DARAJA ZA MAWALII by Khalifa Mussa alqadiriy(

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #daraja #mawalii #khalifa #mussa #alqadiriy ( ‪@KHALIFAMPYA-TV‬ )
    Follow us in group
    chat.whatsapp....

КОМЕНТАРІ • 53

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 12 днів тому

    Ulimu ya sheria na elimu ya twarika zikikutanishw pamoj ni sabb moj.wap ya kufikia ucha Mungu na mawalii wote ni wachaji Mungu.Hupew elimu ya dhahir na ya siri.

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 Рік тому +1

    MashaAllah Mungu akuzidishie heri khalifa Mussa ALQADIRIYY

  • @almasihamisi
    @almasihamisi Рік тому +1

    Mashaa Allah Sheikh letu Allah akujaze kheri na Barka kubwa tuzidi kunufaika na elimu yako

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 3 місяці тому

    ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ❤

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe Рік тому

    Mashaallah

  • @user-sl8tr8vq4c
    @user-sl8tr8vq4c 10 місяців тому

    Adhweem

  • @omarikhalifa9413
    @omarikhalifa9413 5 місяців тому

    Mawalii gani wanakhalifu Sunnah ya Mtume swallallahu alayhi wasllam

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV  Рік тому

    *بسم الله الرحمن الرحيم*
    www.youtube.com/@KHALIFAMPYA-TV?sub_confirmation=1
    *_SUBSCRIBE_* CHANNEL YETU ILI KUPATA VIPINDI VYETU VYA KUMTUKUZA *_ALLAH_*
    *اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم*

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV  Рік тому +1

    chat.whatsapp.com/D1nCkLnSs9tJpPuL9onQtH

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 12 днів тому

    Sio kila mweny mambo ya ghaibu ni mchawi, wengine ni daraja.zaid mchunguze unaye mjaji mwenendo wake ukoje ktk udhahiria???

  • @sajumahege4903
    @sajumahege4903 5 місяців тому +1

    Clip ya zaidi ya dk 25 inaelezea masuala ya dini lakini ndani yake hakuna hadithi wala aya ya quran hata za uongo tu zinazosapoti mazungumzo hayo, je kisheria hii wanasheria wa dini tunaaitajie hii hali?

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

    Duuh mtihani nyinyi masufi mbona mtihani sana kwa iyo mawalii munawachagua nyinyi halafu huwezi kuwa walii mpaka uwe sufii naona munaowaita mawalii wote ni masufi wacheni kupotosha watu walii anamjua Allah kwa uchamungu wake na kumuogopa Allah na kutekeleza amri za Allah

    • @shafiiyunusu
      @shafiiyunusu Рік тому

      We tutajie walii japo mmoja ambaye sio sufi unayemjua kuwa kafika makamu hayo ili nasi tupate faida ya kumjua huyo wali wa Allah. Au ni wewe maana naona umeumia sana! Kama ni wewe usihofu tuambie tu ndugu yetu!

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      @@shafiiyunusu ni mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake ndo waliiwetu wa kwanza watu wa sunna ambae nyinyi watu wa shirki masufi hakuhusuni mtume huyu kwani alichokukataze mnakifanya kuwahana na shirki na bidaa katika jambo ambalo umelishikilia katika maisha yenu munawachinjia munaowaita mawalii japo ambalo amelikemea mno mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake wa kuchinjiwa ni Allah pekee sio mwengine

    • @shafiiyunusu
      @shafiiyunusu Рік тому

      Kwa hiyo umemvua utume na kumpa uwalii umemdogesha sana Mtume saw. Unaongea bila ya elimu unajikuta unasema uwongo. Yote uloyasema ni uwongo. Ukitaka kuponda kitu kwa kidadisi ukijue vizuri wewe UMEKALILISHWA pole sana unajiona upo katika njia sahihi kumbe ndo umepotea.

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      @@shafiiyunusu nini maana ya walii kwani na kwanini unakataa kama mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake si walii nambie nini maana ya walii

    • @shafiiyunusu
      @shafiiyunusu Рік тому

      Ndo maana nimekwambia we umevamia msafara wa mamba
      Kwanza jitambue hapo katka hivyo vitu unasimamia wapi KILUGHA/KISHERIA

  • @chaillahhassan225
    @chaillahhassan225 Рік тому

    A.aleykum,shehe nashukuru,mi nashida binafsi ya kidini nawezaje kupata mawasiliano

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 12 днів тому

    Uwalii ni cheo kilicho jificha ni mar chache tu mtu.kujulikan.,na hatojulikan ila na wale wanao muamini tu.

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 11 місяців тому

    Wameona aibu Yani mawali wote wakatiure ata mtu mweusi mbantu ata1 arikuwa Amna ata 1

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV  11 місяців тому

      UNACHOKIZUNGUMZA UNAKIELEWA AU NI FIKIRA ZAKO TU UNADANDIA TRENI KWA MBELE

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому

    Shekh samahani hata Kama unanipin Ila hayo unayoyaongea hayaniingii akilini Yani mtu awe mpenzi/walIi bila sababu hata bila ilmu na mtu akuaje walIi wa Allah na asifae kufuatwa

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Рік тому

      @Omar Hamisi hiyo aliezaliwa anaongea nnan hebu au nan kazaliwa anajua nnani mtume mwenye mpaka afikia miaka zaid ya thelathini Hana ilmu itakuwa kwa hao mawalii

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV  Рік тому

      Unapotukana lazima nikupin maana huna hoja za kisomi unatumia akili yako kukataa alafu unaita masheikh waogo mara upuuzi,kama unaona ni upuuzi anzisha channel yako ufundishe watu yaliyomo akilini mwako utwapata wa kukuunga mkono.

