Sisi wanawake wa kidigitali tupunguze ujuaji,mume akisema moja tunajibu kumi na moja - Fatma Mdidi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 51

  • @ashamohammed8284
    @ashamohammed8284 7 місяців тому

    Mashallah, mawaudha mazuri jazakalu heri,nimejifunza mengi, je unafunza watu kuwa wazuri zaidi kukuliko ningependa kuwa mwamafunzi na badae niwe mwalimu

  • @hamisimwarua573
    @hamisimwarua573 Рік тому +4

    Mashallah mawaidha yako ni mazuri na yenye mafunzo sana basi Mungu akuzidishie zaid!!!

  • @ناديهترتوب
    @ناديهترتوب Рік тому +2

    Maa shaa Allah,ukhty napenda mawaidha yako

  • @zaharangonyani2206
    @zaharangonyani2206 Рік тому +1

    MashaAllah ukhty wangu natamani siku moja nihudhurie darsa zako nimejifunza mengi kutoka kwako hasa darsa za ndoa

  • @mgazaabeid5873
    @mgazaabeid5873 Рік тому +3

    Maashaallah, dada mungu akisimamie inshaallah

  • @AishaAishaathuman-ov5pk
    @AishaAishaathuman-ov5pk 10 місяців тому

    Mashallah ninapenda Sana mawaidha yko, asante Sana dadangu

  • @zabibukwizera3910
    @zabibukwizera3910 Рік тому +2

    Allah SWT azidi kukuhifadhi, Ameen.
    Asante kwa ukumbusho

  • @alimiahbakari7806
    @alimiahbakari7806 Рік тому +3

    masha Allah mawaidha muhimu sana kwa dada zetu na mamazetu

  • @رحيمةهاري
    @رحيمةهاري Рік тому +5

    Mamangu mungu akujalie pepo yenye daraja yajuu inshaAllah unamawaidha mazuri yakusisimua wallah

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Рік тому +3

    Allah akujaalie kher ya uhty❤❤❤

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому +1

    Jazzaka Allah kheri Mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu atujalie wepesi kwa hayo

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +2

    Jazakallah khayran

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 Рік тому +1

    Maashallah tabaarak llaah Allah akuhifadhi ukhty

  • @majutoyussuf6191
    @majutoyussuf6191 Рік тому +1

    Asalam alaykum ma Shaa Allah mawaidha mazuri samahan naomba ungekua wavaa nikab ungependeza zaidi

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 Рік тому +3

    akhiri zamani,ivi ustadhi wanaume wamejaa,utoke ww,upaze sauti yako hadharani,haifai kwa wanamke wakiislamu.wasambaza fitna dada.hakukua na mwanamke swahaba akitoa kisauti hivo,bali aisha r.a alikua alieka pazia,licha kua yy alikua mama yetu,alikua aruhusiwi yoyote kumuowa.

    • @TatuHamdan
      @TatuHamdan Рік тому

      Kutokapembaallaaku zidishiemashalla❤

  • @bintimgenibintimgeni156
    @bintimgenibintimgeni156 9 місяців тому

    MashaAllh tabaraka Allh

  • @aminakkmld
    @aminakkmld Рік тому +1

    Dadangu mungu akuzidishie najifunza sana kupitia somo lako

  • @ShamsaAthuman12-tg3ms
    @ShamsaAthuman12-tg3ms Рік тому +1

    Mashallah mawaidha mazur sana

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 Рік тому +1

    Allah atufanyie wepesi inshallah

  • @aesherwendo4413
    @aesherwendo4413 Рік тому +1

    MashaAllah❤❤

  • @nzeyimanajidah5691
    @nzeyimanajidah5691 Рік тому +1

    Nimekupenda sana dada shukran

  • @farzanakhan7969
    @farzanakhan7969 Рік тому +1

    Asalam Aleikum. Ukthi Allah akupe janna.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому +1

    Maashallah maashallah Baraka allahu fik

  • @SaumMwamrezi-wo8vk
    @SaumMwamrezi-wo8vk Рік тому +2

    Masha Allah ❤️

  • @yasmeeenmusajuma6531
    @yasmeeenmusajuma6531 Рік тому

    Masha adhaa

  • @ShabaniRamadhani-ic4kg
    @ShabaniRamadhani-ic4kg Рік тому +1

    mashallah

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 Рік тому +1

    Mashaallah,

  • @makamevuai5668
    @makamevuai5668 Рік тому +1

    mash aallah

  • @ashuranurudin3239
    @ashuranurudin3239 Рік тому +1

    Asalamu alykum warhama tullah wabarakatuh dada mm naomba no zako ninashida naww sana

  • @ZombiMagari-kt2qv
    @ZombiMagari-kt2qv Рік тому +1

    Habari dada ushaolewa ww

  • @jokhamote9993
    @jokhamote9993 Рік тому

    Afwan kama nitakukwaza 🙏😥 hata wanaume pia wanatabu

  • @AllySeif-vt3hm
    @AllySeif-vt3hm Рік тому +1

    Mashaallaa Mashaallaa Mashaallaa

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 Рік тому +1

    Mashallah

  • @fatunduwimana7878
    @fatunduwimana7878 Рік тому +1

    Tunakupenda Sana mama Fatima

    • @swabraathman
      @swabraathman Рік тому

      Maahallah twatamani darsa zako kuziskiza live Allah aibariki ilmu yako

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 Рік тому +3

    Ukhty we ni dadake na ustadhi mdidi alikuwa akifundisha kunduchi girls Islamic school..Naona mwafanana man shaa llah

    • @fatmamdidi8108
      @fatmamdidi8108 Рік тому +3

      Ndio akitoka yeye ndio mimi

    • @tantinebettynduwimana380
      @tantinebettynduwimana380 Рік тому +3

      ​@@fatmamdidi8108 asante sana dada kwa mafundisho yako, Allah akujalie chochote ukiombacho mafundisho yako yamenibadili sana na tena😊

    • @subiramwamwicho1824
      @subiramwamwicho1824 Рік тому

      Kweli kabisa ❤❤❤

    • @sabihakhamis8309
      @sabihakhamis8309 Рік тому

      💘💔🌹🥰🤩💗♥️😍🤲🇨🇳💗💟💌❣️💞❣️💞🎁💟💙🤲😢😰🤲🤲🇨🇳🤲🏾🤲🤲🤲💖💝🎉😭😭😢💕💕

    • @sabihakhamis8309
      @sabihakhamis8309 Рік тому

      Fgidch💝💖💌🤲🏾🤲🏻🤲🏽🤲🏾🤲🏿💞🎁🎉💖💖💝💌💌❣️💞🎁🎁💟💟💙💙😢💟😢😢😭💟💟

  • @TwalhiaNgunguti-wr5nq
    @TwalhiaNgunguti-wr5nq Рік тому +1

    lela iddy ni dada yake ndio baba mmoja na mama mmoja

  • @said-nq5cz
    @said-nq5cz Рік тому

    Unakosea san dada kutokuwaambia akina mm wajisitir kw nikabu,hiyo ni Amri ktk Qur an na mwenye kukanusha Amri ya Allah huyo ni kafir,

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому

    Mashaallah