MANENO MAZITO YA ASKOFU GWAJIMA KANISANI KWA MASANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2021
  • MANENO MAZITO YA ASKOFU GWAJIMA KANISANI KWA MASANJA

КОМЕНТАРІ • 61

  • @protamwenyegzaketv7408
    @protamwenyegzaketv7408 2 роки тому +11

    Eeeh Mwenyezi mungu utufanyie huyu GWAJIMA KUWA RAIS WETU

  • @maxmilianpetro968
    @maxmilianpetro968 2 роки тому +15

    Mungu akusimamie Gwajima Baba yetu, kaka yetu, wew ndio njia ya Tanzania namba moja tunakili kutoka mioyoni mwetu tuvusheeeee

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 2 роки тому +3

    Mwanyezi MUNGU azidi kukupa uzima na kukulinda asikofu kupitia neno hili nimejifunza mengi sana barikiwa sana

  • @ashudahiza7871
    @ashudahiza7871 2 роки тому +2

    Mungu atuwekee.weww zaidi.ili Tukupigie.kura utuongoze hata miaka 30 tukiwa mikono salama

  • @rajabumkumba4834
    @rajabumkumba4834 2 роки тому +2

    Mungu akupe maisha malefu unasitaili kua mkuu Wa ichi

  • @elishavicentmhina3545
    @elishavicentmhina3545 2 роки тому +5

    Gwajima nakukubali sana bishop wewe ndio mkombozi wetu

  • @rumariletimba4481
    @rumariletimba4481 2 роки тому +8

    God bless you,Mtumishi wa Bwana,nakupenda nakupenda nikiwa kenya

  • @dmpstudiosmeshackpascal1340
    @dmpstudiosmeshackpascal1340 2 роки тому +6

    Safi sana... Ila amekatisha hapo mbele tunatamani iendelee 🙏

  • @omanss268
    @omanss268 2 роки тому +1

    Amen 👏👏 ubarikuwe Sana mtumishi wa mungu

  • @alkebulanb5929
    @alkebulanb5929 2 роки тому +3

    🇧🇮❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮 J.P.M 2 Bdi tunakupendo.

  • @tiberykitiga2322
    @tiberykitiga2322 2 роки тому +3

    Mungu hashindiwi chochote

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 роки тому +5

    Allah azidi kukupa Afya njema na maisha marefu Mzalendo wa kweli Gwaji boy 😍😍😍😍🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @Bam268
      @Bam268 2 роки тому

      Mungu yupi na yeye ndie mungu anaejitia anafufua mwizi huyu

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому +1

      @@Bam268 jibu hilo pigia nstari bro

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 2 роки тому

      @@Bam268 Chanjo ni hiari mamaaaa 😂😂😂😂

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 2 роки тому

      @@missmwayway4704 Chanjo ni hiari babuuu 🤣🤣🤣

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому

      @@gastonponera7962 Umeonaeee ebu mwambie huyo Maybe atakuelewa my dear......Anaejifanya kumkashfu Gwaji boy 😆😆😆

  • @jansamwankanda2368
    @jansamwankanda2368 2 роки тому +3

    Hongera sana pacha wang masanja,namuelewa sanaa gwajimaa.

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 3 дні тому

    HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WATEULE TUWE MACHO MALAIKA WA GIZA ANAFANANA NA MALAIKA WA NURU TUWE MACHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUJIANDAYE KUMLAKI MAWINGUNI SHALOOM SHALOOM MARNATHA

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 Рік тому +1

    AMINA SANA BABA YETU GWAJIMA

  • @godsonmanasse9027
    @godsonmanasse9027 2 роки тому +2

    MUNGU akulinde BABANGU walio upande wako niwengi kuliko walio upande waMaadui kusudi laMungu ndio litakalosimama Daima

  • @rogersrenatus6454
    @rogersrenatus6454 2 роки тому +1

    Mwenyez Mungu akutunze bishop🙏.wee Genius sana. Nakukubali sana🔥

  • @josephmysononline5919
    @josephmysononline5919 2 роки тому +3

    Ongera sana askofu ng'wajima

  • @suzukisimba8393
    @suzukisimba8393 2 роки тому +3

    Tupo pamojà askof gwajima👍👍

  • @christamazara1266
    @christamazara1266 2 роки тому +1

    Mungu akulinde sn mtumish wa Mungu na kukutia nguvu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 роки тому +2

    BWANA Yuko pamoja nawe Askofu songa mbele , baba yetu.

