PUTIN adai TRUMP hayupo salama!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024
  • Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 52

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 2 години тому +12

    DAMU ya YESU KRISTO imfunike Trump Kwa Jina la YESU KRISTO Amen

    • @DIETTHERAPYTV-9
      @DIETTHERAPYTV-9 2 години тому +3

      Damu gani??

    • @chuseboy
      @chuseboy Годину тому

      😂😂muoneen huruma yesu damu itaisha sasa maana kila mtu inamfunika

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er Годину тому

      ​@@DIETTHERAPYTV-9labda damu yake

    • @SunakiSamy
      @SunakiSamy Годину тому

      Ya YESU​@@DIETTHERAPYTV-9

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 58 хвилин тому +2

      Unamjua yesu kwa majina yake utusaidie tumjue??

  • @homecraft227
    @homecraft227 2 години тому +3

    Hawa jamaa wawili tu ndo wanaweza kuepusha Dunia kwa vita kuu ya tatu ya Dunia kwa sasa.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 Годину тому +2

    Kweli kabisa Trump awe makini sana.

  • @Mindset_99-m
    @Mindset_99-m Годину тому +2

    Hilo lipo wazi linaonekana

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 2 години тому +1

    Mungu huyo aliyemlinda Trump dhiidi ya risasi ndiye huyohuyo Mungu atajayemlinda mpaka atimize malengo ambayo Mungu amepanga

  • @vanny387
    @vanny387 3 години тому +2

    ndani ya siasa kuua ni kawaida yeye mbona aliua Prigozhin ....waache uongo

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 години тому

      😅😅😅😅😅 Alimua wapi

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 2 години тому

      UONGO upi huo wakati Jana2 kwenye vyombo vyangu vya risi vina SEMA tramp ana windwa auwawe kabla haja chukua nchi mwakani maana akiingia ata alibu mipango ya chama kinacho ongoza nchi saivi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Годину тому

      ​@@EriyaRichardPutin amewaua wapinzani wake wengi sana aache kujifanya mtakatifu

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i Годину тому

      ​@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 ameuwa wengisana nazaidi kule gaza

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 години тому +2

    Pia kuna vuguvugu La Israel na ezbollah, kuvamiana kwa mara nyingine tena,netanyahu katowa maagizo kwa IDF wakae tayar, wenda wakaanzisha mashambulizi mengine makali zaid (ezbollah, ikasema Israel inakiuka makubaliano kwa kuwazuia raia kurudi kusini nikitendo ambacho hakito kubalika na kuvumilika (tuko tayar kwa makabiliano yoyote)

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 48 хвилин тому

      @@AFRICA_D669 nilikuambia kuwa Israel haikuwa inataka vita viishe .. Hezbollah ndo aliyeomba vita visitishwe... nadhani sasa unapata picha kamili

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 Годину тому

    Trump yupo salama kuliko mnavodhani, hizi siasa tu anajua kusambaza sumu huyu puuuuuh

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 17 хвилин тому

    Bora kasema Putin asilimia Kubwa ya wanajeshi mashoga na transgender hawatomiuacha salaama Putin kesha mng'ata sikio Kazi kwake kulifanyia kazi😮

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 2 години тому +1

    Uzee unamsumbua yeye anaisi yuko salama

  • @HABARI24532
    @HABARI24532 3 години тому

    WAMEMUA AU

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 2 години тому +3

    Putini hataki vita iendelee ana pigwa na wananchi wake Hawana raha kabisaaaa

    • @dannywillson5874
      @dannywillson5874 2 години тому

      Kumbe uwajui warus wew

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Годину тому

      ​@@dannywillson5874Warusi hawatak vita ila hawana namna maana wakikosoa tu wanauawa na Putin

    • @theempire4058
      @theempire4058 59 хвилин тому

      Umeongea kweli, sasa unaenda ishambulia nchi haina hata uwezo wa kijeshi, hata vifaru hawana, akapambane na wababe wenzake sio kaa nchi kama ukraine

    • @brownshirima5924
      @brownshirima5924 36 хвилин тому

      Ukizingua unapigwa ata kama ni mnyonge. Viva Russian via urusi

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 18 хвилин тому

      @brownshirima5924 hauja SEMA viva utaja SEMA Bado utaja SEMA Hadi na V V U

  • @HercaIlunga
    @HercaIlunga Годину тому

    Putin anajiona mujuaji sana

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 Годину тому

      Sio anajiona Hamna Nchi iko smart na inawindwa kama Russia na watu wa Magharibi maana ndio waharibifu wa mipango yao

    • @HercaIlunga
      @HercaIlunga Годину тому

      @saleemsuleiman2220 kusema kweli akijichanganya kuingia vitani na nchi zenye uwezo makubwa atasikia utamu wa vita

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 59 хвилин тому

      @@HercaIlunga sasa hivi tu yenyewe anapigana na hizo NATO ... ukiongelea NATO unaongelea Nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa Ujerumani na zinginezo... Nimekutajia hizo Nchi kubwa ambazo ndio zinauwezo mkubwa wa kivita na ndio zimepeleka misaada mingi sana hadi wanajeshi na wengine juzi tu wa Marekani wamekimbia vita pale Ukraine baada ya kuona moto sasa hiyo Nchi yenye uwezo wa kivita zaidi ya hizo nilizotaja hapo ni zipi Hembu niambie

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 2 години тому

    Nikwel

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 Годину тому

    Putin nchini kwake hana mpinzani maana amewaua wote

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Годину тому

      Nashangaa wote wanamuona bora ngoja aje aitawale dunia nzima

    • @canisiusibrahim9856
      @canisiusibrahim9856 44 хвилини тому

      Kama anaongeza vzuri na nchi inaendelea hakuna haja ya upinzani maana wapinzani ni vibaraka wa marekani ​@@atutweve4160

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky 18 хвилин тому

      Wewe wapinzani kwenye nchi yako wanasaidia nini..

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 14 хвилин тому

      Atauku tz magu alikosea ingekua Mimi Hadi hao ccm ningeua dah nimekumbuka ngoja nikakinge maji mtaa watatu uko Mana akakamdomo ila shidayangu ni maji tuu wasije wakaniteka

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 3 години тому

    Trump dhidi ya deep state 🙌