pia kuhusu ajira watu wana ajira tatu hadi tano kila nafasi ya uongozi ambayo kiongozi yeyote analipwa mishara mitatu hadi mitano inapaswa watu wengine wapewe ajira maana munasema kuna tatizo la ajira kumbe watu manashikilia ajira tano huko juu
Msukuma Mimi sijawahi kumwamini kwamba hajasoma elimu ya juu, Ana akili nyingi mno, huaga ninahisi kwamba ameficha degree. Huyu huenda ana Masters degree au PhD kabisa.
Babu zetu hawakwenda shule wakawaza kutuachia wajukuu ambao hata hatujazaliwa huko, mashamba na mali. Shule isitudanganye kuvhanganya na akili, japo shule ni mwangaza
Mhe waambie ukweli maana maneno yamezidi Sana bila vitendo watu wanaiba badala ya kufukuzwa na kufunguliwa mashtaka badala yeke wanahamishiwa sehemu nyingine na wizi huo huo unaendelea
BRT ni shida. Njia ya kimara. Daladala bado zinatumia njia ya kawaida..mpaka leo hakuna vituo vya hizo daladala. Matokeo yake wanasimama kila eneo. Hivi serikali haioni?
Msukuma wewe Ni mkweli siku zote. Big up sana
Kwenye nafasi za ukurugenzi hapo kutangazwa na watu waombe kama ajira umenena vyama sanaaa king msukuma
Big up sana Msukuma akili nyingi...🎉🎉
Mungu ibariki SImba batiki tanzania ameniii
Mungu ibariki Tanzania
Nakupenda sana msukuma
👏👏👏👏👏elimu ya darasani inaenda tofauti
Msukuma wewe ni genius sana.siku 1 uje kupata nafasi ya maamuzi ya mwisho.
Msukuma uku vizuri
This guy tho he didn’t go to school but he speaks a lot of sense
Tunahitaji mapinduzi ya fikra
13:06
Utengenezewe sanamu ata uku Musoma mijini
TANZANIA INA WATU MILLION 60 SASA! UTAFUTWE UTARATIBU WAKURUGENZI NA NAFASI ZINGINE ZOTE ZITANGAZWE KWA UMMA
Akili nyingi kwa msukuma
Huyu msukuma anafaa sana urais mruhusini agombee
pia kuhusu ajira watu wana ajira tatu hadi tano kila nafasi ya uongozi ambayo kiongozi yeyote analipwa mishara mitatu hadi mitano inapaswa watu wengine wapewe ajira maana munasema kuna tatizo la ajira kumbe watu manashikilia ajira tano huko juu
Tuondoe ELIMU! Yaani Tanzania tunamazuzu
100% sure msukuma
Msukuma Mimi sijawahi kumwamini kwamba hajasoma elimu ya juu, Ana akili nyingi mno, huaga ninahisi kwamba ameficha degree. Huyu huenda ana Masters degree au PhD kabisa.
Babu zetu hawakwenda shule wakawaza kutuachia wajukuu ambao hata hatujazaliwa huko, mashamba na mali. Shule isitudanganye kuvhanganya na akili, japo shule ni mwangaza
Office ya CAG nayo ikaguliwe na Takukuru
Msukuma hoyeeeeee
Ni kutokana na Mfumo mmbovu tu wa kuwapata hao wakurugenzi.
Sijui huyo CAG nae ni msafi kiasi gani.
Kuna kulindana Tami ya senu
Wakiranja ulayani
Hapo kwenye mikopo ya Halmashaur nimekuelewa San msukuma
Mambo mengi hw ni ya Zima moto hayako kwenye makadirio
Hakika msukuma
SEMA usiogope pasuwa na wenyewe wasikie.
Samia huyu msukuma mpe nafasi ya kuchukuwa maamuz ya mwisho kuhusu namna watu ya kufanya kaz
Tulieni, PhD inazungumza.....
Mnajadili weeeee maamuzi = SIFURI
Kwani hayo si ndo ya kuwa na katiba mpya?
Mhe waambie ukweli maana maneno yamezidi Sana bila vitendo watu wanaiba badala ya kufukuzwa na kufunguliwa mashtaka badala yeke wanahamishiwa sehemu nyingine na wizi huo huo unaendelea
Miaka 7 elimi ya msingi ya kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu tu. Ni bora kufuta yote siyo kupunguza mwaka na ianziswe elimu ya maarifa.
Namuunga mkono
Mbunge ninakubali
Musukuma waliosoma ni watoto wa maskini
Waliopewa kazi watoto wa ........ degree alinunua kwa hela
Unaongea yaukweli msukuma japo ukweli unawauwa
uoza umeanza juu ni raisi mwenyewe zero
R I P Magufuli
Unaongea mantic San msukuma
BRT ni shida. Njia ya kimara. Daladala bado zinatumia njia ya kawaida..mpaka leo hakuna vituo vya hizo daladala. Matokeo yake wanasimama kila eneo. Hivi serikali haioni?
Huyu cccm mmupe urais mbelen
Akili nyingi xana wewe
Chato kumejengwa uwanja wa ndege na mabank ni hasara san
Acha ujinga! Unataka sisi tutunzie fedha zetu matakoni mwako?
@@bcozhenry2698 jmni. hapana, kweli kaka yangu unatoa majibu kama haya? Mbona Utanzania umeutupa njema jmni? sie hatutoi majibu kama haya ndugu yangu