    • @gracemedan5580
      @gracemedan5580 2 роки тому

      Damu ya yesu ikufunike mtumishi wa mungu.nitaendelea kuomba na wewe baba yetu.kwani mungu atatenda tu.

  • @aminalimu5150
    @aminalimu5150 2 роки тому +2

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 2 роки тому +6

    Unakitu ndani yako ambacho wajinga na wapuuzi hawaoni mana macho yao yametiwa ukungu wa giza na washindwe kwa jina la Yesu

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 2 роки тому +3

    Amen Amen Baba 🙏

  • @masanjajirani5306
    @masanjajirani5306 2 роки тому +1

    Nakukubali gwajiboy

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 роки тому +2

    Yaani watu waliotudanganya fuvu la binadamu wa kwanza liliigunduliwa Tanzania, kisha wakasema binadamu wa kwanza ni Adam, alafu adam huyo ni white, that means lile fuvu huenda ni la Adam mathematically maana hesabu hainaga chenga chenga, wakaenda wakarudi wakasema zamani tulikuwa nyani, sasa hivi wanasema wanatupenda kuliko kitu chochote🙄🙄🙄
    Ikumbukwe hawa hawa ndio waliogundua kila kitu hapa, maziwa, milima, njia za barabara hadi bahari, lkn wakati wanasema wamegundua walikuta watu wanaishi na ndio waliwapokea 😀😀😀....
    TUJIFUNZE KUHOJI, SIO KILA UNACHOAMBIWA LAZIMA UKIKUBALI

  • @zahorokasentisenti6761
    @zahorokasentisenti6761 2 роки тому +2

    Gwaji boy pambana tupo nyuma yako

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 2 роки тому +1

    Ameeen

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 2 роки тому +3

    Simamia hapohapo baba usimuogope mtu yeyote simamia kweli yako Baba

  • @fatopigagolkymtz8776
    @fatopigagolkymtz8776 2 роки тому +1

    Amen

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 2 роки тому +6

    Love you always from 🇺🇸

    • @samweljankey8445
      @samweljankey8445 2 роки тому +1

      was it necessary to mention you are from 🇺🇸? 😳

  • @hermannyakunga8417
    @hermannyakunga8417 2 роки тому +2

    amen

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому +1

    Marudio eti.... Amina

  • @marymwanjala5795
    @marymwanjala5795 2 роки тому +1

    Amina

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 роки тому +1

    Nimeanza kuelewa "NILETEEANI GWAJIMA, NILETEENI GWAJIMA, NILETEENI GWAJIMA" ilikuwa na maana kubwa sana.🙄🙄🙄

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +2

    J.p.m.aliacha jembe

  • @mafuja1991
    @mafuja1991 2 роки тому +1

    Masanja maneno ya kihuni yamezidi,je yesu alikuwa na maneno ya kihuni au biblia haina maneno ya mizaha,

  • @kombozimbwilo4289
    @kombozimbwilo4289 2 роки тому +1

    UKWELI UTA BAKIA UKWELI TU KIKUBWA WAJISHUSHE TU MAISHA YAENDE LE

  • @mostshareking3051
    @mostshareking3051 2 роки тому +3

    Tangaza nia mkuu tutakuchagua 2025 tuvusheeeeee

  • @sebastianemily2241
    @sebastianemily2241 2 роки тому +1

    Waadventista wasabato sio wafuasi wa Ellen G White.Ni wafuasi wa Yesu kristo.

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 2 роки тому

      Ni Yesu ndiye alianzishq dhehebu la SDA? Acha uongo. Kila kitu lipo kwee rekodi, huwezi kubadilisha hata ukila kokoto!

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 2 роки тому

      Ni Yesu ndiye alianzishq dhehebu la SDA? Acha uongo. Kila kitu lipo kwee rekodi, huwezi kubadilisha hata ukila kokoto!

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +3

    kwani vya Ulaya vimekuja leo ? tengezenu vya kwenu muachane na vya Ulaya hiyo itakuwa solution . mumezowea papai kwa kijiko ndio tatizo .

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому +1

    Usizalau vyawazungu hyo unaye muabudu kakuletea mzungu

  • @ISAACMBAGO
    @ISAACMBAGO 2 місяці тому

    Yaani gwanyima ni 100% president, na aanze kufanya kazi na ROHO MTAKATIFU kuwa fukuza friimason wote, na kuketa utukufu wa MUNGU ndani ya dunia yote. Tu mchagueni gwanyima, au mnasrma je?