Na hao walozalishwa na Diamond kawaowa si kawatupiliya mbali. Masha leo umependeza bila ya hayo manywele ya maiti 😂😂😂😂😂

  • @Maya-bm9bu
    @Maya-bm9bu 2 місяці тому

    I didn’t know that she’s also a Star 😢

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 2 місяці тому

    Uyo chizi staa gani chizi

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 2 місяці тому

    Amelewa mnamlazimisha kuongea.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому

    Ila waandishi mnapendanugomvu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +1

    Namtaenda kuunguw nyinyi najuma lukole naujinga wenu