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Рік тому +1

      @@KHALIFAMPYA-TV Hanna sehemu nliyotukana na usifanye kitu hata Kama nkiovu Lisa unaungwa mkono na watu wengi ndio uone kama ndio haki haki haitizamwi kwa wingi wa watu Bali kwa dalli Shia ni kundi kubwA la watu tena Wana Mali na nguvu ya kisiasa huko mashariki kwa ajili hiyo ndio tuseme wako kwenye haki si kweli kila uzushi kwenye dini ya Allah lazima ukemewe watu wanatakiwa kufuata aliyoyafanya mtume na kukemea kila kinachozushwa kwenye dini

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      ​@@osmaniidrisa6290 nabi issa aliongea akiwa mdogo sikiza hata ww waeza kua wali fata sheria Allah na suna za mtume s a w usile haramu alafu uwone kama hutakua wali

  • @sajumahege4903
    @sajumahege4903 6 місяців тому +1

    Yaani mawalii ni masufi tu, kabla usufi haujaanzishwa hakukuwa na walii mwingine? Masufi waongo sana na visa vya kutunga. Eti Allah akimpa mtu uwalii lazima amzuru Mtume kisha aende kwa Jailan. Kwanza huyo shehe Jailan yupo mbali na vituko vyenu vya urongo kisha kabla ya Jailan kuwepo nyie masufi hao mawalii waliotangulia kabla ya Jailan walkuwa wanamzuru nani? Mcheni Allah

    • @jaylaniabdulqadir4597
      @jaylaniabdulqadir4597 5 місяців тому

      Pole sana mpige vta ibilis kwenye nafs yako

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 5 місяців тому

      wewe mjinga unasema Nini hapo? hivi unae shekhe?

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 5 місяців тому

      acha kuita mashekhe masufu tene acha kabisa huo ujinga kabisa mjinga mkubwa

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Місяць тому

      @@shabanimussa4269 mjinga mwenyew. Jibu kwa hoja. Unamtisha pumbavu mkubw

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 6 місяців тому

    Osman idrisa yataka utulivu ndio utamuelewa anachokisema sheikh,kwa akili yako sio rahisi kuyafahamu haya

  • @omarmohamed-rt1bn
    @omarmohamed-rt1bn 5 місяців тому

    Hebu tupe majina ya hizo picha zote

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 4 місяці тому +1

    Mawalii wapi hawa wana onekana wanafiq kabisa hata nyuso zao hazina ndevu... Washirikina wakubwa nyie... Nadhani katika utwarika ukiwa mchawi na ukiwa na miujiza kwa njia za kishirikina basi uta abudiwa... Bora ya mayahudi na manaswara ni makafiri wa dhahir kuliko nyie wanafik mliovaa vazi la kiislamu kisha washirikina wakubwa

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 Рік тому

    Allah awarehem na kuwasamehe ila huwz kusem hwa ni mawaliii ww kakuambia nan kma hwa ni vpnz vya mngu mawaliii???? Mngu kisha sem yy pk yk ndio anae wajua vpnzi vyke sio wa Adam kuwa jua vipnz vya mngu, sir ya kiumbe ip kwa mngu

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV  Рік тому +2

      Jisemee wewe kuwa huwajui ila wapo wanaowajua kama zipo alama za mtu mnafiq nafikiri hata we unazijua basi na alama za wachamungu/mawalii/ waumini/wapenzi wa Allah zipo pia kwa hiyo hayo maneno yako sio hoja katika dini, kwani kuna malaika alikuja kutangazia watu kwamba huyu ni mtume fulani na fulani ila watu waliwajua, ndio kila kundi lina alama hata mwislamu anayoalama wenye macho ya ndani wanaiona kuwa huyu ni mwislama.

    • @abdallahally8640
      @abdallahally8640 Рік тому

      Mtue (s a.w) alisema kuwa sisi ndio mashahidi wa Allah duniani ikitokea mtu amefariki sisi tukamuona ni mwema basi huwa mwema na tukimuona muovu basi huwa muovu na Allah ndio mjuzi zaidi wa yaliyo jificha sasa kama mwizi atakua anajulikana na mzinifu pia ajulikane lakini hawa mawalii ndio iwe ajabu kuwajua itakua jambo la ajabu au wale wazinifu tunakua pamoja nao ndio mana tuna wajua???..Tuangalie tunapo toa hoja zetu hasa katika kupinga majambo yenye siri ndani yake tusije tukapata hasara

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      @@abdallahally8640 Sawa ila waliii Hao ni masufi tu sijaona Ahlulsunna kuwa na list ya mawalii masufi muna shida nyinyi

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 11 місяців тому

    Sasa wameona aibu atimaye mtu mweusi sasaivi kawekwa 1